DODOMA: Bashe, Musukuma na Malima waachiwa

DODOMA: Bashe, Musukuma na Malima waachiwa

Wameachiwa muda si mrefu usiku huu.

Nini wamehojiwa?

Kwanini wameachiwa?

Nini hatma yao?

Tutajua baadae. Ila wako huru sasa!
========

Kulingana na taarifa ya kamanda wa polisi mkoa wa Dododma, wahusika walikamatwa kwa kufanya vurugu katika vikao vya chama cha mapinduzi vinavyoendelea mjini Dodoma.
Dud
 
File la Bashe Uhamiaji lipitiwe Upya.

Hata Kundi lililomzomea Mwenkt 2015 liliratibiwa na Huyu Msomali.

Watanzania huwa sio Watovu wa nidhamu hasa mbele ya Mkuu wa dola.
Arudishwe kwao Mogadishu hao kina Msukuma na Malima wapewe tu karipio
Wewe nani kwenye chama

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Naona ule wimbo wa "tunaimani na Lowassa" unaendelea kumtesa huyu jamaa.Si ajabu hata lile katazo la shughuli za kisiasa alikuwa anamlenga Lowassa.
 
KWA MBAAALI NAONA MJADALA JUU YA BASHITE UNAANZA KUFIFIA HIVI,CHONDE CHONDE WATANZANIA WENZANGU,TUJADILI HAYA YA DODOMA LAKINI HILI LA BASHITE HALIPASWI KUSAHAULIKA HATA KIDOGO,MPAKA TUJUE UKWELI,KAMA AMESINGIZIWA AU NI UKWELI!!!???
 
Yaaani walichofanyiwa ni sawa na enzi zetu unaenda kuruka ukuta uingie kutazama mechi huku hauna hata mbuni, afu Bahati mbaya ukiingia tu ndani baada ya kuruka ukuta unakuta askari hawa hapa na mbwa zao,
walichokuwa wanafanya askari wale ni kuwarukisha kichura chura na kuwagonga virungu 2 -3 vya ugoko na kisha kukupa /kuwapa adhabu ya kukaa unaangalia ukutani au kulala chini huku mechi inaendelea kama kawaida, afu mchezo ukibakiza dk10 za mwisho ndo wanawaachieni mkaangalie game, hapo huwa wanafungulia hata mageti yote kipindi hicho .

Kuingia uwanjani muda huo wa lala salama tulipenda kuita kwa jina maalufu la " kipindi cha fungulia mbwa" . Ila pia ubaya wake ilikuwa ni kukasrika sana masela wakikutania kuwa uliingia fungulia dog time, kwani ilikuwa ni fedheha sana, na hivyo ilimlazumu muhusika kufanya jitihada za kujichanganya na walioingia toka mwanzo na pia kuleta leta ubishi ili tu apate dondoo za DK za mwanzo ili asije pata aibu ya kutoelewa game ilivyokuwa toka mwanzo.

Sasa hawa jamaa Nimeona wamefanyiwa hivyo hivyo ila tofauti yake tu wao ni kwenye siasa.
Kwani maamuzi yashafanyika na wenye kuvuliwa gamba tayari washavuliwa. Hivyo na wao ndo wanaibuliwa DK za lala Salama toka.machimbo.
Au mwasemaje wakuu..??
Mkuu umenikumbusha fungulia mbwa. Ilikuwa kasheshe. Nakumbumbuka tukifu guliwa tunaenda kukaa ndani kabisa ya uwanja kusubiri mchezo uishe tukawaangalie akina Sunday Manara na Gobos
 
Nilikua nafanya biashara zangu mzee nje ya jengo la ccm
 
Acheni uongo wakubwa humu ndani, hakuna mwanachama yeyote aliyekamatwa na wala kupelekwa polisi huo ni uongo tena uliotukuka,hapa sasa ndo nimeamini kua mpo humu kwaajili ya kutufanya mazoba,
kumbe hata azam tv waongo. daah nimeamini media zinadanganya
 
Back
Top Bottom