Dowans suffers 3bn/- penalty former Richmonduli
Daily News Reporter
Daily News; Thursday,October 04, 2007 @00:02
However, in December last year, M/S Richmond sought TANESCO's consent to assign the contract to another company, namely M/S Dowans Holdings of United Arab Emirates, which assumed all contractual obligations and responsibilities vested upon M/S Richmond.
M/S Dowans however failed to commission the 100 MW plant in accordance with the terms of the Agreement for reasons that were not TANESCO's.
unadhani basi wanafikiria hivyo basi? Nakuambia hawana mawazo ya namna hiyo.
Mojawapo ya vitu vinavyoendelea kunishangaza siku hizi zote ni kwanini serikali yetu inajiuma uma kuvunja mkataba na Dowans. Hili halipaswi kuwa hivyo.
a. Imeweza kuthibitishwa kuwa kampuni iliyoingia Mkataba na Tanesco ya Richmond Development Company LLC haijawahi kusajiliwa Tanzania na haikupewa kibali cha uwekezaji.
b. Imeweza kuthibitishwa kupitia Kamati Teule ya Bunge hiyo kampuni yenyewe haipo jinsi ilivyotajwa na kimsingi ni kampuni hewa.
Hivyo kutokana na hayo mawili tu kuna mambo kadhaa ambayo tunaweza kuona yanafuatana.
1. Kanuni za kuingia mikataba zina presume mambo makubwa matatu; kwanza, anayeingia mkataba yupo, pili, aneyeingia mkataba ana uwezo wa kisheria kufanya hivyo, tatu anayeingia mkataba anafanya hivyo kiuaminifu kuwa ataweza kuutekeleza.
2. Kwa vile tumeshaona hapo juu kuwa aliyeingia mkataba wa Richmond hakuwepo na hakuwa na nguvu za kufanya hivyo basi kile kilichoingiwa hakiwezi hata chembe kuwa mkataba.
3. Mkataba unaoingiwa kiudanganyifu (fraudelent) siyo mkataba halali.
Kwa vile Kamati Teule ya Bunge imeweza kuthibitisha pasipo shaka kuwa Mkataba wa Richmond uliingiwa kwa njia ya udanganyifu na kampuni ambayo haipo na isiyo na uwezo wa kuingia mkataba huo hivyo HAKUNA KITU KAMA MKATABA WA RICHMOND kwa sababu huwezi kuingia Mkataba na kampuni ambayo HAIPO.
Kanuni hii ndiyo inaongoza hata annulments za ndoa kwamba endapo mtu anaingia kwenye ndoa (mkataba) kwa njia ya udanganyifu au pasipo uhalali wa kufanya hivyo (kama ndoa ya baba na binti) basi ndoa hiyo inaweza kuwa annulled (maana yake siyo tu inafutwa, bali haikuwepo in the first place)
4. Kwa vile kampuni ya Richmond haipo, na kwa vile mkataba wenyewe nao haupo basi Dowans hawawezi kurithi kitu ambacho HAKIPO.
Hivyo, serikali haihitaji kwenda mahali popote ni kuwaambia Dowans park your stuff and leave kwa sababu HAKUNA mkataba kati yako na TANESCO. Hili halihitaji uwe mtaalamu wa fizikia kuweza kuliona. Vinginevyo tumeliwa.
Tulijadili hili swala la Dowans hapa JF mwaka 2009, na leo hii ndio kilele cha yale majadiliano ambapo Tanzania government is obligated to pay a substantial amount of money.
MM alileta ajenda kwamba automatically Tanzania is not obligated to honor the contract between Dowans and Tanesco because Richmond is illegitimate entity. However, things flipped upside down, now Tanzania is obligated to honor the contract.
Is this the beginning of the end end of poor judgment within Tanzania government? I doubt. We need competence people inside this organization, people who will craft and execute strategy for the benefit of Tanzania. Until then Tanzania itaendelea kuwa shamba la bibi.
dowans suffers 3bn/- penalty former richmonduli
daily news reporter
daily news; thursday,october 04, 2007 @00:02
tanzania electric supply company (tanesco) has asked 2.43 million us dollars (about 3.06bn/-) payment in penalties from dowans holdings, following the firm's failure to fulfil its contractual obligations.
Dowans holdings entered into an agreement with tanesco to supply and install gas based generation plants at ubungo that were supposed to become operational on february 2.
Tanesco managing director dr idris rashidi said in a statement yesterday that the amount required was cumulative penalties dowans owes the power utility firm following its failure to attain commercial operation date (cod).
Dr rashidi said dowans holdings only achieved cod yesterday, instead of february 2. "this means it achieved cod 234 days behind the schedule," he said.
He said the penalty was in line with the agreement between the two parties which imposed a daily penalty of 10,000 us dollars as liquidated damages if cod is not achieved as agreed.
"the penalty is calculated from the date when the plant had to be commissioned up to the actual date when the plant is commissioned," said the tanesco boss, adding that he will request the government to deduct the amount from monthly capacity charges, starting this month.
Tanesco entered into emergency power purchase agreement with m/s richmond development company of usa on june 23, last year, in which the latter undertook to supply and install 100 mw gas based generation plants at ubungo.
The contract was among measures taken by the government and tanesco to mitigate the poor generation condition which faced the country due to poor rains.
However, in december last year, m/s richmond sought tanesco's consent to assign the contract to another company, namely m/s dowans holdings of united arab emirates, which assumed all contractual obligations and responsibilities vested upon m/s richmond.
M/s dowans however failed to commission the 100 mw plant in accordance with the terms of the agreement for reasons that were not tanesco's.
tatizo hapa wanaolipa fedha hizi serikalini ndio hao hao wanaozipokea kama dowans. Hivyo lazima zitalipwa tuu!!. Ndio maana tunataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.tulijadili hili swala la dowans hapa jf mwaka 2009, na leo hii ndio kilele cha yale majadiliano ambapo tanzania government is obligated to pay a substantial amount of money.
Mm alileta ajenda kwamba automatically tanzania is not obligated to honor the contract between dowans and tanesco because richmond is illegitimate entity. However, things flipped upside down, now tanzania is obligated to honor the contract.
Is this the beginning of the end end of poor judgment within tanzania government? I doubt. We need competence people inside this organization, people who will craft and execute strategy for the benefit of tanzania. Until then tanzania itaendelea kuwa shamba la bibi.