DODOMA: Bashe, Musukuma na Malima waachiwa

File la Bashe Uhamiaji lipitiwe Upya.

Hata Kundi lililomzomea Mwenkt 2015 liliratibiwa na Huyu Msomali.

Watanzania huwa sio Watovu wa nidhamu hasa mbele ya Mkuu wa dola.
Arudishwe kwao Mogadishu hao kina Msukuma na Malima wapewe tu karipio
 
Kinachofanyika Dodoma ni kunyoosha chuma kilichopinda.....na zoezi hilo sio jepesi hata kidogo.

Chadema naona mnafatilia kwa karibu vikao vya CCM Dodoma....mkiambiwa CCM ni chama kikubwa sana hapa nchini mnakataa sasa inebainika mnafatilia kwa karibu vikao Dodoma na mnapopata kahabari kadogo tu mnakimbilia JF kufungua thread...
Wewe uwezo wako wa kuelewa mambo ni mdogo sana. CCM ndiyo imealika waandishi wa habari na wao ndiyo wanatoa taarifa kwenye mitandao ya kijamii. CHADEMA tunafuatilia kwa nini mwenzetu aliyefoji cheti mpaka sasa hajafukuzwa uongozini?
 
67a3d311bd75b1d37f2f72d48256bb01.jpg
hicho ndicho anataka
 
Kesho anaweza kukamatwa nani? Hii nchi sasa haitabiriki.....anaweza kuagiza watanzania wote tuwekwe rumande?
Anaweza kukamatwa mkwere Lisa kwa nini watu wanatumbuliwa yeye anacheka tuu badala ya kupongeza?
 
Hapa karibu itazaliwa ccm original na ccm mabadiliko au ccm asilia na ccm zidumu fikra za mkt.
 
Kinachofanyika Dodoma ni kunyoosha chuma kilichopinda.....na zoezi hilo sio jepesi hata kidogo.

Chadema naona mnafatilia kwa karibu vikao vya CCM Dodoma....mkiambiwa CCM ni chama kikubwa sana hapa nchini mnakataa sasa inebainika mnafatilia kwa karibu vikao Dodoma na mnapopata kahabari kadogo tu mnakimbilia JF kufungua thread...
Kwani ccm hawafuatilii vikao vya chadema? Wewe zuzu kweli
 
Wewe uwezo wako wa kuelewa mambo ni mdogo sana. CCM ndiyo imealika waandishi wa habari na wao ndiyo wanatoa taarifa kwenye mitandao ya kijamii. CHADEMA tunafuatilia kwa nini mwenzetu aliyefoji cheti mpaka sasa hajafukuzwa uongozini?
Malalamiko hayo mmeyafikisha kwa nani akakataa kuchukua hatua dogo???

Acha kuimba wimbo usioujua...
 
Kinachofanyika Dodoma ni kunyoosha chuma kilichopinda.....na zoezi hilo sio jepesi hata kidogo.

Chadema naona mnafatilia kwa karibu vikao vya CCM Dodoma....mkiambiwa CCM ni chama kikubwa sana hapa nchini mnakataa sasa inebainika mnafatilia kwa karibu vikao Dodoma na mnapopata kahabari kadogo tu mnakimbilia JF kufungua thread...
Na hiyo ndo maana ya habari pamoja na matukio muhimu ya siasa mechi ya Simba na Yanga inaanzishiwa Uzi sembuse ilo jambo
 
Unamuweka ndani KING

M
Magi laini sana kuliko karatasi ya Mufindi Timsales Kenya.

Komaa nae hachukui siku 7 hoi anakupa ulaji wa juu.

Muoga kuliko fisi
 
Tungejua kosa lao tungalijua ukweli kama wameonewa au la.
 
Back
Top Bottom