Do you have guts??? Basi "Brag" a bit....

Do you have guts??? Basi "Brag" a bit....

i was more interested with where you can end up, ever gave it a thought?
hahaha, i know how to get me out of the ditch before i reach the bottom. and i can brag about that too, handsome ngabu,lol

Here, your dedication: positive vibration by robert nesta marley

If you get down and you quarrel everyday,
You're saying prayers to the devils, I say. Wo-oh-ooh!
Why not help one another on the way?
Make it much easier. (Just a little bit easier)

Say you just can't live that negative way,
If you know what I mean;
Make way for the positive day,
'Cause it's news (new day) - news and days -
New time (new time), and if it's a new feelin' (new feelin'), yeah! -
Said it's a new sign (new sign):
Oh, what a new day!

You could be a bitch or a snitch and end up in a ditch! Take that.
 
i was more interested with where you can end up, ever gave it a thought?
hahaha, i know how to get me out of the ditch before i reach the bottom. and i can brag about that too, handsome ngabu,lol

How about I come pluck you from the ditch?
 
Handsome wa mama kwa mwaka huu nataka nisome BIBLE Mwanzo mpaka Ufunuo. Mpaka sasa nipo sura ya 16 ya kitabu cha Mwanzo, nasoma sura 4 per day.

umenikumbusha nikiwa mdogo...
Nilipata kuioma yote! Ila sijui nilitumia muda gani...
Na ilikuwa kila siku,sura moja.. Siku ya kusoma sura fupi nilikuwa nafurahi sana,kwani najua sitatumia muda mrefu...
Ila nimekuja kujua kusoma huku ni kama kusoma kitabu cha hadithi.. Wakati Bible inasomeka kwa kutafakari....mstari mmoja tu unatosha kuleta maana kubwa,faraja,amani,muongozo wa maisha na uhusiano na Mungu katika maisha ya msomaji..
 
Re-read the post u quoted! Before I hit bottom I grow wings and fly out of the ditch. I can teach you some and brag about that too! Makes it much easier...easy!!
How about I come pluck you from the ditch?
 
Bishanga nini sasa
Au kwa kuwa Avatar yako ya huyo babu wa matoke ndio inafanana na wewe
Mkuu habari yako bana
mi niko poa ndugu yangu,long time no see bana,tusipoteane .
(btw kuna mdau nimeanza kumzimia humu ndani sa sijui itakuwaje,let me grind on).
 
mi niko poa ndugu yangu,long time no see bana,tusipoteane .
(btw kuna mdau nimeanza kumzimia humu ndani sa sijui itakuwaje,let me grind on).

Mkuu nipo bana
mahangaiko ya maisha ila usalama upo wa kutosha
Mi yupo mmoja na nishandaa mashairi nipo page ya kumi nataka niyawasilishe hapa siku ikifika
 
Mkuu nipo bana
mahangaiko ya maisha ila usalama upo wa kutosha
Mi yupo mmoja na nishandaa mashairi nipo page ya kumi nataka niyawasilishe hapa siku ikifika
mtaje mkuu tusije tukagongana viwanja!
 
mtaje mkuu tusije tukagongana viwanja!

Nikimtaja si atatoroka mkuu
We subiri niandae kwanza mashairi na then nitakuja kamili hapa
hata tukigonggana sio mbaya tutaachiana tuu nafasi mkuu wewe ni mkubwa bana heshima lazima ittangulie mkuu
 
he he he, pole weye
andaa mshairi kumi
unamaliza kumsomea tu
nabeba mzigo

wewe umempenda unaanzia
oooh, mimi nina kampuni 3
ujue kibaha nina shamba l la hekari 267

Inahusu!!!

Mkuu nipo bana
mahangaiko ya maisha ila usalama upo wa kutosha
Mi yupo mmoja na nishandaa mashairi nipo page ya kumi nataka niyawasilishe hapa siku ikifika
 
Nikimtaja si atatoroka mkuu
We subiri niandae kwanza mashairi na then nitakuja kamili hapa
hata tukigonggana sio mbaya tutaachiana tuu nafasi mkuu wewe ni mkubwa bana heshima lazima ittangulie mkuu
kongosho we mpotezee aisee,kwanza hajulikani kama ni He au She,vipi nikupe hint?
 
he he he, pole weye
andaa mshairi kumi
unamaliza kumsomea tu
nabeba mzigo

wewe umempenda unaanzia
oooh, mimi nina kampuni 3
ujue kibaha nina shamba l la hekari 267

Inahusu!!!

mambo gani hayo aise
mambo ya kusema nina kampuni tatu na shamba la ekari ngapi sijui
mambo ya kizamani kabisa hayo
Na wala sijiandai kihivyo ni siku tuu ya kuanz akusema wazi kuwa aise nimekuzimikia na kama uko tayari sema hauko tayari niambie pia
Siku hizi ukienda na hizo gia mbona utatoswa mchana kweupe
 
he he he, pole weye
andaa mshairi kumi
unamaliza kumsomea tu
nabeba mzigo

wewe umempenda unaanzia
oooh, mimi nina kampuni 3
ujue kibaha nina shamba l la hekari 267

Inahusu!!!
kongosho,umeona timbwili la NN vs king'asti hapo juu? sijaambulia kitu,maana huo ung'eng'e mmmmhhhh na mimi dikshenare yangu imeliwa na panya!
 
Back
Top Bottom