Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
Kwa sura naweza kusema hapana
ila matendo yanaweza kuwa yanafanana fanana na huyo mdudu
Si unajua tena
ila sijakuoffend lakini mkuu
Duh! Matendo yangu yanafanana na nzi?! Ngoja nianze kujifanyia utafiti!!
Husijali mzee...I see no offence!