Dkt. Mwaka aonyesha vyeti na vibali vyake

Dkt. Mwaka aonyesha vyeti na vibali vyake

Ebu fanya kuwasiliana na hao jamaa kuweza kujua
labda shida kubwa kwa dk mwaka beizake ziko juu sana sio kumsaidia mtanzania wa chini kama waganga wa asili wa kawaida uwezitofautisha waloliondo 500/30"000 za mwaka hapo unalipa 10"000 za kadi dawa unaandikiwa tano bill zinatoka perdiem ya mbunge mmoja wa katiba ukijumlisha mns uwe na laki nne+ kwenda kwa mwaka m sishangai hilo gari kwa bei zake uwezo anao..waangalie tu hizo.sehemu zingine na wambane kwenye bei ..yuko kwa ajili ya wananchi wote..kama anaponya basi abanwe bei zishuke.aendelww..
 
Msilete siasa, huyu ni dokta wa kutumia mitishamba, iweje atumie baadhi vifaa na taratibu za mainstream medicine ilhali haruhusiwi kutumia sababu hajasomea? Hiyo ndo hoja! Nendeni klinik kwake!
Hivyo vyeti ulivyoweka hapo havijajibu hoja bali kuongeza maswali zaidi.

Mibichwa tupu shida sana. Kwa hiyo ulitaka kwa kuwa ni dokta wa tiba asili basi thermometer isitumike kupima joto la mwili aku'nyoso' au?

Ukikosa cha kuongea kukaa kimya ndio uungwana.
 
Tarehe ya barua kuchapwa ni 28th May 2014
Tarehe ya barua kusainiwa na aliyeiandika 28/04/2014

Wonders shall never end!!!!! Pdidy

HAHAAAA DK NILIOONA.NKASU IRI UJE NKASEMA USIPOINA NIKUJUZE HII UTAIPATA TANZANIA.PEKEE NDuGU...NA WIZARAN KUNA MATATIZOSANAA SANA
 
Last edited by a moderator:
Inatupasa tujikite kwenye kujadili issues zinazohusiana na hii saga ya Mwaka. Tusijadili watu. Hatutavuka
 
Mibichwa tupu shida sana. Kwa hiyo ulitaka kwa kuwa ni dokta wa tiba asili basi thermometer isitumike kupima joto la mwili aku'nyoso' au?

Ukikosa cha kuongea kukaa kimya ndio uungwana.

Umefikiria mpaka mwisho ukapata themometer tu? Na taratibu je?
Saluti kamanda.
 
MAKOSA YAKE NI HAYA:_
(i) Registration yake ni ya tiba asili ambayo imekwisha muda wake
(ii) Kumkimbia Muheshimiwa naibu waziri
(iii) amekiuka miiko kwani alikuwa hajitangazi kama mtoa tiba wa asili, HIVYO WENGI WALIOKWENDA KWAKE WALIAMINI NI MGANGA WA HOSPITALI-MEDICAL DOCTOR

kibali kinaisha oct 2016

kila siku anajitangaza ni mganga wa tiba asili/mbadala
 
labda shida kubwa kwa dk mwaka beizake ziko juu sana sio kumsaidia mtanzania wa chini kama waganga wa asili wa kawaida uwezitofautisha waloliondo 500/30"000 za mwaka hapo unalipa 10"000 za kadi dawa unaandikiwa tano bill zinatoka perdiem ya mbunge mmoja wa katiba ukijumlisha mns uwe na laki nne+ kwenda kwa mwaka m sishangai hilo gari kwa bei zake uwezo anao..waangalie tu hizo.sehemu zingine na wambane kwenye bei ..yuko kwa ajili ya wananchi wote..kama anaponya basi abanwe bei zishuke.aendelww..

Mkuu Pdidy, kwani kuna sehemu Dk.Mwaka alieleza kuwa anaanzisha Charity Organization mpaka tuhoji bei ya matibabu kwake? Mimi naona hilo ni jukumu la mhitaji kujipima kama anaweza matibabu ya huyu jamaa au lah. Tusassume kuwa huwa anazunguka nyuma ya nyumba yake na kuchimba mizizi akamuamuru mke wake atwangwe tunywe, bila shaka ana gharama za kazi yake.

Watanzania tuwe fair for the love of God. Kuna yule specialist wa watoto pale Morocco, kumuona tu ni 20,000. Hospitali kama Aga Khan, Hindu Mandal na Burhani bei zake kweli ni sawa na Amana? Mbona huko hatuwasongi?

Imekuwa kama fashion sasa mtu akifanikiwa kwa kazi ya mikono yake basi lazimwa asakamwe. Mimi nashauri kama unaona Dk. Mwaka anapata sana, tuige uthubutu wake na sio kumuundia tume.

Kuna kitu Dk. Mwaka amemzidi Dk. Kigwangala.....'Millionare mindset'. Waziri naye si daktari yule jamani? Mbona kaaza zana chini kakimbilia kwenye siasa? Kuwa daktari jina si sawa na kuwa daktari mjasiriamali. Dk.Mwaka anao uthubutu na unamlipa kop kwem!
 
Last edited by a moderator:
Tarehe ya barua kuchapwa ni 28th May 2014
Tarehe ya barua kusainiwa na aliyeiandika 28/04/2014

Wonders shall never end!!!!! Pdidy

Mkuu nilijua labda macho yangu pekee ndio yamegundua hilo, ikabidi nitulie kwanza nisubiri. Tehehee only in tz
 
Last edited by a moderator:
Umefikiria mpaka mwisho ukapata themometer tu? Na taratibu je?
Saluti kamanda.

Taratibu au mbio hayo utajua wewe. Mimi nachofahamu ni kuwa, ili uweze kubaini fulani anaumwa nini ni lazima uwe na vipimo. Ikiwa Dk. Mwaka amenunua CT Scan na akamuajiri Fundi Mchundo kupima wapi, vipimo vikatafsiriwa na huyo mtu akapewa hiyo juice au kidonge cha miti akanywa akapona basi hapo hakuna tatizo.

Shida yenu mabimkubwa ni kuwa hamtaki kujiongeza. Umaskini wako usikuongoze kuwachukia waliofanikiwa. Kama unazo tuhuma za wazi dhidi ya Dk. Mwaka weka hapa nikusaidie kumchukia....vinginevyo hayo ni majungu tu.
 
Kama kuna shida anzia shina Mhe Naibu waziri naomba fwatilia hii barua. Wewe ni member bora na uko humu mda mwingi hii ujuee jipu kubwa liko wizarani kwako embu anza kummaliza kwanza huyu aliesaini hii barua.

Imeandikwa 28,May14. Imesainiwa 28, April 14..
 
Attachments

  • IMG_8689949285688.jpeg
    IMG_8689949285688.jpeg
    13.1 KB · Views: 776
Hii nchi ina majungu sana Babu wa Loliondo alisababisha maafa sana ila sababu alikua anafanya kwa uwezo wa roho mtakatifu hakuna shida ila huyu mganga kilichomponza ni JUMA alafu ana wake 2 kuonyesha msisitizo na amefanikiwa sana ingawa ndio anazingua baadhi ya mambo ila utaratibu uliotumika sio
 
MAKOSA YAKE NI HAYA:_
(i) Registration yake ni ya tiba asili ambayo imekwisha muda wake
(ii) Kumkimbia Muheshimiwa naibu waziri
(iii) amekiuka miiko kwani alikuwa hajitangazi kama mtoa tiba wa asili, HIVYO WENGI WALIOKWENDA KWAKE WALIAMINI NI MGANGA WA HOSPITALI-MEDICAL DOCTOR

attachment.php
attachment.php
 
*cc wizara ya afya na wengineo...

Kumbe jamaa ame specialise kwenye Miziziology

Dr.Mwaka nimemkubali.

Watu wanakurupuka kumbe mtu ana document zote.

(1).Muwe mnasoma vizuri registration yake inakoma 31 october 2016,(2).Dr.HKigwangalla alifanya ziara ya kushikiza hivyo kutomkuta Dr.Mwaka hamanishi alimkimbia.(3)wewe ulimskia alikuwa anajitangazaje??
kuweni na akili timamu, hivi kwa kweli, mtu mwenye cheti kama hicho hapo anafaa kuitwa doctor somebody? mnajua maana ya doctor? hivi mtu kama huyu akienda kwenye nchi za watu wenye akili (ambao sio kama ninyi mnayemtetea) atajiita doctor? ....wanatakiwa wapigwe marufuku kujiita madoctor waitwe WAGANGA WA JADI. upuuzi mtupu huuu, na ni waongo kuliko hata shetani. wanachukua advantage matatizo ya watu.
 
Back
Top Bottom