Do you have guts??? Basi "Brag" a bit....

Do you have guts??? Basi "Brag" a bit....

kongosho,umeona timbwili la NN vs king'asti hapo juu? sijaambulia kitu,maana huo ung'eng'e mmmmhhhh na mimi dikshenare yangu imeliwa na panya!

Mkuu mimi nimeuona halafu nikajifanya sijauona kabisa natruka tuu page
 
EMT you don't have to be obssesed bana, it's alright to check yourself out once in while. Besides, kama wewe ni mtu wa kushave asubuhi huwezi/hutakiwi kuavoid kioo.

Kushave na kujiangalia kwenye kioo ni tofauti aisee. Mirrors ni vital to getting a clean, close shave. Ni tofauti na kujiangalia kwenye kioo kuona kama umeridhika na uso wako, kama nguo uliyovaa inaendana na shape yako, kucheki shape yako and whether your fat talk.

Could you live a day without looking at yourself? To me, mara ya mwisho ilikuwa nilipoenda kwa kinyozi kunyoa as lazima ukae in front of the mirror. One woman swears off the mirrors for a year. Ukitaka kujua jinsi mwanamke anavyotukana mvizie akiwa mbele ya kioo. lol
 
Ina maana nyumbani kwako bafuni hakuna kioo?
 
bora hata wewe umegundua ni timbwili
mi nilidhani wanaongelea mstakabali wa taifa
kuhusu mgomo wa madaktari

kongosho,umeona timbwili la NN vs king'asti hapo juu? sijaambulia kitu,maana huo ung'eng'e mmmmhhhh na mimi dikshenare yangu imeliwa na panya!
 
Hivi Bishanga, ushawahi kumtokea mdada kwa kiswahili? Mbona ngumu sana? Usijali, tulikuwa tunashauriana na NN kuhusu mgomo wa drs
Sasa unanitokea lini aisee, kongosho akikuwahi tusilaumiane!
kongosho,umeona timbwili la NN vs king'asti hapo juu? sijaambulia kitu,maana huo ung'eng'e mmmmhhhh na mimi dikshenare yangu imeliwa na panya!
 
Yaani asali wa moyo wako
unamwachia fataki B?
Komaa hadi kieleweke

Nikimtaja si atatoroka mkuu
We subiri niandae kwanza mashairi na then nitakuja kamili hapa
hata tukigonggana sio mbaya tutaachiana tuu nafasi mkuu wewe ni mkubwa bana heshima lazima ittangulie mkuu
 
Ukishika kongosho ya moyo wangu
huwa nakuwa na slogan ya figanigga

'nikanyage bahati mbaya nikulipue makusudi'

mtu mwenyewe una wivu ka nini,usije ukantilia cyanide! nitakula za valentine wangu,lol!
 
Yaani asali wa moyo wako
unamwachia fataki B?
Komaa hadi kieleweke

Kongosho kuna sehem inabidi uwe mpole
Imagine umemind mdada halafu wakati unapiga jaramba kumpata ukapata taarifa kuwa mdingi wako anakula pale
Si utakuwa mpole kama maji ya mtungi
Sasa hapo kwa Bishanga inatokea sasa
kama atakuwa tuko kwenye race wote wawili over the same person hapo itabidi nibwage manyanga
 
Hivi ile post-doctoral certificate ya conflict manufacturing ulisomea south sudan ama libya? Nataka niombe na mie, kha!

halafu King'asti nakuandalia topic yako
Si ya kunanihii lakini ila nyingine kabisa
 
Cha nini? Kujiangalia ninapooga au kujisaidia?

Matumizi yao kioo bafuni ni mengi!

Kuna kujiangalia na kuhakikisha huna boogers puani, huna mitongotongo machoni, wakati una floss kuhakikisha sehemu ngumu kuzifikia umezifikia, kuhakikisha midomo haina utando mweupe mweupe, kuhakikisha nguo ulizovaa zimekaa vizuri, na kadhalika, na kadhalika!
 
Back
Top Bottom