Done your proper research?! Kingereza cha ugoko cha Bashite

Hiyo lugha sio yetu , kinachoshangaza upo busy kumkosoa mtu kwa lugha ambayo sio asilia yake.
Usomi sio kujua kiingereza.
Tazama china, tazama India, Pakistan, Japan ENGLISH wanayoiongea ni mbovu sana ila.....
Unamaanisha nini ukisema hiyo lugha siyo yetu?
English na Kiswahili ni lugha rasmi za Tanzania ambazo kila mtu anatakiwa kuzijua kwa ufasaha.
Msemo wa ..' hiyo lugha siyo yetu' , hautakiwi kuwa kichaka cha kuficha mapungufu yaliyosababisha watu wengi kutojua kwa ufasaha hiyo lugha.
Mapungufu yaliyosababisha hilo tatizo linajulikana....kwamba tuna walimu wachache sana wenye sifa ya kufundisha English....achilia mbali maeneo mengi hakuna hata hao walimu wa kubabisha.
Na ukweli mchungu ni kwamba tuna uhaba mkubwa wa walimu bora katika masomo yote...ila kushindww kwa wanafunzi kumudu kuongea na kuandika kwa kingereza ni kielelezo cha wazi cha mapungufu au uhaba wa walimu.
Ni kweli tunatakiwa kujivunia kuongea na kuandika kiswahili ,lakini vilevile hatuwezi kuacha kujua kingereza kwa ufasaha.
Kusema kwamba kwanza hiyo lugha siyo yetu ....kwa hiyo siyo ya lazima ni sawa na kutumia msemo wa sungura...."sizitaki mbichi hizi'....,baada ya kurukia ndizi zilizoiva kwa muda mrefu na kushindwa.

Haiwezekani tatzo likawa ni mwanafunzi....kwamba apewe somo la kingereza kwa miaka 5 au 7 lakini ahitimu shule ya msingi asimudu hiyo lugha.
 
Sijui kwa nini nchi tunapenda sana kulea ujinga na mediocrity, yani mtu anasoma Kingereza kuanzia primary mpaka degree au PhD na bado hawezi kufanya mezungumzo coherent hata kwa dakika tano tu halafu watu wanachukulia poa tu!
 
Halafu nimekuja kugundua watu wengi wakishaona kiingereza kinawapiga chenga wanaanza kusingizia kwamba kiingereza sio lugha yetu.... Sasa tunakiongea cha nini wakati sio lugha yetu... Kiingereza kikikupiga chenga kubali tu usilete visingizio.
Kweli,wengi matokeo yake wanawapeleka watoto wao shule za 'English medium'.
Halafu hawataki kurekebisha jambo kwa manufaa ya sasa na baadae(kuhakikisha mfumo wa Elimu unawezesha kila shule inabadolishwa kuwa 'English medium.Kiswahili kibaki kama somo tu).
 
Shida tuliyonayo wengi hatuna mazoea ya kuongea huyo lugha mara kwa mara sasa inapotokea upo kwenye kundi la watu unataka kuonekana na wewe umo unaishia kutoa boko, unaweza kuwa kitu unakijua kabisa ila ndio ile shetani anapenda kuabisha mbele ya watu
Sio kweli Mkapa J. Makamba Mboe Henche Sugu wanashinda Uk au Kenya?
 
Sijui kwa nini nchi tunapenda sana kulea ujinga na mediocrity, yani mtu anasoma Kingereza kuanzia primary mpaka degree au PhD na bado hawezi kufanya mezungumzo coherent hata kwa dakika tano tu halafu watu wanachukulia poa tu!
Upuuzi zaidi mtu huyo anatumia nyaraka zilizoandaliwa kwa Kingereza katika utendaji wake. Hiyo mikataba yote ipo Kingereza, sheria na sera ni English. Halafu eti tuchukulie poa
 
Hiyo lugha sio yetu , kinachoshangaza upo busy kumkosoa mtu kwa lugha ambayo sio asilia yake.
Usomi sio kujua kiingereza.
Tazama china, tazama India, Pakistan, Japan ENGLISH wanayoiongea ni mbovu sana ila.....
Hata kama, ndio aseme Done your research? Kumbuka huyo ana degree ameanza kutumia English toka form one
 
Hiyo lugha sio yetu , kinachoshangaza upo busy kumkosoa mtu kwa lugha ambayo sio asilia yake.
Usomi sio kujua kiingereza.
Tazama china, tazama India, Pakistan, Japan ENGLISH wanayoiongea ni mbovu sana ila.....
Kwani si alikua anaongea na waandishi wa habari wabongo?! Kiingereza usichokijua cha nini? Kiswahili chetu kwanini tunakidharau? Kama hujui hujui. Huwezi ukafika level ya uwaziri hujui kiingereza kilichonyooka na rahisi. Mambo ya kustaajabisha kabisa
 
Kiingereza ni kama hakitutaki watanzania.
Mimi siku zote nasema elimu yetu iko chini vibaya sana. Mtu huwezi kusoma kuanzia darasa la kwanza mpaka chuo (unasoma lugha ya kiingereza darasa la kwanza mpaka la saba) na kuanzia form one unasoma kwa kiingereza halafu ushindwe kuongea kiingereza. Mbona Kenya wanaweza? Huyu bashite ni waziri lakini hawezi kuongea kiingereza rahisi kabisa. Kazi anafanyaje?
 
Kiingereza cha kitanzania hicho
Kuna Kiingereza cha wanaijeria, waghana,wahindi
Zote hizo ni broken English
 
Back
Top Bottom