Martrix_32
JF-Expert Member
- Dec 1, 2025
- 1,022
- 2,044
hakika, kama hii nliisikia " yani mimi tangu nijielewe na kuwaelewa watu sina rafiki my friend " 😇Wengi wanaamini kiingereza ni kipimo cha ustaarabu na kuwa na akili.
tuithamini lugha yetu na iendelee kukua kimataifa 💪Kiswahili tunakichukulia kama lugha ya kuombea chenji