Dokezo kuhusu Dini ya Uislam


Unajua nafsi huwaga inajua kila ktu japo porojo zinaweza kuwa nyingi ukwel ni kwamba wanafaham tuuu ukwel ni upi sema ndo ivo ivi kwann hata wasijiulize kuona mtu kutoka katika uislam kuingia ukristo ni kama maajabu ya dunia nzima lakn mtu kutoka popote kuja katk uislam ni jambo la kawaida na mtu anaetoka kweny ukrist anakuja na hoja thabiti kuthibitisha kwann kaamua kuingia katika uislam ila watu wanashikilia misimamo feki ndo wanaibeba na kuiamin Jagina katoa ushahidi wa aya zote mpaka wameukimbia uzi sasa ukwel ndo huo sasa maaamzi yabaki kwenu na watambue kuwa moto wa Mwenyezi Mungu unaunguza ×70 zaidi ya moto wa duniani sasa jichanganye uache kuusoma uislam kwan uislam ni rahisi sana na ni mzur angalia tu kwa mfano una amana yako nani wa haraka katika jamii yako unaweza kumwekesha
Mpe mkrst hatusemi wote ni wabovu ila asilimia nyiiiiingi si waaminif ni kwann???
Hawana sheria yyt au mkazo inayowaMbia juu ya mambo ya jamii zao kwa undani zaidi

Watu wao hao sjui kina Papa wanafanya kwa ajili ya manufaaa yao binafsi na wana mikakati rasm ya kuhakikish wanaufutilia uislam juu ya ardh ila hawawez ndo maana mambo ni mengi ila hakuna cha kuwez kufanya
 
Huu uisilamu wa Tanzania ni wakitapeli sna ,Morocco ,Egypt saudia ,nkote huko hawaoi wanawake wanne Kwan huku tansani kina mchengerwa anaoa had wanawake watano
Abeg sir kwani huyo Mchengerwa si ni mkwe wa namba one?
Ina maana Wanu ana wake wenza?
Yeye mke wa ngapi?
Umbea huu ni mgeni kwangu!
cocastic
 
Tayari nimesilimu, nasubiri nife katika imani kusudi wale mabikra 72 walioko pepeoni wawe halali yangu 😎.

Umeshanielewa?
Hongera sana ndugu yangu Mwenyezi Mungu akupe kila hitaji la moyo wako duniani na Akhera Utapata zaidi ya vitu ambavyo hata akili haijawai kufikria pamoja na yote ambayo tumeahidiwa ila ni kama tu kutupa taswira ila kule kuna mambo ambayo hatujawh kuona wala kuhisi kwaiyo karibu sana Kwenye Dini ya Ukweli na Haki 🤝
 
Huu uisilamu wa Tanzania ni wakitapeli sna ,Morocco ,Egypt saudia ,nkote huko hawaoi wanawake wanne Kwan huku tansani kina mchengerwa anaoa had wanawake watano
Abeg sir kwani huyo Mchengerwa si ni mkwe wa namba one?
Ina maana Wanu ana wake wenza?
Yeye mke wa ngapi?
Umbea huu ni mgeni kwangu!
@Co
Mchengerwa si ana wake 3?? Hao 5 wamekujaje tena??
Mimi mwenyewe sikujua kama anao watatu enhee mbeya wa jiji Wanu ni mke wa ngapi?
cocastic
 
Umejauje kama lingeendelea wakati ni ada yao ? Unaweza kuthibitisha ya kuwa lisingeendelea miaka yote ?
Mazingira hufanya binadamu baada ya muda kuacha baadhi ya tamaduni walizozoea.
Congo kwenye karne ya 19 kulikua na jamii inayokula nyama za binadamu. Hii jamii ilikua huko congo basin. Kwa nini jamii hii iliacha kuka nyama za binadamu? Nayo iliacha sababu ya uislamu?
 
Jibu lako sio sahihi sababu Kuna Waarabu ambao sio Waislamu.
Hatukuzungumzia uarabu na uislam, ilikua kiarabu na waarabu. Umesema Quran ilishushwa kwa kiarabu, ukasema kiarabu sio uarabu. Hapo ndio nilipokataa kuwa huwezi kutenganisha kiarabu na uarabu
 
Hii mada nyingine ambayo inahitaji ushahidi ya kuwa Wamishionary walikomesha utumwa.

Hoja yako hapa Iko wapi ?
Mada nyingine kivipi? Huo ni mfano kuwa Jambo baya hukomeshwa bila kujali uislam upo au haupo.

Somalia asilimia 99 ni waislamu, unataka kusema mambo mabaya hayapo Somalia?
Sudan asilimia 97 ni waislam, unataka kusema Sudan hakuna mambo mabaya? Au uislam uliopo Somalia na Sudan ni tofauti na wako?

Usiwe unaweka uongo kwenye dunia ya leo.
 
Wazungu wanaandika historia kwa kufanya marejeo kutoka kwa waarabu? Kwenye hili bala la giza? Huu uongo gani unaleta

Congo, south Africa, Uganda, Kenya Tanzania, Mozambique, Zimbabwe, Zambia, Malawi, Botswana huko kote watu walikua wamestaarabika kabla ya ukoloni kufika? Huk ustaarabu waliutoa wapi? Au unataka kusema kuaa congo, Tanzania, Kenya, Uganda, Malawi Zambia, Zimbabwe, Botswana, south Africa zote zilipata uislam kabla ya ukoloni?
 
Mbona kama umeandika kwa kupaniki au kobazi zimekupaya,nonueshe kanisa ambalo waumini wake wakike wako uchi.

Hata waislam wanao jielewe hawaoi wake zaidi ya mmoj,ila masikini vitombi manoa na kuacha hovyo mana hata uwezo wa kulisha mke mmoja na watoto hamna.
 
Achana na habari za Mitume waarabu
Jikite kwenye hoja yangu na uthibitishe kuwa Mitume wayahudi walikuwa 21
 
Thanks. I'm absolutely in.
 
Wewe choko ndio uzao wa wale wazee waliokuwa wanafirwa katika mashule ya misheni miaka ya 60 na 70
Umemezeshwa upupu wa kuamini tamthilia zilizoandikwa na na machoko wa vatikani ndio maneno ya Mungu, tena bora hata angekuwa Almighy, lakini huyo mungu yesu ambae sio Issa tunaomjua sisi kuna ushahii kutoka kwa wazungu wenyewe waliwaletea hii dini inawezakana alikuwa shoga.
Ssas hii nadharia ndio inayotumiwa na mapdri wenu kuto kuoa na kusababisha ushoga uenee na kufikia kufira watoto wadogo makanisani
Na ushahidi ulianzia na mapadri wa kizungu waliokuwa wanabaka watoto dunia nzima, hata hapa kwetu ushahidi ni mwingi sana.
Sasa kama hio bibilia sio muongozo wa kufirana na kubaka watoto wadogo ni nini ?
 
Yohana 10 :16 ndo inamaliza kila kitu

Kuhusu Yohana 10:16, Yesu (a.s.) anataja “kondoo wengine wasiokuwa wa zizi hili.”
Lakini Yesu pia alisema wazi:


“Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.”
(Mathayo 15:24)

Hivyo “kondoo wengine” hawawezi kuwa Waisraeli, kwa sababu tayari alikuwa kwao.
Pia Biblia inathibitisha kuwa Yesu hakuwa na ujumbe wa ulimwengu mzima:


“Huyu alikuwa mtume mwenye nguvu kwa maneno na matendo mbele ya Mungu.”
(Luka 24:19)

Kiislamu, maneno ya kundi moja na mchungaji mmoja yanaashiria kuja kwa Mtume mwingine atakayewaongoza watu wote katika kumuabudu Mungu Mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…