Dokezo kuhusu Dini ya Uislam

Dokezo kuhusu Dini ya Uislam

Wakristo Wana chuki kubwa na uislam,,hata mada nyingi humu ni za kuuponda uislam,kero yao kubwa ni kwanini wanawake wa kiislam wanajiifadhi kimavazi, na kwanini waruhusiwe kuoa mke zaidi ya mmoja, wanatamani wanawake wa kiislam watembee uchi Hadi msikitini kama wafanyavyo wanawake wa kikristo kwenda uchi kwenye Ibada,
Na pia wanaume wa kiislam wawe na vimada kuliko kuwa na wake wa ndoa......hii dini ya mazuzu !unakuta jitu Lina elimu linatapeliwa na kina kuhani Musso,au na mwampesa
Umeandika ujinga mzeemakoti
 
Nimekuambia, hakuna dini hata moja ambayo nimewahi kusikia kuwa inahamasisha waumini wake wavae mavazi yasiyo ya heshima. Kama ipo, niambie ni ipi.

Awe mkeo au dadako au binti yako, sidhani utapenda avae mavazi yanayoonesha sehemu ambazo kila mmoja anajua kuwa zinatakiwa kusitiriwa, na hilo siyo kwa sababu ya kuogopa kuwa atatongozwa, bali ni kulinda maadili ya jumla. Hata wewe hapo ukawa na dadako, amevaa hovyo, ni dhahiri kuvaa kwake hovyo hakuwezi kukufanya wewe umtongoze, lakini itakukera kwa vile dadako inaonekana haheshimu utu wake.

Kuna kosa linafanyika, tendo la mtu binafsi iwe huyo mtu ni mkristo au muislam au wa dini nyingine yoyote, lisichukuliwe kuwa ndiyo mafundisho au maagizo ya dini yake. Mimi mwenyewe, miaka ya huko nyuma nilienda beach hotel ilikuwa inaitwa Silversands Hotel muda wa jioni, mita chache kabla ya kufika hotelini tumawaona mabinti wanavua hijabu, wanabakia na vimini, zile hijabu wanawapa vijana wawatunzie. Nilishtuka, nilipowauliza wazoevu wa.mazingira yale, nilishangaa. Lakini ujumbe wa wazi nilioupata ni kwamba wale mabinti ni lazima wanatoka kwenye familia zisizoruhusu uvaaji wa namna ile, lakini ambaye hakumwona wakati anatoa hizo hijab, kama akimwona vile alivyokuwa na vimini, na akijua ni muislam, unataka aamini kuwa uislam ndiyo umemwelekeza avae vile. Nilienda Zanzibar, nako ni vile vile, tena naona kule imekuwa rasmi. Kwenye mahoteli makubwa yale ya kitalii, mabinti wa kiislam wanatoka majumbani na hijabu, wakifika pale kuna chuma maalum cha kwenda kubadilishia nguo, wanatoka na vimini.

Ndiyo maana tunasema kuwa kwenye imani, mfundishe muumini anachotakiwa kufanya, uamuzi wa mwisho ni wa kwake. Huwezi kulazimisha imani, la sivyo utadanganywa. Mimi sinywi pombe, siyo kwa sababu ya imani, bali mwenyewe siamini kaa ni kinywaji chema. Kwa sababu hicho ndicho ninachokiamimi, siyo rahisi mtu kunibadilisha. Lakini wapo waislam ambao wanaambiwa wasinywe pombe, wanakubali, lakini wakitoka hapo, wanaitafuta hata kwa gharama kubwa, lazima wapate. Nenda Saud Arabia, ukishuka tu uwanja wa ndege wa Riadhi, unaanza kufuatwa na waarabu wa pale, kwa siri wanaanza kukuuliza kama unataka pombe au mwanamke, uwaambie utakuwa hoteli gani ili wakuletee. Lakini Saud Arabia, biashara ya pombe na ukahaba imezuiwa. Ukienda kwenye takwimu za ununuzi wa mitambo ya kutengenezea pombe majumbani toka Marekani, Saudi Arabia ndiyo nchi inayoongoza kununua. Kwa hiyo ina maana pombe haitengenezwi kwenye viwanda rasmi, inatengenezwa majumbani
Mavazi yasiyo na heshima ni mtizamo wa kijamii, kimini ni vazi lisilo na heshima kwa Waswahili wa bongo ila nchi nyingine nyingi ni vazi la kawaida tu, Magharibi walichukua dini ya Ukristo ila hawakuchukua au kuzingatia sana utamaduni wa Wayahudi au wa mashariki ya kati wa mavazi ya kujifunika ghubighubi, vyakula na usafi. Waislamu walichukua dini ya Uislamu na sehemu kubwa ya utamaduni wa zamani wa mavazi wa baadhi ya jamii za mashariki ya kati na ndio wanalazimisha sana ionekane hayo mavazi ya majuba, niqab, hijab na ushungi ni mavazi ya heshima.

Hata hivyo katika historia ya binadamu kwanza hata binadamu wengi walikuwa hawavai nguo zamani.
 
Tambua kuwa kabla yako walikuwepo watu mithili yako waliokuwa bora na wenye nguvu zaidi yako..Lakini kutokana na kiburi na dhihaka zao mwisho wao ulikuwa mbaya...!!

Mungu anasema kuwa



Quran 46:26

"Na bila ya shaka tuliwaweka vizuri sio kama tulivyo kuwekeni nyinyi; na tuliwapa masikio, na macho, na nyoyo. Na hayakuwafaa kitu masikio yao, wala macho yao, wala nyoyo zao kwa lolote. Kwani hao walikuwa wakizikataa Ishara za Mwenyezi Mungu, na yale waliyo kuwa wakiyafanyia maskhara ndiyo yakawazunguka"
Kwamba kule peponi hakuna mabikra 72?

Hebu acha matani mkuu.
 
Hawa machoko wa kigalatia wala wasikupe tabu, ingia kwenye hizo na matusi ya kutosha tu mpaka wanaikimbia mada yao, tangu lini upoteze kulumbana na mashoga
sisi wanatukimbia maana mabanzi mwanzo mwisho humuhumu.
Wanatujua humu kila siku wanatutagi tunaingia kuifunga mada na matusi mwanzo mwisho
Ukiona mwanaume anajisifia kua anajua kutukana, ujue kuna walakini.....
 
Salama leko. Nimefurahi kuona kijana ameamua kujiunga nasi kuja kupata mademu wakali 72 bikra. Tena bikra zinazoziba kila baada ya kumaliza tendo na wenye utamu kupitiliza. Aje huku sisi hatuna mambo mengi. Ni kuwachapa nao tu akina faiza foxy na huyu somebody anna bella mwanzo mwisho. Hakuna kulala.
Nami nasema ni aheri kitojihusisha na ngono ungali hai ilikusudi ukifika peponi mabikra 72 wawe halili yako. Hii ndiyo sababu Mimi nanyetuka tu katika kipindi chote Cha maisha yangu hapa duniani.
 
wanakimbiaga machoko wenzako, lini mwerevu alimkimbia kobozi kwa matusi yake? Unatetea kitu usichokijua we mswahili wa kibongo, kula kitimoto upate afya
Hili hapa shoga limejileta
Umetoka kupanguswa makalio na mchungaji wako unajiona mwepesi kakupunguza uzito
 
Dokezo kuhusu Dini ya Uislam

Kumekuwa na watu wengi kuupinga uislam kwa nguvu zote ila nasema hili na najua wengi litawafikia "mara Mia ufanye mambo yako kuliko kuingilia mambo ya dini ya kiislam na mbaya hauna uhakika wa chochote mnachosema sasa basi we nyamazenu tuuu msirundike maneno yoyote kwa namna yoyote ni ushauri tu msije sema hatukuwaambia

Kwa sababu mada zipo nyingi
Pinga hoja kwa hoja usizuie watu kutoa hoja.

Kupinga dini yoyote ni haki ya kujieleza. Ni haki ya kuabudu au kutoabudu. Ni haki ya kibinadamu. Ni haki ya kikatiba.

Na hata Uislamu wenyewe unaweza kusemwa kuwa una hoja za kupingana na dini na falsafa zingine.

Sasa mtu akikuambia na wewe usituletee habari za Uislamu wako uliojaa uongo na ujinga, mpinge kwa hoja, usilazimishe asiseme anachofikiri.
 
Machoko wamejazana misikitini tena wameoa kabisa mfano mzuri afande Rama msijifanye mmemsahau piq mtoto wa bi msumi amekiri kufirwa na majini
Unajibu kujifurahusha na vistori vya kichoko
Leta ushahidi
Mimi nikisema wakristo wanaongoza kwa ushoga na kufirana mpaka wachungaji machoko wanaoana Kanisani sikurupuki
Nitajaza mada nzima ya ndoa za machoko wa kigalatia mpaka wachungaji wenu
 
Wakristo Wana chuki kubwa na uislam,,hata mada nyingi humu ni za kuuponda uislam,kero yao kubwa ni kwanini wanawake wa kiislam wanajiifadhi kimavazi, na kwanini waruhusiwe kuoa mke zaidi ya mmoja, wanatamani wanawake wa kiislam watembee uchi Hadi msikitini kama wafanyavyo wanawake wa kikristo kwenda uchi kwenye Ibada,
Na pia wanaume wa kiislam wawe na vimada kuliko kuwa na wake wa ndoa......hii dini ya mazuzu !unakuta jitu Lina elimu linatapeliwa na kina kuhani Musso,au na mwampesa
Kote kote naona hali hiyo hiyo. Wanaotapeliwa na kuhani mussa hawana tofauti na wanaotapeliwa na kina sheikh Kishk.

Majuzi sheikh Kishk akiwa anatoa mawaidha alisema peponi mwanaume wa Hali y chini kabisa atapewa mabikra watatu, bikra zao zitakua zinajirudi kila baada ya tendo.
Kwa akili ya kawaida wewe unaona hiyo Ni kweli? Lakini watu wanaamini kweli peponi watapewa bikra
 
Elewa mada mjomba
Unavosema hakufua dafu mda haujafika mzee
Pia mimi nmekuja hapa kukutadharisheni kwakuw mnapinga ushahid wa maneno yote na yapo wazi kweny kitabu kitukufu (Quran) na bado mmeyapinga basi tulieni subirini hukumu ila sio kuleta mada za kijinga kuhusu uislam kwasbb hata mlete mada kias gan uislam ulikuja mpya na utaondoka ukiwa mpya na bado hata mjiteteee kivipi ukwel mnaujua ndani ya nafsi zenu kwaiyo kama unajua kabisa wewe umeshindwa kuamini uislam kaa tulia subiri hukum yako ila sio kuongeza chuki juu ya uislam kwani hutoongeza zaid bali utakuwa ni kama unautangaza zaidi
Umeandika jambo zuri, sioni sababu ya kuchukua dini ya mwingine.
 
We ndio una uchungu sana na uislam? Labda kama we ni mwarabu hapo sawa, ila kama we ni mmatumbi ujue unatetea kitu usichokijua. Uislam una wenyewe, sio wewe mmatumbi wa madongokuinama
Uislamu umekuja kwa ajili ya watu wote, ndio maana tunambiwa mbora wenu ni Mchamungu.
 
Back
Top Bottom