DODOMA: Bashe, Musukuma na Malima waachiwa

DODOMA: Bashe, Musukuma na Malima waachiwa

watu hii kitu ya mabadiliko ya katiba ya one cap one person tulijua tuu watu kama msukuma wajee juu....hivi akili ndogo tuu mtu huyu ni mbunge mtu huyu ni mwenyekiti mkoa ccm unategemea ukimuondolea kofia moja utamuweka katika hali gani ukilizingatia tumbo lake lilishazoea pizza na burger leo anaenda kutafuta ugali dagaa???
 
Wamedhibiti kupingwa huko kwenye vikao vya chama....mimi najiuliza kule bungeni watadhibiti vipi?manake ukiondoa yule naibu speaker naona kama hakuna mtu wake mwingine.chochote chaweza tokea.halafu ile hali ya kua na umoja wa wabunge wa chama la kijani kuwa upande mmoja ili kutetea maslahi ya chama bungeni naona kama inapotea ivi.mhhh kule bungeni kule kuna kitu kitatokea.na hii ni kwasababu wachache ndo wanapewa kulaaa.njaa mbaya sana
 
Back
Top Bottom