DODOMA: Bashe, Musukuma na Malima waachiwa

DODOMA: Bashe, Musukuma na Malima waachiwa

Mungu kwa nini ulinifanye nizaliwe Tanzania,bora ningezaliwa Kenya





Wameachiwa muda si mrefu usiku huu.

Nini wamehojiwa?

Kwanini wameachiwa?

Nini hatma yao?

Tutajua baadae. Ila wako huru sasa!
========

Kulingana na taarifa ya kamanda wa polisi mkoa wa Dododma, wahusika walikamatwa kwa kufanya vurugu katika vikao vya chama cha mapinduzi vinavyoendelea mjini Dodoma.


Kwani hao waliofukuzwa bado hawajahamia chawema manaake huko ndo jalala la taka .
 
hilo linaitwa kosa la karne walilo fanya cdm, mkuu unajuwa makosa huzidiana afadhali kidogo kutembea na mama mkwe kuliko kutembea na mama mzazi, kumsimamisha mzee lowasa kuwa mgombea ilikuwa kubwa kuliko!!!!.
Vipi kuhusu huyu mzinifu..mlevi..mgomvi..aliyemuasi Mwenyezimungu asiyehudhuria ibada yoyote na baadae akabadilishwa na kuwa mtu wa ibada mwanzo mwisho
 
Hujielewi wewe! Hujazuiwa kuwa RAIA wa Kenya. Hata sasa ukitaka nenda county ya Mandela ukawe chambo kwa alshabaab
Hapa hatoki mtu, hii nchi si ya ccm, tutakomaa nanyi hapa2 mpaka kieleweke manyang'au msio na haya nyie. Mna jifanya mnataka kuleta maendeleo, kwa mnavyofanya, maendeleo mtayanusa kwa majirani tu paka nyie.
 
Kinachofanyika Dodoma ni kunyoosha chuma kilichopinda.....na zoezi hilo sio jepesi hata kidogo.

Chadema naona mnafatilia kwa karibu vikao vya CCM Dodoma....mkiambiwa CCM ni chama kikubwa sana hapa nchini mnakataa sasa inebainika mnafatilia kwa karibu vikao Dodoma na mnapopata kahabari kadogo tu mnakimbilia JF kufungua thread...
Umetoa wapi viroba!
 
Nasubiri tamko la afisa habari na katibu wa propaganda na uenezi wa chama, siamini kama inawezekana kikao kimoja kuondoka na wabunge wote hao, ambao kimsingi watapoteza ubunge wao na kulazimika kurudi kwenye uchaguzi majimboni kwao, naamini hbr hii si ya kweli kwa sasa hadi pale itakapothibitishwa vinginevyo.
Ccm ma Thomaso kibao, usichoamini nini, hata alivyomkunng'uta mkewe hadi kulazwa muhimili huamini.
 
vyeti vya watu jamani.vyeti jamani.vilaza kumiliki vyeti walivyosotea wengine ni tusi kuu jamani.huo mkutano mkuu haujaona wala kusikia kuhusu huyo bashiiteeee?
Hawagusii hilo, kwani anayeongoza vikao hivyo naye ni muhanga wa vyeti feki.
 
Kuna taarifa zinatembea mitandaoni kuwa bashe, Malima na musukuma wamefukuzwa/ wamevuliwa uananchama wa ccm. Kama ni kweli ccm haitakiwi kufika huku. Demikrasia IPI mnayoihubiri Kwa wananchi wenu km watu ambao mnapingana nao mnawavua uanachama.

Bashe kwa nafasi yake ya ubunge bungeni huwa anaibrand ccm sana bungeni.!! Kuwafukuza wakina bashe ni kuonekana chama hakina misingi imara. Chama kikubwa lazma kiwe mfano wa mambo mazuri.

Kama ni kweli hawa wamefukuzwa mjiangalie upya !! Uchaguzi umepita tokea 2015 lakini mpaka leo bado mnatibu majeraha ya uchaguzi..
Kiongozi mzuri ni yule anayewaungasha watu wote wasiompenda na wanaompenda.
Haiwezekani eti waliomuunga mkono lowasa mpaka Leo bado ni maadui wa chama. Mnakosea sana. Na hapa ndiyo mnadhihirisha uafrika wenu. Afrika tunafanya maamuzi yetu Kwa kuangalia hisia zaidi badala ya ueledi, ujuzi na busara. Fukuza fukuza haisaidii chama wala haiongozi kura za 2020 kwenye uchaguzi.

Uongozi wa chama ni tofauti na serikali, uongozi wa chama lazma uwe very diplomatic na mwenye busara sana..kwenye chama lengo kubwa ni kuongeza wanachama na supporter wengi..!! Kwahiyo kiongozi ni yule anayewauunganisha watu wote. Sophia simba amesema hatogombea tena, sasa kwann mmemfukuza uanachama.

Kinana wewe ni katibu mkuu, ebu yaepushe haya na mshauri vyema bosi wako.

Huwez ongeza wanachama Kwa kufukuza fukuza.
 
File la Bashe Uhamiaji lipitiwe Upya.

Hata Kundi lililomzomea Mwenkt 2015 liliratibiwa na Huyu Msomali.

Watanzania huwa sio Watovu wa nidhamu hasa mbele ya Mkuu wa dola.
Arudishwe kwao Mogadishu hao kina Msukuma na Malima wapewe tu karipio
Wewe m'baguzi, leo ndo unamuona Bashe si raia kwa vile katofautiana fikra na m chato, utakuja m'bagua hata mamako akitofautiana fikra nawe.
 
Umeandika kwa haraka haraka Mno, Tulia, halafu weka hoja, watu tumeshakushanya popcorn za kutosha, tupo kusoma mawazo yako,
 
  • Thanks
Reactions: Qj_
Wanachama kufukuzwa siyo vyema kabsa - mkuu watu wanafutwa ushirika makanisani unashangaa kwenye siasa.
kama hawawezi kutimiza ndoto zao huko wanauwanja mpana nje ya ccm. Kikubwa haki na utaratibu ufanye na adhabu ziwe proportion na kosa kwa kuangalia taratibu za chama zinasemaje kwa kosa husika.
 
Mkuu hizi ni PROPAGANDA tu CHA UKOVI (waathirika wa ukosefu wa VIROBA).....hakuna kitu kama hiki
 
Back
Top Bottom