Hongera Mwanakijiji na hongera waziri Ngeleja.
Mwanakijiji kauliza maswali yote kwa makini na yamekidhi haja.
Kwa waziri nimepata yaziada manne:-
1. Ununuzi wa mashine/vifaa vilivyotumika si jambo geni na katoa mifano kadhaa ikiwemo ya hivi karibuni tu ATC.
2. Serikali haiwezi kutangaza tenda kwani muuzaji ndiye anayetaka kuuza. Tanzania ikikataa itawauzia watu wengine. Sasa hapa ni nani mwenye shida?
3. Michakato ya kununua mitambo mingine imo in process. Hapa jamaa wengi wanafikiria kuwa ukinunuliwa mtambo wa Dowans ndio mwisho kumbe mambo siyo hivyo.
4. Issue ya Dowans ilikuwa siyo iliyojadiliwa na Kamati ya Mwakyembe. Wao walijadili Richmond. Kwa hiyo kununua kwa Dowans hakuusiani na maamuzi ya kamati hiyo.
Sasa basi hiyo ya kutojua Dowans ni kampuni ya wapi, waziri kasema imo kwenye records. Hiyo si issue kwa sasa mradi mitambo ipo hapa nchini. Kung'ang'ania hilo ni kutafuta tu vijikosa vidogo vidogo.
Interview hii kwa kweli imetusaidia sana. Endeleza mtindo huu kwa issues nyingine sensitive kama hii.
Hivi hebu niulize. Kama mtu umeshikwa na ugonjwa wa homa katakata akaenda pharmacy kununua dawa na akagundua kuwa pharmacy hiyo ni ya fisadi, wakati huo ni usiku wa manane hakuna pharmacy nyingine, na yeye yuko taaban kwa homa, jee atanunua dawa hapo au atangoja mpaka kesho yake na a risk kifo usiku huo? Jamani nisaidieni..