Doggy style imeharibu vijana wengi

Doggy style imeharibu vijana wengi

Mkuu ni sawa haunywi pombe afu unaenda bar una expect nn?? Siku utashawishika tu mkuu

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu siyo lazima ushawishike...ndiyo maana tukapewa akili na utashi ku-control mihemko na tamaa.

Sasa si utakuwa unashawishika na kila kitu? Mfano, Mimi binafsi sinywi pombe na all of my friends wanakunywa na bar tunaenda ila sijawahi tamani pombe....kushawishika au kutoshawishika inategemea na akili ya mtu na tabia....ukiona mtu anasema ameshawishika basi anapenda . hiyo kushawishika anaitumia kama excuse tu.
 
Hapana hapo unamfuata shetan alipo what do you expect??? Siku utakunywa tu shaur ako

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hapana hapo unamfuata shetan alipo what do you expect??? Siku utakunywa tu shaur ako

Sent from my iPhone using JamiiForums
Uzuri mtu ukiwa unajielewa na unatumia akili huwezi Fanya kitu ambacho unàona kabisa kwa akili yako si kizuri

Siwezi kunywa pombe kisa tu naenda bar.
 
Sema kwakuw wewe n mtt wa kike kwako easy ila sisi wanaume hapana[emoji119][emoji119]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom