Dowans: Another Richmond in making?

Dowans: Another Richmond in making?

hivi kwanini watendaji wasiaminiwe? mpaka Bunge ndio liamue? to me bunge is just a bunch of political ****** who wants to be re-elected. Can you guys imagine when other countries have long done away with power rations, and these countries are a way poor than us?Maswala ya utendaji tunaleta siasa, sasa spika amekuwa na uwezo kuliko rais? JK you are too soft.

Sijakunyaka mkuu, unamaanisha tumuache/tumuamini Dr. Rashidi afanye maamuzi yake juu ya Dowans au?.Watumishi wakipoteza imani kwa wananchi juu ya kazi walizopewa nimuhimu kuwafuatilia ili wasiharibu zaidi. Hata katika familia baba akiona watoto wanaakili nzuri na wanauwezo wa kufanya maamuzi sahihi huwaacha wafanye mambo yao kwakumpa taarifa tu, bali akigundua ni wavivu wa kufikiri huwambia wamshirikishe kila wanachotaka kufanya
 
Mkuu Ogah,

Hiyo ndio taarifa ya kutumia kununua mtambo wa dola 30m? Kumbe ndio maana Richmond walituzidi speed.

Kamati ya bunge walisema kuna mitambo ni bei rahisi, si watoe data kamili? Pia waeleze hiyo ya DOWANS ni pesa ngapi?

Longo longo za sisi watanzania zimezidi. Watu wanaingia hasara kwa kukosa umeme, sisi bado ni yale yale habari za nusu nusu.
Itafika mpaka budget bado hakuna kitu zaidi ya mabishano ya siasa.

Mtanzania,
Kuna post Kokolo katoa maelezo ya kina kuhusu hizo generator sio hiyo hapo juu unayoiona........ningekuw ana muda ningeitafuta nikuwekee....hat ahivyo nafikiri si kazi sana kupata information kama unahitaji mitambo kama hiyo........hakuna uchawi ktk kupata hizo infs
 
Hongera Mwanakijiji na hongera waziri Ngeleja.

Mwanakijiji kauliza maswali yote kwa makini na yamekidhi haja.

Kwa waziri nimepata yaziada manne:-
1. Ununuzi wa mashine/vifaa vilivyotumika si jambo geni na katoa mifano kadhaa ikiwemo ya hivi karibuni tu ATC.
2. Serikali haiwezi kutangaza tenda kwani muuzaji ndiye anayetaka kuuza. Tanzania ikikataa itawauzia watu wengine. Sasa hapa ni nani mwenye shida?
3. Michakato ya kununua mitambo mingine imo in process. Hapa jamaa wengi wanafikiria kuwa ukinunuliwa mtambo wa Dowans ndio mwisho kumbe mambo siyo hivyo.
4. Issue ya Dowans ilikuwa siyo iliyojadiliwa na Kamati ya Mwakyembe. Wao walijadili Richmond. Kwa hiyo kununua kwa Dowans hakuusiani na maamuzi ya kamati hiyo.

Sasa basi hiyo ya kutojua Dowans ni kampuni ya wapi, waziri kasema imo kwenye records. Hiyo si issue kwa sasa mradi mitambo ipo hapa nchini. Kung'ang'ania hilo ni kutafuta tu vijikosa vidogo vidogo.

Interview hii kwa kweli imetusaidia sana. Endeleza mtindo huu kwa issues nyingine sensitive kama hii.

Hivi hebu niulize. Kama mtu umeshikwa na ugonjwa wa homa katakata akaenda pharmacy kununua dawa na akagundua kuwa pharmacy hiyo ni ya fisadi, wakati huo ni usiku wa manane hakuna pharmacy nyingine, na yeye yuko taaban kwa homa, jee atanunua dawa hapo au atangoja mpaka kesho yake na a risk kifo usiku huo? Jamani nisaidieni..

hatupo kwenye kugundua........TUNAJUA
 
Mkuu, mfano ulioutoa umejaa utendajikazi wa kitoto kama wa Ngeleja. Huwezi kuwa unaumwa halafu ukakaa tu mchana kutwa unasuburi usiku wa manane kutafuta dawa! Ulikuwa wapi kununua dawa hiyo mapema kama wewe si mzembe wa kutupwa? Vilevile, aliyekuambia usiku wa manane ni pharmacy tu zinafanyakazi ni fisadi aina ya Rostam. Ukweli ni kwamba hospitali zipo zinazofanyakazi usiku kucha! Amka mzee, usiwe kama Ngeleja! Bunge lilishatamka kuwa mradi huo ni wa kifisadi mwaka jana mwezi Februari. Badala ya kuanza mara moja kutafuta generators mbadala, unasubiri until zero hour kulalama na kumlilia fisadi akusaidie! Una akili kweli? Hufai, achia ngazi!
 
Jamani hebu niwaulizeni:
Ni wapi Zitto amekosea? Mbona tunaharakisha kumhukumu kuwa ni fisadi, ni rafiki ya Rostum, ameshapokea hongo etc.etc? Nimesoma threads zake zote hakuna mahali Zitto amesema kuwa Tanesco LAZIMA wanunue mitambo ya Dowans. Au mimi ndiye mbumbumbu?
 
Zito kamati yako inaleta lugha tata je mkono wa rostam umewafikia na kama la nini kinawafanya leo hii muitetee mali ya kifisadi inunuliwe na fedha za wanyonge??
Mitambo ya kuzalisha umeme imejaa sana USA. Na hiyo ya richmonduli ilitoka General Electrical usa na waliinflate bei big time sasa kwanini tuinunue wakati haina wala warrant??? umekula ngapi zito ???

Kama shida ni mitambo ya kuzalisha umeme wasilianeni ni watanzania waishio mtoni watawapeni makampuni na bei za mitambo mnayotaka kwa robo ya bei ya mitambo ya richmunduli.
 
Mimi sijui, mitambo ya Dowans imekuwa wimbo wa kufunika mambo ya Fedha za EPA, Alex Stewart na Majengo Pacha ya BOT
 
Ni vizuri kama ungezitaja hizo bei za mitambo kabisa, kwa kuwa inaonekana unazijua ndo maana ukasema kuna mitambo inayopatikana kwa bei ambayo ni robo ya hii ya Dowans. Tuwekee hapa Dowans wanauzaje na hiyo ya mtoni inauzwaje, na yote iwe na Technical specification zinazolingana au ya mtoni iwe bora zaidi. Utuwekee uwezo wa mitambo hiyo in terms of Megawatts au KVA etc. Binafsi mi ningefurahi kama ungeweka data zote.
 
Jamani hebu niwaulizeni:
Ni wapi Zitto amekosea? Mbona tunaharakisha kumhukumu kuwa ni fisadi, ni rafiki ya Rostum, ameshapokea hongo etc.etc? Nimesoma threads zake zote hakuna mahali Zitto amesema kuwa Tanesco LAZIMA wanunue mitambo ya Dowans. Au mimi ndiye mbumbumbu?

Ndivyo Mbunge Kijana alivyonukuliwa na vyombo vya habari. Pia ndivyo ambavyo sentensi tete zake za mwanzo zilivyokuwa zinaisonda kidole Dowans. Kama toka mwanzo tungesikia amesema "wanunue mitambo yoyote ili kutunusuru na giza" basi tusingepata huo utata.
 
Zito, watanzania watakuhukumu wakati ukifika. Kumbe na wewe ni fisadi mkubwa.
Shetani LUCIFELI akubaliki . AMEN
 
Jamani hebu niwaulizeni:
Ni wapi Zitto amekosea? Mbona tunaharakisha kumhukumu kuwa ni fisadi, ni rafiki ya Rostum, ameshapokea hongo etc.etc? Nimesoma threads zake zote hakuna mahali Zitto amesema kuwa Tanesco LAZIMA wanunue mitambo ya Dowans. Au mimi ndiye mbumbumbu?

Zito ameandika kwa kidole chake humu kwamba sheria ya manunuzi si msahafu yaweza kubadilishwa mitambo inunuliwe.

Ameandika kwamba kunua mitambo mipya itatuchukua miaka miwili wakati DOWNS nikuwasha tu.

Amesema kamati ya Shelukindo hawakuisikiliza Tanescco na msimamo wa Tanescco ni kununua mitambo ya DOWNS.

Harafu mimi nafikiri huu utetezi mwingine mnaofanya ndio unazidi kuharibu.
Utetezi unatakiwa sasa hivi nikukiri kosa na kuomba msamaha ukiambatana na maelezo ya kutosha na kuridhisha juu ya nini hasa kilimusukuma kufanya vile.

Mimi akili yangu inanituma kwamba alipewa au aliahidiwa kitu na ndio maana hata ubunge hautaki tena(>10% ya 60bil ubunge wa nini tena).

Ila anaweza akajitetea kwamba kilichomtuma ni kitu kingine, hatutaki utetezi eti hakusema au hakusema, eti kanukuliwa vibaya,hapana. Sana anachoweza kusema/kujitetea binafsi nikamwelewa, Ajitete kuwa alifikiri msimamo wake ulikuwa kwa masrahi ya taifa kumbe sasa amengundua yangekuwa kwa masrahi ya MAFISADI, hapo kidogo naweza kumpa nafasi nyingine, vinginevyo msimamo ni ule ule.

Huwezi kuwa safi kwa kutetea MAFISADI, Hesabu zangu za LOGIC zinanigomea.

SAFI+FISADI->MAFISADI=ZITO+RA->(ZITO,RA)ndani ya chungu kimoja.

Habari ndio hiyo ndugu yangu, mpiganaji mpaka sasa katutoroka, atarudi kundini pindi akijisafisha si kwa utetezi wa blah blah.
 
KGM;

Ngoja niwe devil's advocate hapa. Toka mada hii inaanza hakuna aliyekuja na bei ya mitambo mbadala mpaka inakuwa installed. Tungemnyooshea Zitto kidole kama tungesema kuwa mitambo kutoka US au Malaysia yaneye ubora uleule au zaidi ni Billion 40 na ya Dowans ni Bilion 60. Ila mitambo ya kutoka nje itachukua miaka miwili. Kimahesabu Billions 20 ni nyingi. Tuagize kutaka nje.

Huo ndo uchambuzi niliokuwa nikiisubiri hapa.

Tatizo lingine ni kuwa sehemu kubwa ya umeme wetu unatokana na Maji. Je tumefanya analysis kujua kama mvua hazitanyesha mwaka huu?.

Suala zima mi naona ni siasa tupu.

Wezi watupu wote huko Sirikalini na Tanesco!
 
Tatizo la ishu nzima ni kuwa watu mambo ya kitaalamu wanaleta bungeni kusiko na wataalamu husika, baadala ya kuwaachia wataalamu wawape proposals, halafu waangalie ipi inawezekana kuwa implemented.

Sasa matokeo yake ndiyo haya, ufujaji wa fedha za wananchi kwa kamati za wanasiasa kukaa chini kujadili vitu wasivyo na upeo na navyo. Baada ya vuta nikuvute still tutaletewa vitu famba.

Inauma na kusikitisha sana.
 
Ni vizuri kama ungezitaja hizo bei za mitambo kabisa, kwa kuwa inaonekana unazijua ndo maana ukasema kuna mitambo inayopatikana kwa bei ambayo ni robo ya hii ya Dowans. Tuwekee hapa Dowans wanauzaje na hiyo ya mtoni inauzwaje, na yote iwe na Technical specification zinazolingana au ya mtoni iwe bora zaidi. Utuwekee uwezo wa mitambo hiyo in terms of Megawatts au KVA etc. Binafsi mi ningefurahi kama ungeweka data zote.

General Electrical generator za megawatt 100 ni kati ya dola za kimarekani 30 to 40 million dollar.

Turbine air system ni kati ya 29 to 38 million usd
zipo kampuni kama cutler hammer, Dresser-rand nk zinatengeza power generators zote za usa kwa bei poa na zinatoa services na installation services na warrant.Vile vile zipo kampuni nyingi sana ambapo kama ni kufanya shopping utapata kwa bei nafuu mno sisi tupo kwenye energy secta haya tunayajua vizuri tanzania tuwache kuumiza masikini.

Na hizi bei ni bei ambazo sio za mapatano kwamba unaclose deal.
Kina zito na wengine wanaofanya ununuzi waache uvivu halafu mwanangu zito ni lazima ajibu hoja za spika bila hivyo anakwenda kubeba msalaba.
 
Mzee unaweza ukatupa reference, ili tuzimwage hapa zikae kwa ajili ya vizazi vijavyo, ili vione ni kwa jinsi gani tunavyokosa busara?
 
FP,
Soma hizi makala. Umeshajibiwa tayari.

Mitambo tayari ipo ni $39million for 100MW mipya pamoja na warranty ya miaka 7 from the world biggest company of manufacturing Turbine and Jet engine ni kwenda kuchukua na kuwasha, hakuna kununua second hand kwa $60million.

General Electrical generator za megawatt 100 ni kati ya dola za kimarekani 30 to 40 million dollar.

Turbine air system ni kati ya 29 to 38 million usd
zipo kampuni kama cutler hammer, Dresser-rand nk zinatengeza power generators zote za usa kwa bei poa na zinatoa services na installation services na warrant.Vile vile zipo kampuni nyingi sana ambapo kama ni kufanya shopping utapata kwa bei nafuu mno sisi tupo kwenye energy secta haya tunayajua vizuri tanzania tuwache kuumiza masikini.

Na hizi bei ni bei ambazo sio za mapatano kwamba unaclose deal.
Kina zito na wengine wanaofanya ununuzi waache uvivu halafu mwanangu zito ni lazima ajibu hoja za spika bila hivyo anakwenda kubeba msalaba.
 
Quote:
Originally Posted by Kokolo

Back
Top Bottom