gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,053
Issue ya Bashite haiishi hivi hivi tu hadi fisadi huyo wa elimu nchini ang'oke kwenye utumishi wa ummasio kwamba wanataka kututoa ktk point za Bashitee??
Issue ya Bashite haiishi hivi hivi tu hadi fisadi huyo wa elimu nchini ang'oke kwenye utumishi wa ummasio kwamba wanataka kututoa ktk point za Bashitee??
Kwahio waandishi wa habari ndio wanakuja na habari feki humu JF kuwa Bashe kafukuzwa uanachama??? Acha kuwasingizia wana habari...nyie bavicha ndo mimasikio imesimama kuelekea Dodoma kana kwamba hamna chama chenu...Wewe uwezo wako wa kuelewa mambo ni mdogo sana. CCM ndiyo imealika waandishi wa habari na wao ndiyo wanatoa taarifa kwenye mitandao ya kijamii. CHADEMA tunafuatilia kwa nini mwenzetu aliyefoji cheti mpaka sasa hajafukuzwa uongozini?
vyeti vya bashitreYale mabegi manne yaliyoongelewa jana na Lizaboni wameyakuta na vitu gani?
Unamfukuzaje Mtanzania asionekane katika moja ya mikoa ya nchi? Kwanini waamriwe kuondoka wakati wana uhuru wa kwenda na kukaa popote wanapopenda kama raia? Huu ni zaidi ya ....Uchwara.Bashe na Msukuma wamefukuzwa uanachama na wameamuriwa kuondoka mara moja Dodoma!!
In the game of thrones its either you win or you die,there is no middle ground.Ndugu yetu mbunge mheshimiwa msukuma nafikiri kuanzia sasa utajifunza kuwa na akiba ya maneno!! Siasa hubadirika haraka sana kuliko umri!! Adui yako wa leo ndio rafiki wa kesho. Ulijua haya yatakukuta ndani ya muda mfupi hivi.
Unakumbuka ulivyokua unamponda mzee wetu kwamba kajinyea! Kwetu kumsema kwa maradhi kama hayo kwa mzee kama yule ni kama kumdhihaki baba yako mzazi. Lakn ww ukajitoa ufaham kana kwamba utadumu milele katika siasa za ccm. Kwa yanayo endelea ccm utataman uende kwa yuleyule uliyemwita kajinyea. Ni kweli kwenye siasa kuna kusameheana lakn unajisikiaje mtu mzima kuanza kupiga magoti kuomba msamaha??
Na sisi tunaotaraji kuingia kwenye siasa tujifunze kutunza maneno. Tukumbuke hata yakiomkuta bashite. Alijua atadumu milele kwenye kiti cha kifalme!! Vijana tuchunge mdomo . Mdomo ulimponza kichwa!!
wengine hatujui jamani ebu twambie wamefanyajeMsukuma na Bashe kitendo walichofanya leo kitakumbukwa vizazi na vizazi.. wamepaza sauti na kukataa kua watumwa
Pesa Pesa Pesa Pesa ndugu yangu! Shkamoo PesaChadema walimtaja Lowasa kwenye list of shame na kumchafua miaka nane kuwa ni fisadi papa.
Lakini leo chadema hao hao ni wapangusa viatu vya Lowasa
Usimwamshe aliye lala!Acha kufuru