UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 18,082
- 9,498
KIingereza cha kuongea hiko mkuu, sio cha kusikiliza na kusoma. Hili suala mnalijadili juu juu sana.Sijui kwa nini nchi tunapenda sana kulea ujinga na mediocrity, yani mtu anasoma Kingereza kuanzia primary mpaka degree au PhD na bado hawezi kufanya mezungumzo coherent hata kwa dakika tano tu halafu watu wanachukulia poa tu!