Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,552
huko mogadishu anakujua kama bibi na babu zao nao walizaliwa nzega na yeye nzega bado utamuita ni msomali au sababu ya origin yake, basi ukitaka hivyo hapa tz watabaki wahadzabe tu manake wao ndio watanzania, wengine wote ni wahamiaji, hakuna kabila ambalo asili yake tz isipokuwa hao wahadzabe, soma historia, fatilia wewe ulitokea wapiFile la Bashe Uhamiaji lipitiwe Upya.
Hata Kundi lililomzomea Mwenkt 2015 liliratibiwa na Huyu Msomali.
Watanzania huwa sio Watovu wa nidhamu hasa mbele ya Mkuu wa dola.
Arudishwe kwao Mogadishu hao kina Msukuma na Malima wapewe tu karipio
asante mnajimu uchwara.