Dowans: Another Richmond in making?

Dowans: Another Richmond in making?

Mitambo ya Dowans, already installed, tested and commissioned na tayari ipo Ubungo. Na Dowans wako tayari kuiuza its a matter ya serikali kukubali tu. It wont take a month, once ikikubaliwa. Simpo.

Inaonyesha na wewe umesoma hesabu kama mimi!!! tupo pamoja
 
1) Dowans hakuiba na wala huwezi kumshika kwa wizi aina yoyote na ndio maana hakuweza kushitakiwa. Na ndio maana yeye ndio kashitaki huko Paris, na sisi ndio tunajitetea. Walioiba wanajulikana.

2) Hilo ndio liwe msingi wa ku-negotiate, tunajadiliana kununuwa, tukikubalina, kesi zote za madai zifutwe na mikataba yote zamani ifutwe, kulipia. Mfanya biashara yeyote mzuri ambae atapata mkwanja na kafaida kake haraka haraka badili ya kungoja, atakubali. Na nadhani hii offer kisha itowa yeye mwenyewe na ndio maana ikafikia watu kuongelea hili la kuinunuwa. Simpo.

3) Njemba zilizoharisha si unazijuwa? Dowans hayumo katika hao na ndio maana anadunda mpaka wa leo.

Daktari anaona upuuzi huu, ameshatowa ushauri wake na wa kuamuwa manunuzi si si yeye, kwani Tanesco hawana kitu, mifedha yote wanayoingiza wanalipa madeni ya kina IPTL na wengine, ambayo daktari kaikuta. Hataki yajirudie, kama wanasiasa hamtakai haya fanyeni nyinyi maamuzi. Mgao waja, msimlaum.

Dar es Salaam,

You have posts which are not seen by other people...I think b'se of... I will start a fresh thread for this!!!
 
Mkandara,

achilia mbali hicho kipengele ulicho-quote.....kuna msimamo alioutoa Mh Zitto hapa JF.........au mimi ndio sikuuelewa

I want to state here in explicit terms that, I, Kabwe Zuberi Zitto (MP), Chairman Public Investments Committee of Parliament of Tanzania, stand with TANESCO on their desire to acquire gas fired turbines to improve electricity generation to the country. I stand firm to my decision and ready to be held accountable to that. I do this in good faith. I am genuine and honest. People can say all what they want to say, so long as this decision is mine based on the information i have, technical information. So long as i reached to this decision without any influence whatsover, i stand by it.

Nimetukanwa sana humu. Nimesimangwa sana humu na kuzushiwa kila aina ya tuhuma. Ninajijua kuwa sina bei. Siwezi kununuliwa na yeyote. Ninajijua na nimekuzwa kusimamia yale ninayoamini hata nikibaki peke yangu. Siyumbi. Siyumbishwi. Niliokuwa nao Chuo Kikuu wanajua nilivyo.

Nimefuatilia sana mjadala huu na kuona umejaa hisia kali sana. Ninajua ni hisia za watu wanaopenda nchi yao. Ninajua ni hisia za kizalendo. Sina mashaka na hili hata kidogo. Hata hivyo uongozi hauendeshwi kwa hisia tu. Uongozi wa nchi ni zaidi ya hisia na maneno matupu (hot air).
Nimesema hapo awali kuwa kwa kuwa Watanzania wamezoea kuwa na viongozi wala rushwa na waongo, itawachukua muda kukubali viongozi honest. Hata hivyo, muda huo utafika tu.

Hata hivyo, ni vema sana tujifunze kuheshimu maamuzi ya watu wengine. Kwamba leo mtu akiamua usivyotaka kanunuliwa? Je hayo maamuzi mengine hayawezi pia ya kununuliwa? Hapana, nadhani pale ambapo mwingine ana maamuzi tofauti ni vema kuheshimu maamuzi hayo bila kumwita kila aina ya majina mabaya.

Mimi binafsi, ninaamini kabisa kuwa hoja za TANESCO kuhusiana na suala la equipments hizi ni hoja zenye mshiko. Hoja za Kamati ya Nishati na Madini ni hisia za kisiasa.

Sio kweli kuwa TANESCO hawakuja katika kamati na alternatives. Walikuja na alternatives kadhaa na zote tulizijadili.

  1. Walieleza kushindwa kwa Kiwira kuzalisha 50MW mwezi huu na pia 150MW mwezi wa Septemba.
    1. Walieleza mradi wa Kinyerezi wa 240MW kushindwa kuanza kupitia PPP kufuatia wawekezaji kukosekana
      1. Walieleza mradi wa umeme wa upepo Singida kukwama
        1. Walieleza kuhusu mradi wa 300MW wa Mtwara.

          Katika hili mnawalaumu TANESCO bure tu. walitoa altrnative ya Dowans. walisema mbadala ni kununua mtambo mpya lakini walitahadharisha muda kwani mitambo mipya haipo tayari imetengenezwa na kuwekwa katika show room. Huwa inakuwa ordered kwa mtengenezaji na kuundiwa, kisha kufungwa na baadae kuwa commissioned ndio uanze kazi.

          Mwanakijiji alizungumzia umeme wa Zambia. Tunanunua umeme wa Zambia na ndio unatumika Sumbawanga. Umeme huu ni mdogo sana na ubora wake pia ni mdogo. Kimsingi nchi zote za SADC zina tatizo kubwa sana la Umeme isipokuwa (potentialities) Msumbiji, Tanzania na Congo DR.

          Mwanakijiji alizungumzia Stigler's gorge. Huu ni mkakati wa muda mrefu. It takes time kujenga hydro plant. Kule Kigoma wanajenga Malagarasi mini hydro, itachukua miaka 2 (8MW).

          Ni rahisi sana kuzungumza masuala haya lakini realities are different. Ninashauri baada ya mjadala huu wa TANESCO na DOWANS kuwa umekwisha (TANESCO wameumaliza) tuanze mjadala sober kuhusu 'energy sector' in Tanzania. Tuwe proactive na sio reactioneries.

          Power masterplan ipo. Haitekelezeki. Energy policy ipo. Tujadiliane baada ya kadhia hii ili tuone nchi yetu iendaje katika sekta ya Nishati.
    2. 2
 
Ogah,
Yap, hapo ndipo alipozidi kuharibu!...well wananchi wamesikiwa hivyo atajifunza kutokana na makosa..
Power to the people ni kihamasisho cha Chadema inabidi ajiufunze!
 
Rostam/Lowassa wana plan B.
Inasemekana Ngeleja amejaribu kuwaforce makampuni ya madini kununua mitambo ya dowans kukidhi mahitaji yao ya umeme, akitumia watu kama kina Sinclair na kusuggest labda atakuwa na mitazamo mizuri kwenye issue za hizo kampuni lakini mpaka sasa bado kampuni za madini zinasita.

Plan yao nyingine ni kutumia makampuni ya nje yatakayokuja kama wawekezaji wa umeme, na wao kuwa local silent partners na kutumia hila ili Tanesco wasign contract kama za IPTL kwa mgongo wa nyuma.

Tuwe makini sana kwamba TANESCO lazima wasishiriki na kampuni nyingine yoyote, masuala ya umeme sasa yawe btn Tanesco na kampuni zinazotengeneza generators moja kwa moja, hakuna tena middle man. Hao watu wa kati wanatumia guarantee za serikali yetu na bado wanapata faida, kwa lipi, sasa kama tunatoa guarantee, si tuingie front wenyewe????

Zitto nimemsamehe rasmi, with the understanding kwamba amelearn lesson. So tumjudge kwa yatayayofuata, akiharibu tena ndio itakuwa imetoka.
 
Moelex23,

Duh, strong statement.. lalakini mkuu wangu nimekuvulia kofia....Yes, una msimamo mkali sana..
 
Mkuu Mkandara si unajua tena principle za vita, U live to fight another day, so Zitto atatusaidia huko mbeleni.
 
_______________

moelex23: Atapata tabu sana ku-fight another day kwa kuwa credibility yake imepondwa sana -- for right or wrong reasons. Si unajua Watanzania tena na magazeti yao -- wakisha muandama mtu basi hata afanyeje hawezi kujisafisha, ndiyo mwisho -- KALAS au KAPUT -- kama wanavyosema wenzetu. Mimi sijui atawezaje kurudi katika umaarufu, kwa mfano kama ule alioupata alipotimuliwa Bungeni kufuatana na suala la Buzwagi la Karamagi.
 
Kasheshe,
Wewe na Dar -es- Salaam mkishaelewa kwamba Dowans ni Rostam/Lowassa na njemba zilizoharisha ni Rostam/Lowassa basi bila shaka lugha ya wananchi iko wazi kabisa!l
 
.............KUna mwanabodi mmoja amekuja na ile theory ya Arusha na Vodacom connection ambayo hata mimi ninaifahamu pia.Lakini je ni kweli kwamba kwa kuwa tu Dowans ina tokea katika mizizi ya Richmonduli basi ndio kila kitu kihusishwe na ufisadi?

aisee mbona hyo inafahamika sana tu.....jamaa aamejiwekea mizizi toka EWURA mpaka TANESCO

.....Najaribu ku-imagine......Mzee wa kasungura angekuwapo madarakani leo hii hadithi yote hii ya TANESCO ingekuwa...ni history....trust me

unakumbuka mradi wa kutengeneza mvua nobody said anything.......and for sure that was coming.......aisee jamaa anaogopwa sijapata kuona.......ggrriii
 
1) Dowans hakuiba na wala huwezi kumshika kwa wizi aina yoyote na ndio maana hakuweza kushitakiwa. Na ndio maana yeye ndio kashitaki huko Paris, na sisi ndio tunajitetea. Walioiba wanajulikana.

2) Hilo ndio liwe msingi wa ku-negotiate, tunajadiliana kununuwa, tukikubalina, kesi zote za madai zifutwe na mikataba yote zamani ifutwe, kulipia. Mfanya biashara yeyote mzuri ambae atapata mkwanja na kafaida kake haraka haraka badili ya kungoja, atakubali. Na nadhani hii offer kisha itowa yeye mwenyewe na ndio maana ikafikia watu kuongelea hili la kuinunuwa. Simpo.

3) Njemba zilizoharisha si unazijuwa? Dowans hayumo katika hao na ndio maana anadunda mpaka wa leo.

Daktari anaona upuuzi huu, ameshatowa ushauri wake na wa kuamuwa manunuzi si si yeye, kwani Tanesco hawana kitu, mifedha yote wanayoingiza wanalipa madeni ya kina IPTL na wengine, ambayo daktari kaikuta. Hataki yajirudie, kama wanasiasa hamtakai haya fanyeni nyinyi maamuzi. Mgao waja, msimlaum.

Dar Es salaam,

Umeongea ukweli mtupu lakini kwa mazingira ya sasa hili suala limeingia siasa na kwasababu Tanesco wanaongozwa kisiasa itakuwa sio jambo zuri wakipingana na hoja kubwa ya kisiasa na ambayo inaungwa mkono na Watanzania walio wengi.

Hakuna uchumi hapa, ni maamuzi ya kisiasa tu, nchi itapata hasara lakini nani anajali hasara kwa Tanzania? Si umesikia hata wasomi wanasema tumeshapata hasara nyingi huko nyuma kwanini tuhofie hasara ya sasa?

Nafikiri wakati umefika wa kuiuza Tanesco ili iwe huru kufanya maamuzi yao kwa kufuata misingi ya kiuchumi bila kusikiliza wanasiasa wanasema nini.

Hii saga ni round ya pili, ya kwanza ilikuwa mgodi wa Kiwira. Sasa Kyela ambako walikuwa wanatamba na umeme muda wote, leo tunapata joto la jiwe. Hakuna umeme kwa zaidi ya 50% ya muda tokea ule mtambo mkubwa wa Mbeya ulipoungua mwezi December.

Nina wasiwasi kweli kweli na mashirika ambayo serikali ina nguvu nayo kwa TZ. Kwa mwendo huu sioni wana ujanja zaidi ya kuuzwa maana wataishia kutegemea ruzuku tu. Ndio maana hata TTCL iko hoi pamoja na kwamba soko la simu bado lina market ya kutosha. Ni siasa tu kila sehemu!
 
Kasheshe,
Hivi tukikubali kuwa tumlipe Dowans hiyo hundi tutampa nani?
 
......mmmhh hii sikuwahi iona kule Kajunjumele........siku zote mashemeji zangu wamekuwa wakila joto ya jiwe aisee.......
 
Dar Es Salaam said:

naona hoja ya kutokea inaandaliwa hapo. mambo yamalizwe pembeni ili jina la mwenye dowans lisijulikane.

binafsi naona bora mambo yakawekwe hadharani huko paris.
 
Kasheshe,
Hivi tukikubali kuwa tumlipe Dowans hiyo hundi tutampa nani?

kwi kwi kwi, mambo yote " a la richmondi". kwi kwi kwi.

mbona richmond walikuwa wanavuta cheki? mambo ya bongo hevi.
 
......mmmhh hii sikuwahi iona kule Kajunjumele........siku zote mashemeji zangu wamekuwa wakila joto ya jiwe aisee.......

Ogah,

Usiwe unaandika mambo ambayo huna uhakika nayo kabisa. Shemeji zako gani hao muda wote walikuwa wanapata joto ya jiwe?

Kwa muda mrefu kulikuwa na mkataba kati ya Tanesco na Kiwira na hata wakati wa migawo ya umeme Dar, Kyela ilikuwa inapata umeme muda wote.

Ni kuanzia mwaka jana tu Kyela imeanza kukumbwa na mambo ya mgawo wa umeme.

Kama huna uhakika uliza hata hapa watu watakuambia.

Hiyo Kanjunjumele unayoiongelea siku zote haina umeme kabisa wakati mimi naongelei sehemu ambazo tayari zimeunganishwa na umeme.

Tusifanye mizaha hata kwenye mijadala ambayo kuna watu wengi wanaathirika. Suala la umeme ni muhimu mno kwenye uchumi, mimi Mtanzania nikiwa hapa London naweza kufanya utani wowote lakini kumbuka Tanzania kuna real people and real businesses wako affected sana na hili suala la kukosekana kwa umeme wa uhakika. Tusichukulie kila jambo ni mzaha au ni siasa.
 
Dar Es salaam,

Umeongea ukweli mtupu lakini kwa mazingira ya sasa hili suala limeingia siasa na kwasababu Tanesco wanaongozwa kisiasa itakuwa sio jambo zuri wakipingana na hoja kubwa ya kisiasa na ambayo inaungwa mkono na Watanzania walio wengi.

Hakuna uchumi hapa, ni maamuzi ya kisiasa tu, nchi itapata hasara lakini nani anajali hasara kwa Tanzania? Si umesikia hata wasomi wanasema tumeshapata hasara nyingi huko nyuma kwanini tuhofie hasara ya sasa?

Nafikiri wakati umefika wa kuiuza Tanesco ili iwe huru kufanya maamuzi yao kwa kufuata misingi ya kiuchumi bila kusikiliza wanasiasa wanasema nini.

Hii saga ni round ya pili, ya kwanza ilikuwa mgodi wa Kiwira. Sasa Kyela ambako walikuwa wanatamba na umeme muda wote, leo tunapata joto la jiwe. Hakuna umeme kwa zaidi ya 50% ya muda tokea ule mtambo mkubwa wa Mbeya ulipoungua mwezi December.

Nina wasiwasi kweli kweli na mashirika ambayo serikali ina nguvu nayo kwa TZ. Kwa mwendo huu sioni wana ujanja zaidi ya kuuzwa maana wataishia kutegemea ruzuku tu. Ndio maana hata TTCL iko hoi pamoja na kwamba soko la simu bado lina market ya kutosha. Ni siasa tu kila sehemu!

Hivi ni wapi ambako maisha ya mtanzania yemeboreka tulipobinafsisha mashirika/sekta ya HUDUMA? Kama mtoto anakuwa mtukutu hivi dawa ni kumtupa ama kumgawia jirani? Hivi tutakapo binafisisha TANESCO na kuanza kuendeshwa kwa ajili ya kutengeneza faida kwa wenye hisa ni watanzania wangapi wataweza kupata huduma hiyo nyeti na ni mnunuzi gani binafsi ataakubali kumpelekea umeme mlalahoi na kuacha kutumia capital kiduchu aliyo nayo kuwapelekea umeme WACHUKUAJI (Wawekezaji) walio tayari kuwalipa kwa faida nono?

omarilyas
 
Back
Top Bottom