DODOMA: Bashe, Musukuma na Malima waachiwa

DODOMA: Bashe, Musukuma na Malima waachiwa

CCM IMEKUWA KM DINI AMBAPO JPM AMEKUWA KM MUNGU HASTAHILI KUPINGWA WALA KUHOJIWA.
 
Najiuliza.....
Nape ameponaje?
Kwani Nape alikuwa Pro Lowassa? Umesahau alivyokuwa akimtukana?
Jana ilikuwa siku ya Lowassa na wapambe wake.

Nape yeye alikuwa upande wa Membe.
Kuhusu anayoyafanya kwa siku za karibuni ni kiasi cha muda tu Bulembo kuchukua kiti chake cha uwaziri ila sio kuvuliwa uanachama.

Hizi ndizo siasa chafu za CCM.
 
Lakini suala letu la cheti cha daudi bashite toka kolomije liko pale pale. Hatujalisahau.
 
File la Bashe Uhamiaji lipitiwe Upya.

Hata Kundi lililomzomea Mwenkt 2015 liliratibiwa na Huyu Msomali.

Watanzania huwa sio Watovu wa nidhamu hasa mbele ya Mkuu wa dola.
Arudishwe kwao Mogadishu hao kina Msukuma na Malima wapewe tu karipio
Naungana na wewe
 
Zamani ilikuwa watoto wa jirani tu,lakni zama hzi wanakamatana wao kwa wao...tunaelekea kuzuri
 
Polisi imechukua nafasi ya Green Brigade kuzuia watu wasiongee......

Kamata kamata kama vile tuko kwa Jammeh
Hizo green brigade, blue guard n.k zilipigwa marufuku. Ulinzi wa watu na mali zao ni jukumu la polis
 
Kunawatu huwa wagumu kuelewa...
Ushujaa sio kunyima watu haki na kujidai hujali walla hutetereki!
Ushujaa ni kupigania na kusimamia haki bila kujali wangapi wanapinga.
watu wanahaki kumpenda na kumshabikia mtu Wao pengine ili wasikilizwe!! Ingelikuwa yy ndiyo anapiganiwa hivyo angepinga? Huwezi lazimisha watu wakupende huku hunanyota ya kupendwa hâta na waifu wako.
Wabunge wanahangaika saiv kwenda kupanga bajeti vyabure,bajeti itategemeana na jamaa anataka nini.
 
Sasa huyu musukuma akitimuliwa nambari moja ataenda wapi maana yule best wake wa zamani aliyekuwa anamrembea kwa helkopta kampeni za kusaka kuungwa mkono na baadaye kutimka kwenye chama si alimporomoshea maneno mabaya kule chato?
Msukuma hajitambui acha akipate fresh

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Acheni uongo wakubwa humu ndani, hakuna mwanachama yeyote aliyekamatwa na wala kupelekwa polisi huo ni uongo tena uliotukuka,hapa sasa ndo nimeamini kua mpo humu kwaajili ya kutufanya mazoba,
 
Mimi nipo hapa hapa dodoma na nilikua nje ya jengo la ccm na balaa ashara zangu
 
Back
Top Bottom