Do you have guts??? Basi "Brag" a bit....

Nimemantain kitambi,
tangu nilipokipata kwa mama some moths back. Hii nimeifanya on my own...
Bravo Mphamvu!

Hongera saana Mphamvu..... Feature gani waipenda nje ya hio achievement...
 
Handsome wa mama kwa mwaka huu nataka nisome BIBLE Mwanzo mpaka Ufunuo. Mpaka sasa nipo sura ya 16 ya kitabu cha Mwanzo, nasoma sura 4 per day.

Aisee.... am not sure kama nimeelewa.... hongera lakini, ila ningeomba unieleweshe...
 
well to be honest i like myself
sijali saana what others may think of how i look

nimepania kuingia gym kuongeza fitness but

sijawahi kujitazama kwenye kioo nikajisikia vibaya....

should i care about how i look?
sijali saana...
na nikiitwa handsome i feel embarrassed lol
Ngoja nimlete Amyner na tiny fishy waje hapa..
 
well to be honest i like myself
sijali saana what others may think of how i look

nimepania kuingia gym kuongeza fitness but

sijawahi kujitazama kwenye kioo nikajisikia vibaya....

should i care about how i look?
sijali saana...
na nikiitwa handsome i feel embarrassed lol

hahahaha..... Alpha male.....:clap2:
 
Back
Top Bottom