Dkt. Mwaka aonyesha vyeti na vibali vyake

Dkt. Mwaka aonyesha vyeti na vibali vyake

kuweni na akili timamu, hivi kwa kweli, mtu mwenye cheti kama hicho hapo anafaa kuitwa doctor somebody? mnajua maana ya doctor? hivi mtu kama huyu akienda kwenye nchi za watu wenye akili (ambao sio kama ninyi mnayemtetea) atajiita doctor? ....wanatakiwa wapigwe marufuku kujiita madoctor waitwe WAGANGA WA JADI. upuuzi mtupu huuu, na ni waongo kuliko hata shetani. wanachukua advantage matatizo ya watu.

Kwa mini serikali isiimarishe Huduma zake kwenye hospitari za uma,ili wananchi wasiende huko.
badala yake wanakimbizana na hawa watu wa Tiba mbadala?

Siwatetei lakini nafikiri kipaumbele cha kwanza ilitakiwa ahakikishe dawa na vifaa tiba vinamwagika vya kutosha kweye zahanati vituo vya afya.na hospitari zote za serikali.

Tena ahakikishe hakuna dawa inayoibiwa huko.
Wananchi tungempigia makofii mengi.
Ila hapo bado sana.
 
Hahaaa kuna.miss mmoja alikaa kimaraa akapenda hela akazaa.na mganga wa kienye dk ngi.....huyu kapiga hela mozamboqie wachaa...na udk wake loh..na nyi mnakaa miaka minne mnapoteza muda sibora mwende china kwa halii hii mkirudi mwaka tu mna vogue hahaa dk pdidy sio jina hiyo n no ya gari(plate.no).. Alah..ngoja ncheki umri ...

Asee nahisi wenge tu hapa
 
Kwani hamuoni vyeti vyake na kigwangala ngoma droo!
 
MAKOSA YAKE NI HAYA:_
(i) Registration yake ni ya tiba asili ambayo imekwisha muda wake
(ii) Kumkimbia Muheshimiwa naibu waziri
(iii) amekiuka miiko kwani alikuwa hajitangazi kama mtoa tiba wa asili, HIVYO WENGI WALIOKWENDA KWAKE WALIAMINI NI MGANGA WA HOSPITALI-MEDICAL DOCTOR

We nawe khaaa hujui kusoma au?hiyo 31.oct.2016 imeshafika?? Khaaaa
 
Ukitaka ugomvi na akina Mwaka na nduguye ?sak Ndodi we hoji waliko somea udaktari wanaujinasibu nao. Hawa jamaa mi nawachukia kwa kutapeli raia wakijiita dr ilhali wakifahamu fika kuwa wao ni witch-drs. Ndo maana kila siku ukimsikiliza mwaka pointi zake ni mbili tu: "homon imbalance", "kuziba kwa mirija ya kike" the whole year. Tumbua majipu hayo.

Shida ya mtu yeyote limbukeni ni ubongo wake. Sasa wewe ulitaka kwa mwaka abadilishe mada kwani alikwambia yeye ni msanii na sasa unaomba atoe album mpya? Acheni wivu wa kike, tatizo analolizungumzia ni sugu, mkienda hospitali mnaambiwa majibu mepesi kuwa huwezi kuzaa, leo kapatikana mtu anawatibu mnaanza porojo kisa kanunua gari.

Unajitia kuwajua sana madokta eti?
 
MAKOSA YAKE NI HAYA:_
(i) Registration yake ni ya tiba asili ambayo imekwisha muda wake
(ii) Kumkimbia Muheshimiwa naibu waziri
(iii) amekiuka miiko kwani alikuwa hajitangazi kama mtoa tiba wa asili, HIVYO WENGI WALIOKWENDA KWAKE WALIAMINI NI MGANGA WA HOSPITALI-MEDICAL DOCTOR
Pia alikuwa anafanya kazi kama daktari wa kusomea..
 
Watu wanakurupuka kumbe mtu ana document zote.
Naamini hazijitoshelezi.
Nilisikia Kigwangala akisema kuwa Mwaka ana-practice 'modern' medicine wakati yeye ana vibali vya ku-practice 'traditional' medicine.
 
*Cc: Wizara ya Afya na wengineo...

attachment.php

attachment.php

mbona hakuna vyeti vya dhahada yake ya udaktari
 
Hawa matapeli wamejianga.. ata ndondi nae ana magamba ya china..hawakamatiki kabisa
 
kuweni na akili timamu, hivi kwa kweli, mtu mwenye cheti kama hicho hapo anafaa kuitwa doctor somebody? Mnajua maana ya doctor? Hivi mtu kama huyu akienda kwenye nchi za watu wenye akili (ambao sio kama ninyi mnayemtetea) atajiita doctor? ....wanatakiwa wapigwe marufuku kujiita madoctor waitwe waganga wa jadi. Upuuzi mtupu huuu, na ni waongo kuliko hata shetani. Wanachukua advantage matatizo ya watu.

mkuu ni kweli nafikiri hawa jamaa wanomtetea mwaka ni wapumbavu na malofa, ambao hata sheria ya tiba asili na tibambadala namaba 23 ya mwaka 2002, hwajaisoma, huyu ni tapeli na ni muongo hivyo vyeti hapao ameforge vingi ukiangalia na hata hicho kinaoishi ya 2016, angalia vizuri picha na sign zilivyokaa ni forgery tupu, hicho cha kurusha matangazo pia ni forgery tupu, tarhe ya barua ilipoandikwa na kusainiwa tofauti, anatafuta huruma ya jamii, huyu ni muaji mkubwa wa watu na madhara yake hawa wanomtetea watayajua baada yamuda, pumbavu!
 
kuweni na akili timamu, hivi kwa kweli, mtu mwenye cheti kama hicho hapo anafaa kuitwa doctor somebody? mnajua maana ya doctor? hivi mtu kama huyu akienda kwenye nchi za watu wenye akili (ambao sio kama ninyi mnayemtetea) atajiita doctor? ....wanatakiwa wapigwe marufuku kujiita madoctor waitwe WAGANGA WA JADI. upuuzi mtupu huuu, na ni waongo kuliko hata shetani. wanachukua advantage matatizo ya watu.

Tufahamishe basi tuwe tunamuita jina Gani... Medical Assistant au Mganga? na kama Mgananga in English tutamuita Doctor si kosa tena labda tuongee Mnganga wa Kienjeji...


Witch Doctor?
 
Back
Top Bottom