Dkt. Mwaka aonyesha vyeti na vibali vyake

Dkt. Mwaka aonyesha vyeti na vibali vyake

Mbona maji marefu ni professa na hamuhoji
maji marefu anatibu watu kama mganga wa jadi yaani muaguzi na mfukuza majini mashetani na muuza tunguri. huyo mwaka anajifanya yeye ni daktari akijifananisha na hao wa muhimbili. unaona kuna usawa hapo?
 
Tufahamishe basi tuwe tunamuita jina Gani... Medical Assistant au Mganga? na kama Mgananga in English tutamuita Doctor si kosa tena labda tuongee Mnganga wa Kienjeji...

Witch Doctor?
jina halisi ni mganga wa jadi. asiiishie tu kujiita mganga, ajiite "mganga wa jadi" na atamke jina lote asiishie njiani>
 
Yaani sawa na kutumia bunduki kuua inzi halafu risasi yenyewe haimpati
 
kumbe ni herbalist....kwa nini ajiite daktari sasa, HERBALIST na DOCTOR ni fani mbili tofauti... Kwa nini Mwaka ajiite Doctor na sio HERBALIST.....anaudanganya umma
Matunge na Mwaka ni sawa....wote Herbalist
haaaahaaaaaaaaaaa nchi hii kweli WAJINGA NDIO WALIWAO
 
Mawaziri watakurupuka sana sasa iv kisa wanamuiga Magufuli kustukiza.

Awamu hii wataumbuka sana. Hakuna cha kujikomba wala kujidai kuwa wako kwenye mchakato. Kikwete aliwadekeza sana hao viranja
 
Point of correction , sio kuwa ame ''specialize'' , ukitazama vyeti hivyo kwa umakini utagundua kuwa huyu jamaa amepata basic trainings so hawezi kuwa specialist.

😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Attachments

  • 1450358985383.jpg
    1450358985383.jpg
    82.3 KB · Views: 243
Tunataka mawaziri wasikivu na wenye moyo wa uthubutu kama HK. Tumejua mengi baada ya hiyo ziara yake. Next akina 'dr' rahabu, ndodi na ma'dr' wengine wasanii km hao. Lakini pia ashughulikie hao jamaa wa hapo wizara wanaokula na hawa matapeli kwa kutoa vibali ovyo.

Mungu ampe maisha marefu mhe. aendelee kutumbua majipu mengine.
 
Dr kigwangallah mbona babu wa loliondo hakuwa na cheti na hata rais wako alienda kupata tiba?
 
Bunge linaanza 26thJan...tuseme INSHAALAH..na kama tunataka maendeleo basi wawe wakweli na watende haki.
 
jina halisi ni mganga wa jadi. asiiishie tu kujiita mganga, ajiite "mganga wa jadi" na atamke jina lote asiishie njiani>
Kwa Kiingereza je maana ni Lugha ya Taifa ya Pili
 
Tarehe ya barua kuchapwa ni 28th May 2014
Tarehe ya barua kusainiwa na aliyeiandika 28/04/2014

Wonders shall never end!!!!! Pdidy

HAHAAAA DK NILIOONA.NKASU IRI UJE NKASEMA USIPOINA NIKUJUZE HII UTAIPATA TANZANIA.PEKEE NDuGU...NA WIZARAN KUNA MATATIZOSANAA SANA

Mkuu nilijua labda macho yangu pekee ndio yamegundua hilo, ikabidi nitulie kwanza nisubiri. Tehehee only in tz

Ukiachilia mbali barua hii,

Makosa haya ni ya kibinadamu na huwa yanatokea sana.....

Aina ya kazi niliyonayo huwa inanifanya kuandika na kusaini barua nyingi na nyingine kwa muhuri maalum...wakati fulani najikuta tarehe ya saini na ya barua zinaranana lakini ya muhuri tofauti.....au ya muhuri na saini inafanana lakini ya barua tofauti....

Mara nyingine naweza kugundua na mara nyingine nakwama....makosa haya yapo na sio tu tarehe bali content nyingine..

The issue here ni kuwa is this letter genuine??
 
Last edited by a moderator:
CC. Dr.Kigwangala ( Naibu Waziri) vipi umesahau Mhe.ni member mwenzetu ebu jaribu kuzingatia protokali banah!

Hivi Babu wa Loliondo alikuwa na cheti kweli?

Babu hakujiita Dr, hakujitangaza, it is very simple
 
Habari wadau ! Mimi kama mmoja wa MTU ambaye mke wangu amepata Huduma ya dokta mwaka kuanzia January mwaka huu hadi mwezi wa kumi katika matatizo ya uzazi ,sijaona tatizo zaidi ya kumshukuru kwani nimeangaika Mara mbili kwenye hospitali zenye madokta lakini watoto Wang wawili walitoka kabla na kufariki lakini January nilifumba macho na kuenda kwake nilipewa dawa na ushauri niliambiwa mke Wang ana infection ,nashukuru alitumia kwa usahihi wiki iliyopita mke Wang kajifungua salama na afya tele, mwanzo watu walinitisha kuhusu dawa zake ikiwemo shoga Yake mke Wang kwamba si dawa wala chochote.Sasa wana forum nauliza kwa dokta mwaka tatizo ni nini?
 
Sasa Kama Na Wewe AKILI Zako Zinafanana Na Huyo Mlengwa Utawezaje Kuona Tatizo Kwa Haya Yote Anayotuhumiwa au Kulalamikiwa?
 
Ushukuru Mungu anayewahurumia wajinga.

Angekuwa Dr kwanini akimbie? Tuulize tuliokwisha kwenda kwa waganga tukupe siri za huko.
 
Habari wadau ! Mimi kama mmoja wa MTU ambaye mke wangu amepata Huduma ya dokta mwaka kuanzia January mwaka huu hadi mwezi wa kumi katika matatizo ya uzazi ,sijaona tatizo zaidi ya kumshukuru kwani nimeangaika Mara mbili kwenye hospitali zenye madokta lakini watoto Wang wawili walitoka kabla na kufariki lakini January nilifumba macho na kuenda kwake nilipewa dawa na ushauri niliambiwa mke Wang ana infection ,nashukuru alitumia kwa usahihi wiki iliyopita mke Wang kajifungua salama na afya tele, mwanzo watu walinitisha kuhusu dawa zake ikiwemo shoga Yake mke Wang kwamba si dawa wala chochote.Sasa wana forum nauliza kwa dokta mwaka tatizo ni nini?

uzi wako umejaa sifa nyngi bla hoja upuuzwe wewe ulikua una tatzo LA ugumba sasa ulvompeleka kwa mwaka mwaka akamcharanga na uyo mtoto ni wa mwaka sio wako we msifie mwaka wakat anamnanhii mke wako
 
Back
Top Bottom