bm21
JF-Expert Member
- May 12, 2008
- 774
- 37
Sasa Mwakyembe ameacha kuwa msemaji wa kamati yake ya Madini na Nishati na karukia kuwa msemaji wa kamati ya Hesabu za Mashirika ya umma. Unaona sasa tatizo la ku poke his nose kila mahala? Kama uwaziri umempitia mbali basi asubiri awamu ya tano. Njia anayotumia sasa haimsaidii sana hasa kwa huyu Rais aliyopo madarakani.
Mkuu acha kauli za kikuda, swala sio mtu kupitiwa mbali na uwaziri? hapa tunaangalia hoja yake ya msingi kwani uwaziri hautusaidii sisi bari mawazo yenye kujenga taifa letu. Usionyeshe uvivu wako wa kufikiri. Lengo mahususi la kuwa mbunge si kuwa waziri!