Imenibidi nirudi race nikasome upyaaa!! lol.... Nimekuelewa sasa, mpaka hapo ulipoishia kuna mtari waweza nipa?
Yaah mistari ni mingi sana hebu cheki na huu " roho yangu haitashindana na mwanadamu, basi siku zake za kuishi zitakuwa miaka 120".
Imenibidi nirudi race nikasome upyaaa!! lol.... Nimekuelewa sasa, mpaka hapo ulipoishia kuna mtari waweza nipa?
Leo nimepata status ya ''JF Senior Expert Member''.Kwangu mimi achievement ndogondogo ndizo huzaa kubwakubwa ila natamani ungekuwa Ubunge ili na mimi nipate haka kaposho kapya ha..ha..ha..ha ila 2015 sio mbali.My JF i.d says it all about me,am always on to the next big thing.
Mvumilivu, nasamehe haraka....nimesaidia wahitaji kwa kadri ya uwezo wangu pale nilipoweza.....zaidi ya yote,ninajivunia kuitwa mama na watoto yatima niliowalea hapo nyuma na nitakaoendelea kuwasaidia nikipata uwezo zaidi.....hakuna kitu kimenifurahisha maishani so far kama wao kujivunia hata nikiwa mbali,tuna mama yetu anaitwa fulani,na nikifika wanaacha chochote wafanyacho kuja kunilaki.....hata nikifa leo,ndicho kitu pekee najivunia!
Leo nimepata status ya ''JF Senior Expert Member''.Kwangu mimi achievement ndogondogo ndizo huzaa kubwakubwa ila natamani ungekuwa Ubunge ili na mimi nipate haka kaposho kapya ha..ha..ha..ha ila 2015 sio mbali.My JF i.d says it all about me,am always on to the next big thing.
Heeee, jamani, walisema kitu KIMOJA, sasa wewe kila post unakuja na kitu kipya!hivi unajua kila nikikusoma huwa nashtuka?
unajua why?
ukichukua herufi tano za hii id yako
ndo zinatengeneza my first name.......kwangu mimi ambitious is my name....
Lazima kuna kitu unacho kipenda lakini mwilini mwako... au?
Heeee, jamani, walisema kitu KIMOJA, sasa wewe kila post unakuja na kitu kipya!
Bravo.... What sort of books are you interested into... I being an avid reader too..... Will appreciate knowing....
Joune sijagongana nawe siku nyingi Pal.... How have you been?
My best feature, Ni Lips..... I love my Lips....
Rarely? lolamenikumbusha something about me
ambacho rarely nakizungumza
sorry kwa kuvunja rules lol
Tuachie namba ya sim kabla hujaingia huko maana mkisha ingia mnapotea. lol
Hicho hujivunii wewe tu.... Hicho hata mimi nakusifu, kuku admire na kukuona kama one Great woman. Wengi twaweza kwa maneno lakini sio kwa matendo kama wewe..... You have the rite to be proud and even brag once in a while... You deserve it Michelle and I mean it from the bottom of my heart.... Naomba nikusifu "Michelle you are one Great Lady - Na Mungu akubariki!" Pamoja Saana.
Ever met a tall,average bodied dark-skinned handsome African guy?
One with great personality,great career,successful at his young age?And he‘s got a testimony to tell the way he looks back and get amazed at how far God almighty has gotten him from?You should meet me!