Dkt. Mwaka aonyesha vyeti na vibali vyake

Dkt. Mwaka aonyesha vyeti na vibali vyake

Hata mimi ningemkimbia, utakujaje bila kutoa taarifa? Hii ni ofisi yangu si ya serekali hayo mambo ya kuviziana pelekeni huko kwenye ofisi zenu, huku ukija utoe taarifa haijalishi wewe waziri au nani.

Yaani ukimbie ofisi, or rather kituo chako cha afya, kisa mtu kaja bila kutoa taarifa?! Mali yako binafsi?! Kisa sio ofisi ya serikali? Nafikiri kwa kuwa sekta aliyopo ni ya afya, sio ndio ungekuwa muda muafaka kushea na mgeni wake changamoto anazokumbana kwenye kazi yake ambazo inawezekana kumfikia in person ilikuwa ni changamoto (kwa hadithi za njoo kesho). Kwa kukimbia huoni inazua maswali mengi zaidi kuliko majibu?
 
MAKOSA YAKE NI HAYA:_
(i) Registration yake ni ya tiba asili ambayo imekwisha muda wake
(ii) Kumkimbia Muheshimiwa naibu waziri
(iii) amekiuka miiko kwani alikuwa hajitangazi kama mtoa tiba wa asili, HIVYO WENGI WALIOKWENDA KWAKE WALIAMINI NI MGANGA WA HOSPITALI-MEDICAL DOCTOR

Siku zote nimeishi nikiamini kuwa Dr Mwaka ni Medical Doctor aliyebobea kwenye magonjwa ya uzazi kwa wanawake. Kumbe siyo kweli😱??
 
CC. Dr.Kigwangala ( Naibu Waziri) vipi umesahau Mhe.ni member mwenzetu ebu jaribu kuzingatia protokali banah!


Hivi Babu wa Loliondo alikuwa na cheti kweli?


Alikuwa nacho,unafikiriasingekuwa na cheti waziri wetu makini wa ujenzi kipindi kile angekwenda kupata tiba?
 
Hili sakata la dr mwaka na dr kigwangala nimelichunguza kwa kina na kugundua yafuatayo.:-

1- kigwangala kakurupuka kushughulikia matawi ya tatizo na sio mzizi wa tatizo ambao ni ukosefu wa huduma stahiki za afya kutoka kwa madaktari waliobobea na wanaotambulika kiserikali na kisheria.

2- mwaka kama mjasiriamali kaona nafasi ya kutengeneza uchumi wake kwa kuanzisha hospitali ya tiba asili na kujitangazia uwezo wa kutibu na pia kuweka vifaa tiba ambavyo pengine serikalini havipo au hata kama vipo uwingi wa wahitaji wa huduma hiyo unawafanya watu wwakimbilie kwa dr mwaka.

3- kuonyesha umakini katika ujasiriamali..dr mwaka amekuwa akisisitiza wagonjwa wake waanzie hospitali hizi za kiserikali ila ikishindikana waje kwake anakotoa tiba na vipimo mbadala.

4- naona mzozo wa kimaslahi kati ya madaktari waliopitia mifumo sahihi ya vyuo vyetu kama muhimbili na madaktari waliopitia njia mbadala na mwishowe kupata taaluma hiyo ya tiba. Swali langu kubwa hapa ni je..
kwanini munagombea fito wakati munajenga nyumba moja ambayo ni kutupatia tiba wagonjwa wenu?

5- naona umuhimu wa serikali kuheshimu sekta binafsi katika swala zima la afya na huduma mbadala...leo akishughulikiwa dr mwaka kesho atashughulikiwa mganga wa jadi anayeongeza nguvu za kiume pale mwembeni na mwisho wa siku atashughulikiwa hata bibi yangu kule kijijini anayejua kuwa ukiumwa manyalia kumwa maji ya majani ya muembe dume na majani ya mapera yaliyochemshwa pamoja.

angalizo.:-

kigwangala acha siasa za maji taka...pigania huduma anazotoa dr mwaka ziwepo kila zahanai uone kama dr mwaka atapata wateja....hiyo ndio kazi yako.
 
Wanazidi kumkuza kwa jina kwan wengi tulikua hatujui
 
Point of correction , sio kuwa ame ''specialize'' , ukitazama vyeti hivyo kwa umakini utagundua kuwa huyu jamaa amepata basic trainings so hawezi kuwa specialist.

Tupe madaraja ya waganga wa kienyeji?
Yule mbunge wa korogwe vijijini ni profesa wa uganga, ana vyeti vya kuthibisha hilo?
 
MAKOSA YAKE NI HAYA:_
(i) Registration yake ni ya tiba asili ambayo imekwisha muda wake
(ii) Kumkimbia Muheshimiwa naibu waziri
(iii) amekiuka miiko kwani alikuwa hajitangazi kama mtoa tiba wa asili, HIVYO WENGI WALIOKWENDA KWAKE WALIAMINI NI MGANGA WA HOSPITALI-MEDICAL DOCTOR

> Dr Kingwangala anatafuta sifa kwa kuvunja taratibu na misingi ya ubinadamu, kama ni muda hata angalikuwa mimi ningaliondoka haiwezekani unipaki saa kadhaa alafu hufiki wakati na mimi nina mambo yangu njoo kwa muda tumzungumze yaishe. Usajili kwani alishindwa nini kumwita taratibu na kumueleza usajili wake umeisha mpaka kumuharibia sifa. Tumieni akiri na uwezo wa uongozi siyo kukurupuka kwa vyombo vya habari ili usikike, Amemkose JJ Mwaka angalimuita waongee sasa kumtangaza kwa vyomba vya habari unajenga au! tiba mbadala muhimu sana yeye afuate utaribu na Kingwangala aheshimu kazi yake.
 
Msameheni waziri alikurupuka kwa kusoma udaku wa mange huko instagram na kukimbilia kutaka kupata breaking news.
Kumbe hamjui mange kuwa asilimia kubwa ya anayoandika ni wivu, na huu ulikuja baada ya kideo cha Diamond kuwa na tangazo na kusikia pesa alizolipwa. Anamjua vizuri dk na anaonaga matangazo, mtu haswa ukifata akina le mutuz na wengine matangazo uwa yapo. Ni mange kamchimbia kisima hewa itabidi ajitahidi kufatilia anayosoma kabla hajaamua kwenda. Cha kuchekesha maneno alivyoyaandika mange na kumtag nae anaenda kwa ma paparazi ameya kramu kichwani anayasema hayo hayo...yaani nilicheka nikasema haumjui mange wewe.

Hapa kazi tu wadungu, hakuna jambo bila kujifunza jambo kujihimarisha.
 
Yaani ukimbie ofisi, or rather kituo chako cha afya, kisa mtu kaja bila kutoa taarifa?! Mali yako binafsi?! Kisa sio ofisi ya serikali? Nafikiri kwa kuwa sekta aliyopo ni ya afya, sio ndio ungekuwa muda muafaka kushea na mgeni wake changamoto anazokumbana kwenye kazi yake ambazo inawezekana kumfikia in person ilikuwa ni changamoto (kwa hadithi za njoo kesho). Kwa kukimbia huoni inazua maswali mengi zaidi kuliko majibu?


Unashea nini na mgeni anayekuja ofisini kwako na makamera pamoja na defender?
 
Wako wengi na yule dada wa Fiterawa. Ila mimi ningependa niseme jambo, mambo haya ya tiba mbadala (alternative/herbal therapy) mtu yoyote anaweza kusomea bila kumlazimu kuwa na fani ya udaktari wa kisasa. Ila ishu inakuja je, hawa watabibu wa tiba mbadala wanajipambanua vema ili watu wakae wakaelewa huo utofauti? Nawakilisha!
 
Unashea nini na mgeni anayekuja ofisini kwako na makamera pamoja na defender?

Na kama nina imani na nifanyacho kwa nini niyahofu makamera na madifenda. Sana sasa ningebadilisha hii hadithi kuwa..wavamia na makamera na difenda waumbuka...
 
Dr mwaka mara nyingi hayupo ofsini!
Hyo kingwangala aliambiwa alikuepo zen alivojua kua anakuja waziri akakimbia?????
Pale madokta wake mwaka ndyo wapo mda mwingi.

MWAKA adi ufanye appointment nae ndyo utamkuta pale
 
Kwenye cheti mbona hawajamuandika kama DR. Mwaka?

Kumbe ni mganga wa tiba asilia
 
*Cc: Wizara ya Afya na wengineo...
Q
attachment.php

attachment.php
Rekebisha heading yako wewe. Duniani hakuna Dr anaeitwa Mwaka. Huyu unaemzungumzia hajawai.hatawai na hawezi kuwa Dr. Mpatie haki yake ni mgananga wa kienyeji japo hapendi kuitwa hvo maana hailipi kibiashara.
 
Hili sakata ni sawa na fundi wa kuranda mbao kujiita Engineer au foreman pia kujiita Engineer!!!
 
Mawaziri waliotruliwa na Rais Magufuli naona wamepanic kweli kweli wana temper ya ajabu inabidi wa calm down na kupunguza presha waliyonayo
 
Back
Top Bottom