mkamanga original
JF-Expert Member
- Jan 21, 2015
- 614
- 597
Wanapunguza makundi, siku hizi naona huo utaratibu wa kamati kuu kutoka na jina moja unataka kuzoelekaMchezo Umekwisha!,
Jina Moja ni Dr. Tulia Akson!
Paskali.
Wanapunguza makundi, siku hizi naona huo utaratibu wa kamati kuu kutoka na jina moja unataka kuzoelekaMchezo Umekwisha!,
Jina Moja ni Dr. Tulia Akson!
Paskali.
Acha kabisa yani sijui tu itakuwaje.ila kiukweli huu mfumo wa kuongozwa na wanawake kila mahali utatu cost sna Sasa mpka suzana kuganda akiwa IGP tutatoboka
Bila kumtaja Samwel Sitta, maandishi yako hayana maana
Mchezo Umekwisha!,
Jina Moja ni Dr. Tulia Akson!
Paskali.
Sifa yake nyingine hii hapaKwa ufupi kabisa :- "Alisoma Loleza na Zanaki girls kisha akaenda UDSM kusoma Sheria. Akiwa na miaka 30 tu akapata PhD ya Masuala ya sheria toka Cape Town University. Jakaya akamteua kuwa naibu mwanasheria mkuu wa Serikali, Magufuli akamteua kuwa Mbunge na akawa Naibu Spika. Huyu ni Dkt Tulia Ackson Mwansansu alimaarufu MBOZYO
Akipata ridhaa ya wabunge wa CCM tarehe 30 January 2022 atakwenda bungeni kwa tiketi ya CCM kuwania nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akichuana na wagombea wengine kutoka vyama vya upinzani vyenye uwakilishi bungeni ambapo kwa Sasa bungeni vyama vyenye uwakilishi ni ACT-WAZALENDO & CHADEMA.
Hata hivyo naamini Dkt. Tulia kabebwa na:-
1. Anao uzoefu wa kutosha katika kuongoza bunge la Tanzania
2. Utamaduni wa CCM wa kwamba naibu spika huwa anapewa nafasi kubwa ya kuteuliwa kugombea nafasi ya spika wa bunge.
3. Mahusiano yake yenye afya na viongozi wa chama na serikali
4. Jinsia.
KAZI INAENDELEA..
Malima Chacha
Acha ujinga basiChadema wamemteua Halima James Mdee kugombea uspika!
Ni Mang'ombe tuuKutoka kwa mdau Twita
Hawa ndio watufundishe demokrasia?
Awamu zote majina yanapendekezwa matatu na kupelekwa kwenye kamati ya wabunge wa chama ili kupigiwa kura.
Kwa uteuzi huo huyo tayari ni Spika hata kama robo tatu ya wabunge wa CCM hawatapiga kura; na hata wakipiga hapana ni huyo huyo.
Sio Wananchi hawa labda waje Wasudani.Hii nchi bila wenye nchi kuamua, tutaendelea kuchezewa kama midoli huku tunawaangalia tu, wanafanya ujinga makusudi kwasababu wanajua hatuna madhara kwao.
Si unashabikia mabwana zako watakukula mpaka upanuke nduku hiloNa utapanic sana dogo!
Hii ndio ccm
Huyu hawezi kuwa Dkt. Tulia tunayemfahamu! The video clip has been edited and re-edited!
Kwani umesikia mwenyewe ameikana ? halafu mbona iko poa tu ! mimi nimekuonyesha kipaji chake tuHuyu hawezi kuwa Dkt. Tulia tunayemfahamu! The video clip has been edited and re-edited!
Utapanic sana dogo!Si unashabikia mabwana zako watakukula mpaka upanuke nduku hilo