Do you have guts??? Basi "Brag" a bit....

Do you have guts??? Basi "Brag" a bit....

Kama kiatu size 10
Basi huwa unatumia mapulizo ya harusi:A S embarassed:

jamani eeeeehhh bishanga ninavaa kiatu size 10!
dar es salaam nzima maduka yote huwa sipati kitendea kazi saizi yangu!
nna shida mie mwanawane!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mi nim kareee!!!!

Everything I touch turn to Gold...

Thank to Allah for making it all possible

Thats me baby!

Its not bragging if you can back it up -Mohammed Ali

Please touch my Lap top i-turn into Gold..... Pleeease! lol

Me likey your kismate!
 
Nayapenda yalivyo
Afu nahisi hata wewe unajua kuwa ndo strong feature
Ndo maana wajitanda na kuyaacha wazi lol

Hhmm. . siku ile tu nilitaka kutest zali. . lolz. Hua nayaficha bana!!
 
Kakako ndo ana raha sana than all men in the world! I don't sweat over stuff, hujaskia watu wanalalamika humu kuhusu stalkers? Yaani siku tu akiniambia sikupendi king' namuambia let's make a plan out. Kesho tukikutana town tunapigana ofa, sio mambo ya ugomvi wa jogoo.
(Ila aisee, haka ka-new niece golden mpolee, nashindwa kuka-fit close kama ndugu. But I will figure out soon,lol)

Kwa maelezo haya you are right dear...lol.... Impressive kwa kweli, impressive kabisa! Haka kabinti kalitaka kawe kadogo kangu, in the sense amwite Sweetie shem, nikaona kua na such kind of mdogo, hapana ni bora awe niece ili nibanane nae kwa fimbo! lol
 
jamani eeeeehhh bishanga ninavaa kiatu size 10!
dar es salaam nzima maduka yote huwa sipati kitendea kazi saizi yangu!
nna shida mie mwanawane!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mbona size 10 hata sio kubwa kiviiile?
Najua watu wanaovaa 11-12.
 
jamani eeeeehhh bishanga ninavaa kiatu size 10!
dar es salaam nzima maduka yote huwa sipati kitendea kazi saizi yangu!
nna shida mie mwanawane!!!!!!!!!!!!!!!!!

B' unapenda sifa wewe!! Khaaa! unataka kwa hio tukufikirie wewe ni Mkusukuma mitaa ya kati? :shock:
 
Hebu jaribu kukafit
Ukiweza na mie nipe trick
Kila nikijaribu, kanaruka ruka kama nini

Afu wiii, am heartbroken
Mateka kaingiza kitu kipya nyumbani

Hey whats it with the Avatars? hayo manyanyaso jamani.... Dah! lol
 
Mi sina cha kujisifia zaidi ya kujipa pole....

Damn ODM! Why you, Why?

ODM genuinely naomba uacha hayo na Mshukuru Mungu kwa kile ambacho kaweza kukubariki..... And I thot you would brag about what a man you are! where has that healthy spirit gone?
 
ODM genuinely naomba uacha hayo na Mshukuru Mungu kwa kile ambacho kaweza kukubariki..... And I thot you would brag about what a man you are! where has that healthy spirit gone?
Orayt... ODM anajisifia kamshinda nguvu Ziraili. Kanivizia nikamkwepa nikampa za shavu!....... kulaaleki ODM ni mnoma!

On serious note: Najisifia kujizolea marafiki wema!!

Sasa hapo bold nikisifia hiyo makitu wakati mwenyekiti hayupo huoni ntakuwa nimekiuka miiko ya katiba?
 
Handsome wa mama nimepita hapa kukagua mdahalo ulivyoenda. Ngoja nikaposti barua ile kubwa then nitarudi.
 
Orayt... ODM anajisifia kamshinda nguvu Ziraili. Kanivizia nikamkwepa nikampa za shavu!....... kulaaleki ODM ni mnoma!

On serious note: Najisifia kujizolea marafiki wema!!

Sasa hapo bold nikisifia hiyo makitu wakati mwenyekiti hayupo huoni ntakuwa nimekiuka miiko ya katiba?

Wakati mwingine inaweza kiukwa maana walioitengeneza wenyewe ndio wavunjaji nambari wani, so far ipo ili ivunjwe, kwa hiyo babu endelea tu usihofu.
 
Orayt... ODM anajisifia kamshinda nguvu Ziraili. Kanivizia nikamkwepa nikampa za shavu!....... kulaaleki ODM ni mnoma!

On serious note: Najisifia kujizolea marafiki wema!!

Sasa hapo bold nikisifia hiyo makitu wakati mwenyekiti hayupo huoni ntakuwa nimekiuka miiko ya katiba?

Now you have done justice to the post.... ADI is proud of ODM.... Hapo ulipo nibold ndio Ukweli wenyewe na it does not mean my Man is Less of a Man..... It just means as much as you are indeed a Man, in my eyes only HE is an absolute Man to me.... Hivo haimaanishi ushindwe brag ukweli uuonao.... au nimekosea Darling shem?
 
Sijawahi kuona umekosea asee.....

Kwahiyo kwa kifupi unataka nijisifie kuwa "Nimefanikiwa kuwakagua wakukaguliwa kadhaa"? Manake huo ndio UANAUME kwa tafsiri ya ODM.
All Rights Reserved!
 
i reserve my comments........... but
nimefanikiwa ingalao kwa 10% kujiaminisha wanaume wa dar nao ni wanaume
 
I love myself and najipongeza though not successful but najipongeza kwa pale nilipo na kile ambacho nategemea kufanya
najipenda the way nilivyo na nisingependa kuongezeka wala kupungua zaidi ya nilivyo
 
Back
Top Bottom