DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Hii nchi tunakoelekea sio kuzuri. Yaani mtanzania mwenzetu anashambuliwa kwa risasi then watu wengine wanakosa utu na kuendekeza chuki za kisiasa au kimtazamo kushangilia au kuandika comments za ajabu ajabu.

Hebu tujitathmini na kujiuliza aliyepigwa risasi angekuwa ni mzazi au ndugu wa karibu ungejisikiaje kuona watu wanashangilia au wanatoa comments chafu baada ya jaribio la kumuua.

Hii sio nchi tuliyoizoea toka enzi za waasisi wetu, hata kama kuna mambo huyapendi toka kwake.. Mungu na atusaidie tubadilike na kuhubiri upendo na amani.
 


MIAKA ZAIDI YA 3 KAMA WEWE UNAO USHAHIDI WA UGAIDI JUU YAO KAWASAIDIE POLISI WASHITAKIWE . LAKINI SERIKALI INAENDELEA KUWATESA MAGEREZANI
 
Ndio hayupo China sasa
 
Mheshimiwa tundu lisu, kwanza nakupa pole kwa yaliyo kukuta..

Mimi kwa upande wangu naona ulijisahau sana kuchukua tahadhari kwani upepo ulisha uona unapo elekea..

Hata kama ulichukua tahadhari haikuwa kwa kiwango kinacho takiwa kutokana na mapambano unayo yaendesha kupigania democrasia hapa nchini...

Humuoni mwenzako Gwajima navyo kwenda nao..?!
wanamtamani lakini wsmeshindwaa...

Mungu akuponye huko ulipo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well ,, zilisainiwa nawatangulizi wake ambaye yeye kaona ni nimakosa ,, kaamua kusimamisha ndio tuwe namazungumzo ili tujue muafaka ...sio kutafuta mwafaka alafu same time tukiendelea kupigwa.

Wewe unaona nisahihi kufanya mazungumzo wakati huo Mali zetu zikiibwa ?¿?¿????

Nilitwgemea tundu lissu kuijua sheria angekua tegemeo letu km taifa atusaidie kuweza kujinyumbua shidi ya HII mikataba sasa naye ndo anaendelea kutumaliza.
 
Huu ni wakati wa kutoa ulinzi kwa makamanda wetu, Habari mbaya kabisa hii nimepokea kwa masikitiko makubwa Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…