Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Nchi ilishapotea kitambo sana hii ndio maana tumeambiwa kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
 
MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA AKITOA TAARIFA YA UTEUZI WA MGOMBEA USPIKA WA BUNGE.

Huyu hapa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka akitoa Taarifa ya Uteuzi wa Mgombea Kiti cha Uspika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni Dkt. Tulia Ackson leo 20 Januari 2022 Jijini Dodoma.
 

Attachments

  • VID-20220120-WA0070.mp4
    11.4 MB
Acha kusifia vitu visivyostahili sifa. Huyo kibaraka ana Moto gani?. Mnasifia kinafiki tuu mkijua CHADEMA haipo bungeni, na Sasa bunge litasimamiwa na serikali. Mtapata machungu zaidi ya tozo. Muulize mtesaji wa CHADEMA ndugai kilichomtokea.
Anatosha
 
Asante mleta mada kwa taarifa hii muhimu. Pia nauliza toka 2003 Mpaka 2005 , Mheshimiwa Dr Tulia alikuwa anajishughulisha na nini?

Na Je. Ni kweli PhD aliisoma miaka 2 ama 3 ?
Cv yake ya kawaida sana ni Mgeni kwenye siasa ana bahati amekua akibebwa
 
Is it correct to call Tanzania a FEMALE country because two of its pillars of government will soon be led by women?
A female country being defined as a country that is easily penetrated!!
 
Kasoma ila matendo yakevbungeni kama mtu asiyepitia hata darasa moja

Mtu mwenye akili timamu huwezi ukakubali kuwepo wabunge 19 bungeni wasio na chama
 
Naona baadhi ya watu mmejikita kuilaani nchi na kuitamkia mabaya nchi inayotulea kana kwamba mnayo nchi nyingine ya kwenda kuishi.

Namuomba MUNGU laana zenu na matamko yenu yawe batili na yasipokelewe.
 
Back
Top Bottom