beeper
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 253
- 107
uzi wako umejaa sifa nyngi bla hoja upuuzwe wewe ulikua una tatzo LA ugumba sasa ulvompeleka kwa mwaka mwaka akamcharanga na uyo mtoto ni wa mwaka sio wako we msifie mwaka wakat anamnanhii mke wako
Nazani hujui maana ya ugumba soma post vizuri ,si lazima uchangie kama hujui