macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,162
- 59,958
Hapana. Mimi sizungumzii dialet au accent ambacho ndicho unadhani wewe.Kiingereza cha kitanzania hicho
Kuna Kiingereza cha wanaijeria, waghana,wahindi
Zote hizo ni broken English
Hapana. Mimi sizungumzii dialet au accent ambacho ndicho unadhani wewe.Kiingereza cha kitanzania hicho
Kuna Kiingereza cha wanaijeria, waghana,wahindi
Zote hizo ni broken English
Utetezi sampuli hii kama yako huwa inanishangaza sana.Aisee!Hiyo lugha sio yetu , kinachoshangaza upo busy kumkosoa mtu kwa lugha ambayo sio asilia yake.
Usomi sio kujua kiingereza.
Tazama china, tazama India, Pakistan, Japan ENGLISH wanayoiongea ni mbovu sana ila.....
Kumtetea umeweza ila swali dogo umelikimbia!Hilo swali mtafute umuulize yeye.
Mimi nimezungumzia watu kucheka Broken yake ova.
swali ni je kwa nini aongee lugha ambazo haiwezi?Waafrika tulio wengi bado tuna ukoloni mamboleo vichwani mwetu.
Wengi wanaamini kiingereza ni kipimo cha ustaarabu na kuwa na akili.
Kiswahili tunakichukulia kama lugha ya kuombea chenji sokoni au kupiga majungu vijiweni.
Ni ugonjwa wa kisaikolojia wa kutaka kuonekana msomi kwa lugha ya mkoloni huku ukiwa kilaza wa lugha yako mama.
Jibu la hili swali , soma paragraph ya pili hapo.swali ni je kwa nini aongee lugha ambazo haiwezi?
Sijui ya nini ila kasomea Chuo cha UshirikaBashite ana degree ya nini?
Kaisomea wapi?
Sijui hata unamaamisha niniSio kweli Mkapa J. Makamba Mboe Henche Sugu wanashinda Uk au Kenya?
Kwa hiyo kusema Done your research ni lafudhi na sio broken?Kiingereza cha kitanzania hicho
Kuna Kiingereza cha wanaijeria, waghana,wahindi
Zote hizo ni broken English
Lakini kweli ataenjoi Weza nzuri Wajameni 😳 !View attachment 3591661
Halafu English yake imeishia hapo Ubungo tu hapo ikitokea Magomeni 😂😂😂😂
Haya mkuu.Sio sawa na broken English anayozungumza Bashite
Nina hi sikitika, Rio na Drogba, heshima Yao itashuka Kwa kushirikiana sirikali unayo Baka watu wake na kujipachika madarakaniView attachment 3591661
Halafu English yake imeishia hapo Ubungo tu hapo ikitokea Magomeni 😂😂😂😂
Hata ingekuwa ni sehemu ya lazima yeye kuongea kiingereza bado watu wangecheka tu, ndio utamaduni tuliyojijengea. Kiswahili kibovu akiongea mzungu au muhindi huwa hatuna muda wa kucheka tunasikiliza ili kumuelewa na sio kutaka aongee kiswahili kizuri ila linapokuja suala la sisi kuongea kiingereza hapo ndipo ufasaha wa lugha unapozingatiwa.Kwani kalazimishwa kuongea kingereza, kama hajui si atafute mkalimani kuliko kuongea madudu.
Hilo mbona liko wazi kabisa, wengi wanafikiri wabongo tungepaswa kuwa na uwezo mzuri wa kuongea kiingereza et kisa tu shuleni tunafundishwa kwa kiingereza.Ujue hili tatizo ni la watanzania wote sio Makonda tu.
Tunaweza tukawa sahihi kwa kuwakosoa hawa viongozi hapa na pale, lakini tatizo linaishaje?
Nina uhakika mleta mada naye akipewa nafasi ya kujieleza kwa kiingereza ataboronga.
Unaamini kusoma somo la kiingereza basi moja kwa moja kunafanya kuwa na uwezo mzuri wa kuweza kuongea kiingereza fasaha?Hii hoja haina nguvu kabisa.
Mtanzania wa kawaida aliyehitimu chuo kikuu anakuwa amesoma kiingereza kwa miaka 9(4 O level, 2 A level, 3 degree).
Ubovu wa taasisi za elimu ndo mzizi wa hili tatizo.
Kiingereza ni lugha kuu ya kibiashara ya dunia, nchi masikini kama yetu itawezaje kuzalisha wafanyakazi bora na kuchangia kwenye mijadala migumu ya kiuchumi bila kiingereza? Kumbuka sisi ni masikini, hatuwezi kuipangia dunia.
Lee Yuan Kew aliwekea mkazo elimu ya kiingereza ili wananchi wa Singapore wapate ufahamu mpana wa kidunia, angalia Singapore ilipo sasa.
Are you that dumb??Hata ingekuwa ni sehemu ya lazima yeye kuongea kiingereza bado watu wangecheka tu, ndio utamaduni tuliyojijengea. Kiswahili kibovu akiongea mzungu au muhindi huwa hatuna muda wa kucheka tunasikiliza ili kumuelewa na sio kutaka aongee kiswahili kizuri ila linapokuja suala la sisi kuongea kiingereza hapo ndipo ufasaha wa lugha unapozingatiwa.
Ndio maana nikasema hiki kiswahili tunachoongea kuna kiasi kikubwa si kuswahili fasaha na wenyewe tushazowea hatujui kama si fasaha na kudhani hivyo ndivyo sahihi.Huko mtaani hata humu JF, asilimia kubwa ya watu hawajui sarufi ya kiswahili fasaha.
Sasa utamcheka vipi mtu anayeandika " kuhairisha " badala ya "kuahirisha " wakati na wewe mwenyewe ukiandika unachanganya R na L?
Kifupi , tumezoea ujinga wa pamoja kiasi kwamba usahihi umeanza kuonekana ni ushamba.
Kama tumeshakubali kwamba sisi hata tukisoma Kingereza hatuwezi basi tuachane nacho kabisa, tusome Kiswahili secondary na chuo kikuu.Unaamini kusoma somo la kiingereza basi moja kwa moja kunafanya kuwa na uwezo mzuri wa kuweza kuongea kiingereza fasaha?
Ina maana hizo nchi hawana somo la english katika masomo yao?Kuna kitu huelewei,
Ukiwakuta Wahindi, Wachina, Wairan, Wafaransa, Wajerumani, Waturuki n.k ambao wana English ya kudokoa basi ujue hawakusoma English, tatizo ni kwamba sisi mtu anakuwa amefundishwa kwa English miaka takribani kumi ukiondoa miaka ya primary ambapo English ni somo la lazima pia na bado hawezi kujieleza au kufanya mazungumzo ya maana kwa Kingereza hata kwa dakika kumi tu. Kubalini tu tuna matatizo katika bongo zetu au mfumo wetu wa elimu ni mbovu.