Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,686
- 272,544
Lengo lilikuwa kuwazuia wasiingie kwenye kikaoWameachiwa muda si mrefu usiku huu.
Nini wamehojiwa?
Kwanini wameachiwa?
Nini hatma yao?
Tutajua baadae. Ila wako huru sasa!
Lengo lilikuwa kuwazuia wasiingie kwenye kikaoWameachiwa muda si mrefu usiku huu.
Nini wamehojiwa?
Kwanini wameachiwa?
Nini hatma yao?
Tutajua baadae. Ila wako huru sasa!
HahahahaaaAfadhali na ccm na nyie mmeonja sero kama chadema ndo mtajua sasa nini tulikua tunalilia
Ha ha haaKesho anaweza kukamatwa nani? Hii nchi sasa haitabiriki.....anaweza kuagiza watanzania wote tuwekwe rumande?
Walibebeshwa ndoo?
Nchi iko miguu juu kichwa chini
Yaaani walichofanyiwa ni sawa na enzi zetu unaenda kuruka ukuta uingie kutazama mechi huku hauna hata mbuni, afu Bahati mbaya ukiingia tu ndani baada ya kuruka ukuta unakuta askari hawa hapa na mbwa zao,
walichokuwa wanafanya askari wale ni kukupa /kuwapa adhabu ya kukaa unaangalia ukutani au kulala chini huku mechi inaendelea kama kawaida, afu mchezo ukibakiza dk10 za mwisho ndo wanawaachieni mkaangalie game, hapo huwa wanafungulia hata mageti yote kipindi hicho .
Kuingia uwanjani muda huo wa lala salama tulipenda kuita kwa jina maalufu la " kipindi cha fungulia mbwa" . Ila pia ubaya wake ilikuwa ni kukasrika sana masela wakikutania kuwa uliingia fungulia dog time, kwani ilikuwa ni fedheha sana, na hivyo ilimlazumu muhusika kufanya jitihada za kujichanganya na walioingia toka mwanzo na pia kuleta leta ubishi ili tu apate dondoo za DK za mwanzo ili asije pata aibu ya kutoelewa game ilivyokuwa toka mwanzo.
Sasa hawa jamaa Nimeona wamefanyiwa hivyo hivyo ila tofauti yake tu wao ni kwenye siasa.
Kwani maamuzi yashafanyika na wenye kuvuliwa gamba tayari washavuliwa. Hivyo na wao ndo wanaibuliwa DK za lala Salama toka.machimbo.
Au mwasemaje wakuu..??
Sasa huyu musukuma akitimuliwa nambari moja ataenda wapi maana yule best wake wa zamani aliyekuwa anamrembea kwa helkopta kampeni za kusaka kuungwa mkono na baadaye kutimka kwenye chama si alimporomoshea maneno mabaya kule chato?Bashe na Msukuma wamefukuzwa uanachama na wameamuriwa kuondoka mara moja Dodoma!!
Na hii ndio dawa pekee kwa,watu kama maguMsukuma na Bashe kitendo walichofanya leo kitakumbukwa vizazi na vizazi.. wamepaza sauti na kukataa kua watumwa
Umenena mkuuAfadhali na ccm na nyie mmeonja sero kama chadema ndo mtajua sasa nini tulikua tunalilia
Yaaani walichofanyiwa ni sawa na enzi zetu unaenda kuruka ukuta uingie kutazama mechi huku hauna hata mbuni, afu Bahati mbaya ukiingia tu ndani baada ya kuruka ukuta unakuta askari hawa hapa na mbwa zao,
walichokuwa wanafanya askari wale ni kukupa /kuwapa adhabu ya kukaa unaangalia ukutani au kulala chini huku mechi inaendelea kama kawaida, afu mchezo ukibakiza dk10 za mwisho ndo wanawaachieni mkaangalie game, hapo huwa wanafungulia hata mageti yote kipindi hicho .
Kuingia uwanjani muda huo wa lala salama tulipenda kuita kwa jina maalufu la " kipindi cha fungulia mbwa" . Ila pia ubaya wake ilikuwa ni kukasrika sana masela wakikutania kuwa uliingia fungulia dog time, kwani ilikuwa ni fedheha sana, na hivyo ilimlazumu muhusika kufanya jitihada za kujichanganya na walioingia toka mwanzo na pia kuleta leta ubishi ili tu apate dondoo za DK za mwanzo ili asije pata aibu ya kutoelewa game ilivyokuwa toka mwanzo.
Sasa hawa jamaa Nimeona wamefanyiwa hivyo hivyo ila tofauti yake tu wao ni kwenye siasa.
Kwani maamuzi yashafanyika na wenye kuvuliwa gamba tayari washavuliwa. Hivyo na wao ndo wanaibuliwa DK za lala Salama toka.machimbo.
Au mwasemaje wakuu..??
Wameachiwa muda si mrefu usiku huu.
Nini wamehojiwa?
Kwanini wameachiwa?
Nini hatma yao?
Tutajua baadae. Ila wako huru sasa!
Nasubiri tamko la afisa habari na katibu wa propaganda na uenezi wa chama, siamini kama inawezekana kikao kimoja kuondoka na wabunge wote hao, ambao kimsingi watapoteza ubunge wao na kulazimika kurudi kwenye uchaguzi majimboni kwao, naamini hbr hii si ya kweli kwa sasa hadi pale itakapothibitishwa vinginevyo.Sasa huyu musukuma akitimuliwa nambari moja ataenda wapi maana yule best wake wa zamani aliyekuwa anamrembea kwa helkopta kampeni za kusaka kuungwa mkono na baadaye kutimka kwenye chama si alimporomoshea maneno mabaya kule chato?