Dodoma messengers
JF-Expert Member
- Aug 28, 2019
- 487
- 783
Inatokea unataka kuja DODOMA kusoma, kuishi au hata kikazi, nakusihi uwasiliane namimi endapo mahitaji yako ni chumba cha kuishi, nyumba au hata appartment.
Mpangaji huweza kulipia mara baada ya kuona chumba Kama ni mhitaji wa chumba,nyumba kama ni mhitaji wa nyumba. Mpangaji hutoa chaguo lake kama ni sehemu gani anataka nyumba au chumba na kwa gharama zisizidi kiasi gani.
Waweza kuwa huko uliko ukanitumia mimi kufanikisha azma yako, wewe ukaja kuhakiki tu na Kama hutoridhia, utapelekwa sehemu nyingine kutokana na hitaji lako.
Kwa vyumba vipo vinavyoanzia 40 na kuendelea inategemeana na sehemu,mfano wale wa kule Ngh'ongh'ona, Makulu n.k.
Kwa upande wa viwanja, usisite pia kufanya mawasiliano nami, bei yake iko ndani ya uwezo wako
Mawasiliano:0765920855