DODOMA: Bashe, Musukuma na Malima waachiwa

DODOMA: Bashe, Musukuma na Malima waachiwa

Kinachofanyika Dodoma ni kunyoosha chuma kilichopinda.....na zoezi hilo sio jepesi hata kidogo.

Chadema naona mnafatilia kwa karibu vikao vya CCM Dodoma....mkiambiwa CCM ni chama kikubwa sana hapa nchini mnakataa sasa inebainika mnafatilia kwa karibu vikao Dodoma na mnapopata kahabari kadogo tu mnakimbilia JF kufungua thread...
 
ccm mbele kwa mbele wacha TUISOME NAMBA sote kwA style tofauti lakini kuisoma ni kulekule.
 
Dah hii ilinikuta Sokoine stadium miaka ileeeeee
Ahaaaa....sasa leo 11 March 2017 imewakuta kina bashe, msukuma, Malima. Afu Wao kule sero waliwekewa na ka wimbo kama "wacha waisome namba enhee".....
 
bashe msukuma na malima msiogope kutetea ccm yenu.
Itapendeza zaidi kama CCM hawataishia kufukuza wasaliti peke yao huku ikiwaacha wanachama vichaa wakiendelea kutamba. Kwa chama makini Msukuma si wa kukaa naye, huyu ni wa kufukuza, anazo sifa zote za ukichaa.
 
Kuna jambo kubwa sana litatokea tanzania
Liko wapi? Tusiishi kwa vitisho na hofu sababu ya michuano ya wana siasa. Ukiangalia sana ni agenda binafsi n.a. madaraka ndio yanawasumbua. Wengine hawana pa kula wanapambana wapate pakutokea
 
Kinachofanyika Dodoma ni kunyoosha chuma kilichopinda.....na zoezi hilo sio jepesi hata kidogo.

Chadema naona mnafatilia kwa karibu vikao vya CCM Dodoma....mkiambiwa CCM ni chama kikubwa sana hapa nchini mnakataa sasa inebainika mnafatilia kwa karibu vikao Dodoma na mnapopata kahabari kadogo tu mnakimbilia JF kufungua thread...

Lazima watu wafuatilie jinsi zoezi la Kurudi kwenye enzi za mwalimu Zidumu fikra sahihi za mwenyekiti.
 
Itapendeza zaidi kama CCM hawataishia kufukuza wasaliti peke yao huku ikiwaacha wanachama vichaa wakiendelea kutamba. Kwa chama makini Msukuma si wa kukaa naye, huyu ni wa kufukuza, anazo sifa zote za ukichaa.
Musukuma ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita akiiwakilisha na Chato pia.. kwahiyo anawawakilisha kundi kubwa la wana Ccm mkoani humo.. haya turudi sasa kwenye topic ulikua unasema?!!...
 
Hizo ndoto za alinacha endeleeni kuota....
Hakuna kisichowezekana chini ya jua! Ukifikiria tu kwamba yanayowezekana ni ndoto ujue kuwa wewe ndo uko ndotoni na ukiamka utaufahamu ukweli!
 
Back
Top Bottom