DODOMA: Bashe, Musukuma na Malima waachiwa

DODOMA: Bashe, Musukuma na Malima waachiwa

Hahahaaa.....hivi na Uganda enzi za IDD ilikuwaje?

Story za Idd Amin tumezikuza tu.
Nenda Uganda utaambiwa wala hakuwa kama tunavyomsema.

Alifukuza wahindi,kwani huku nako wale nanii wa kwa Yusu Manji si wamepelwkwa mahakamani?

Linganisha matukio alafu utaniambia nani bora
 
Magufuli ajiandae kwa kupingwa ndani ya CCM, hakuna atakayekuwa tayari kuona katiba ya CCM ikichezewa
 
1489331762524.jpg
 
Back
Top Bottom