SMU
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 9,613
- 7,901
.......
Ndo maana nikasema sipo upande wowote. Mimi ni positive thinker!
Regards
FP
Hili tuachie wasomaji/wasikilizaji tutaamua😛!
.......
Ndo maana nikasema sipo upande wowote. Mimi ni positive thinker!
Regards
FP
Hili tuachie wasomaji/wasikilizaji tutaamua😛!
Uwiano maalumu;
Tanesco sio serikali ni SHIRIKA LA UMMA. Wanalipa KODI serikalini kama makampuni mengine. Labda hili suala specifically isamehewe kodi!.
Sijasema tunaropoka. Nimesema ni KAMA tunaropoka. Soma katikati ya mistari ndugu yangu mpigakura.
Soma nilivyosema kuhusu ukitaka kulinganisha CHUNGWA NA CHUNGWA.
Sina haja ya kurudia mengine.
FP
KGM;
Ngoja niwe devil's advocate hapa. Toka mada hii inaanza hakuna aliyekuja na bei ya mitambo mbadala mpaka inakuwa installed. Tungemnyooshea Zitto kidole kama tungesema kuwa mitambo kutoka US au Malaysia yaneye ubora uleule au zaidi ni Billion 40 na ya Dowans ni Bilion 60. Ila mitambo ya kutoka nje itachukua miaka miwili. Kimahesabu Billions 20 ni nyingi. Tuagize kutaka nje.
Huo ndo uchambuzi niliokuwa nikiisubiri hapa.
Fairplayer, kwa hiyo kwa vile huo mtambo unanunuliwa na shirika la umma halina tax exemption ? Huweyi kulinganisha machungwa na mtambo wa kuzalisha umeme, labda wewe positive thinker unaweza fanya hivyo kwa ajili ya u-devil's advocate.
Of course, check my postings buddy!.
Sikurupuki na data zisizofanyiwa uchambuzi. Nalinganisha apple na apple.
- Zitto inaelekea (a) Ana-kaulevi ka madaraka aliyopewa kwenye kamati, (b) Ana-ukosefu wa uzoefu wa mambo ya uongozi na biashara (c) Ameonyesha kuwa ni mgumu kukubali hard criticism. Lakini at least he has a record behind him ya kupigania wananchi. Tusimuweke pembeni bali tuendelee kumdadisi na kumsaidia ikibidi.
[*]Lakini mtu kama Mama Malecela sio wa kuamini kabisa, she is a populist na sijaona matendo yake yakafanana na anayopigiaga kelele. Ameifanyia nini nchi hadi hivi sasa badala ya kujipandishia tu chati kwa kelele bungeni?
[*]Dr. Mwakyembe na Seleli wana maneno mazuri tunayotaka sikia, lakini hawajawahi kusimamia kidedea issues ambazo wanazijua kwa undani kuliko watu wengine na zina utata hadi leo (Richmond-Dowans). Baada ya kuandika ripoti, Dr. Mwakyembe akiwa ni mwanasheria, je wamefanya nini zaidi kuhakikisha kuwa Richmond-Dowans inakuwa dealt with once and for all?
Uwiano maalum;
Sielewi husichokielewa hapa. Nimesema bei zilizotolewa ni ya mtambo ukiwa kwa manufacturer, kwa kitaalamu ni Ex factory price.
Nikaendelea kuchambua kuwa ili ulinganishe na mtambo wa Dowans ambao umeshakamilika na kuwa tayari kuanza kazi, inabidi uongeze gharama zinazofuatia kwenye bei ya Generators zilizopo nje ya nchi.
Nikasema mwanzoni kuwa kulinganisha Ex Factory price na FREE DOMICILE price of the Power generators is just like comparing Chungwa na maembe.
Inawezekana naongea/jadiliana na mtu asieelewa manunuzi ni nini na HATAKI kuelewa!
What is your point bro?!?
Regards
FP
Uwiano maalum;
Sielewi husichokielewa hapa. Nimesema bei zilizotolewa ni ya mtambo ukiwa kwa manufacturer, kwa kitaalamu ni Ex factory price.
Nikaendelea kuchambua kuwa ili ulinganishe na mtambo wa Dowans ambao umeshakamilika na kuwa tayari kuanza kazi, inabidi uongeze gharama zinazofuatia kwenye bei ya Generators zilizopo nje ya nchi.
Nikasema mwanzoni kuwa kulinganisha Ex Factory price na FREE DOMICILE price of the Power generators is just like comparing Chungwa na maembe.
Inawezekana naongea/jadiliana na mtu asieelewa manunuzi ni nini na HATAKI kuelewa!
What is your point bro?!?
Regards
FP
FP; nauliza je TANESCO ikinunua mtambo mpya inabidi iulipe tax?
Zaidi ya hapo, kwa nini unafikiri TANESCO iununue mtambo kwa vile tu tayari uko nchi?
Na zaidi, kwa vile huo mtambo ulihusishwa na ufisadi, au uliletwa nchini kifisadi, ukaligharimu Taifa fedha nyingi, je huoni ni makosa kwa TANESCO kuununua huo mtambo, na kitendo cha kununua mtambo huo kitaweza kufananishwa na kununua bidhaa ya wizi?
Je ni kwa nini huu mtambo usitaifishwe na serikali au TANESCO kufidia hasara iliyokwisha sababishwa na manunuzi ya mtambo huu hapo awali?
Wakuu,
Nilivyo muelewa Zitto pamoja na Idrisa wanachotaka kusema ni kuwa tunahitaji kitu cha haraka. Tatizo ni kwamba when it comes to ile kamati ya nishati wao nawaona kama wanaweka siasa zaidi ya maslai ya taifa. The time malumbano yanaanza issue za cost hazikuwa zimefikiwa. Lakini Idris alisema no matter what, wanacho hitaji ni mitambo sasa kama serikali itanunua ile ye dowans or mingine mipya it is the question of the cost benefit ambapo serikali ilitakiwa kufanya. Moreover, hizi kamati za bunge ni kutoa ushauri bt decision inarest kwa serikali. Kama mambo yakienda vibay then bunge and other stake holders ndipo wanaweza kuipin serikali. Sioni sababu kwa nini hii isue inachukua mjadala mreeefu na kupoteza muda. the thing is decision has to be made.
FP,
Umeiweka vizuri, kwa wale wanaoweza kusoma btn the lines, wataelewa wale wenzangu na mimi wanaopenda kuongea sana, kuandika sana bila kusoma wataendelea kukubishia tu na wapo wengi hapa JF.
Mimi nizungumzie lingine kidogo....
Scenerio I: Mtambo ambao up operational, unafanya kazi, vipuri vipo... etc.
Scenerio II: Mtambo ambao uko kiwandani, au utazalishwa kampuni ikipata Tenda.
Scenerio III: Hoja ya Tanesco; Generation na Consuption hakuna umeme wa dharurua in case mtambo wowote mkubwa ukiharibika.
Naanza;
Fair Player ameweka sawa kabisa kwamba mpaka sasa wanasiasa wanaongea vitu nusu nusu, isipokuwa Zitto tu, na wengi hawamuelewi kwa sababu hawajasoma kila kitu kwa undani.
Scenerio II: Processes...
Mwanasiasa yeyote ambaye analinganisha bei tu... bila kuwasoma TANESCO wanaongea nini hatufai na anarudisha nyuma maendeleo ya Taifa.
- Tender Process - 3 Months
- Assempling and Manufacturing of Generator Sets - 6month
- Shipping processes of Generator Sets - 2 Months
- Installation of Generator Set - 4 months
- Testing and commissionoing - 3months.
- contingency - 4months
- TOTAL - 2years...
- Wakati Munafikiria hili... angalia current capacity ya TANESCO ambayo wanatakiwa kuwa na umeme wa ziada ambao ni 15% ya total consuption au umeme ambao ni equivalent na mtambo mkubwa mmoja.
Mpaka sasa TANESCO wana hoja ambayo.... wanasiasa hawajaielewa... lakini siku Taifa likienda gizani... TANESCO watajivua na Dr. Idrisa atawaambia waambie wabunge wenu wawaletee huo umeme.
Tunasahau sana watanzania... Haijapita miezi 6 (sita) mitambo ya Songas ilipata itilafu... tukaingia kwenye mgao ambao tulidhani tusingeingia tena..
Waulize TANESCO tuna upungufu wa capacityyyyyyyyyyyyyyyy.... hivi kwa nini hamuelewi!!!! au niwachape vipoko kama yule DC.
Sio kila kitu kinahitaji siasa.