gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,168
- 17,608
Mbona yuko sahihi tu,wewe ndiyo hujui kiingerezaView attachment 3591661
Halafu English yake imeishia hapo Ubungo tu hapo ikitokea Magomeni 😂😂😂😂
Mbona yuko sahihi tu,wewe ndiyo hujui kiingerezaView attachment 3591661
Halafu English yake imeishia hapo Ubungo tu hapo ikitokea Magomeni 😂😂😂😂
Hapo hakuna broken, nyuma ya done your proper research kuna you've,kaiacha hiyo kaonesha ukomavu tofauti na kiingereza cha wabongo wengi wanaoongea kama wanasoma kitabuSio sawa na broken English anayozungumza Bashite
Kwa upande mmoja kwa mfano nikisema nakubaliana na hizo hoja zako zote,swali ni kuwa kwanini tunacheka sasa tunapomuona mtu anakosea kuongea kiingereza ikiwa hayo uliyoeleza ndio chanzo chenye kufanya watanzania wengi kushindwa kuongea vizuri kiingereza?Sasa hapa umeanza kupata akili, huu ni mjadala muhimu.
Hizi zinaweza kuwa sababu,
1. Ubora wa elimu yetu ni mdogo sana kwa sasa, kiwango kimeshuka tangu enzi za Mkapa na JK baada ya serikali kujikita katika kujali wingi wa majengo na kupuuza quality ya walimu, na hii sio kwenye lugha tu bali elimu kwa ujumla. Wengi waliohitimu vyuo kuanzia 2000s hata uwezo wao wa kujenga hoja, kujieleza na kuelezea jambo hata kwa lugha ya Kiswahili ni mdogo sana. Shule nyingi na vyuo vingi duniani vinavyotumia lugha ya Kingereza huwa kunakuwa na debate clubs ambazo ni sehemu ya kuberesha oratory skills, lugha na uwezo wa kujenga hoja, Tanzania hakuna hili.
2. Mfumo wa elimu yetu shule za umma hauweki msingi mzuri au ku support wanafunzi kujua Kingereza, cha kufanya sasa ni kuzifanya shule zote za umma English medium kwani tuna ushahidi wa wanafunzi wanaosoma shule za English medium za msingi Tanzania, Kenya na Uganda kuwa na uwezo mzuri wa kuzungumza Kingereza bila kubabaika.
3.Uongozi mbovu umeua utamaduni wa kujisomea katika nchi. Kuna mahusiano makubwa sana kati ya kusoma vitabu na uwezo wa kuzungumza lugha, hii nchi suala la kujisomea vitabu ni kama liliisha na Mkapa, na sidhani kaman kuna serikali tofauti na serikali ya Nyerere huko 1960s na 1970s zimewahi kujihusisha na maktaba za umma.
Kwa sababu hakuna haja ya kulazimisha kuongea Kingereza kibovu ukiwa ni kiongozi, kama hujui Kingereza ongea tu Kiswahil, vinginevyo utaonekana kuwa sio mtu serious kama Shilole au Dotto Magari.Kwa upande mmoja kwa mfano nikisema nakubaliana na hizo hoja zako zote,swali ni kuwa kwanini tunacheka sasa tunapomuona mtu anakosea kuongea kiingereza ikiwa hayo uliyoeleza ndio chanzo chenye kufanya watanzania wengi kushindwa kuongea vizuri kiingereza?
Sasa unaweza kukuta watu wa namna hiyo kwenye kiingereza kama somo akawa hafanyi vizuri lakini kwenye kuongea akawa anaongea tu vizuri, kama ambavyo unaweza kukuta mtu anafanya vizuri katika somo la kiingereza ila kwenye kuongea sasa ikawa shida.Hiyo nayo ipo.Kuna watu wana vipaji na wepesi kujua lugha mbalimbali.Wepesi mnoo.Mfano mmoja ninao chini ya paa ninalooshi.Anaweza kuzungumza lugha za asili na za mataifa kadhaa tena kwa madaha sana.Ipo hivyo muda mwingine.
Hao viongozi mara zote hutumia kiswahili kwenye mazungumzo, ila wakiongea japo kidogo kama hivyo inakuwa bonge la issue watakaoongea vizuri watasifiwa na watakaokosea watachekwa.Kwa sababu hakuna haja ya kulazimisha kuongea Kingereza kibovu ukiwa ni kiongozi, kama hujui Kingereza ongea tu Kiswahil, vinginevyo utaonekana kuwa sio mtu serious kama Shilole au Dotto Magari.
Unatumia neno ''tunachoongea'' wewe na nani? Mkeo au mumeo?Unadhani hiki kuswahili tunachoongea ni fasaha?
Kujua lugha nyingi za kigeni ni sign ya mtu mwenye IQ kubwa.Hiyo nayo ipo.Kuna watu wana vipaji na wepesi kujua lugha mbalimbali.Wepesi mnoo.Mfano mmoja ninao chini ya paa ninalooshi.Anaweza kuzungumza lugha za asili na za mataifa kadhaa tena kwa madaha sana.Ipo hivyo muda mwingine.
Moja waalimu, pili ntu mwenyewe, hasa baada ya uhuruHivi tujiulize kama kweli kutumika kwa kiingereza masomo yetu ndio kunaweza kumfanya mtu aweze kuongea kiingereza vizuri na kwa ufasaha sasa kwanini watanzania tuna shida ya kuongea vizuri kiingereza?
Kama Daudi Bashite alitaga Form IV na kisha akanunua cheti cha Paul Makonda hamna namna ataongea English iliyonyooka.View attachment 3591661
Halafu English yake imeishia hapo Ubungo tu hapo ikitokea Magomeni 😂😂😂😂
Jamaa Yako huyo wa done your risechi well Huwa unamuwezeaga sana aisee.Halafu watu wanatetea ujinga kama huu kusemwa na mtu aliyesoma mpaka chuo
DuhKama Daudi Bashite alitaga Form IV na kisha akanunua cheti cha Paul Makonda hamna namna ataongea English iliyonyooka.
Daaadadeki. Huyu anatuzidi matako tu ila English inamnyanyasa
Wewe umekaririshwa kama kasuku. Ndugu Mtanzania, kutokujua kwenu Kiingereza ndo kunakofanya mshindwe kuchangamkia fursa zilizo nje ya nchi yenu.Kenya waliishobokea English sana ila tazama hivi sasa ENGLISH hawaijui na kiswahili pia hawakijui.
Hiyo ni broken EnglishKwa hiyo kusema Done your research ni lafudhi na sio broken?
Tuishia hapa.Unatumia neno ''tunachoongea'' wewe na nani? Mkeo au mumeo?
Una maana ya kwamba moja ya sababu ya watanzania kushindwa kuongea vizuri kiingereza ni kwamba hatuna waalimu wazuri wa somo la kiingereza?Moja waalimu, pili ntu mwenyewe, hasa baada ya uhuru
Ila Prof Ndalichako, nilicheka sana ile siku, [emoji23][emoji23][emoji23]Wabongo tuna allergy na English. Imagine huyo ni waziri na ana degree! Professor Ndalichako akizungumza ndio utazimia kabisa.
Huu uongo ndio unafanya taifa hili kuwa hapa kila siku.Wwe ndie kilaza unae amini kujua kiingereza ndio kuelimika.
Haswaaa!! [emoji23][emoji23]Halafu nimekuja kugundua watu wengi wakishaona kiingereza kinawapiga chenga wanaanza kusingizia kwamba kiingereza sio lugha yetu.... Sasa tunakiongea cha nini wakati sio lugha yetu... Kiingereza kikikupiga chenga kubali tu usilete visingizio.