Dini yetu haiangalii watu na ndio maana Wanazuoni wote wa Saudia wanasema mpira haramu.Muislam wa Kilwa masoko anasema mpira ni haramu ila Saudia Arabia wenye Macca na Madina yao wana ligi ya mpira kabisa 😂
Shida hamna akili, mara ngapi watu wanajua kitu fulani ni dhambi na wanakifanya ?
Mmekuwa na chuki dhidi ya Waislamu mpaka mmekuwa wajinga.
Nani asiyejua ya kuwa wizi au uzinifu ni jambo baya, na watu wanafanya ?
Dini yetu sisi haiwategemei Wasaudia, wala waarabu wowote, Bali dini yetu sisi ni Qur'an, Sunnah kwa ufahamu wa wema waliotangulia.