Ushukuru Mungu anayewahurumia wajinga.
Angekuwa Dr kwanini akimbie? Tuulize tuliokwisha kwenda kwa waganga tukupe siri za huko.
uzi wako umejaa sifa nyngi bla hoja upuuzwe wewe ulikua una tatzo LA ugumba sasa ulvompeleka kwa mwaka mwaka akamcharanga na uyo mtoto ni wa mwaka sio wako we msifie mwaka wakat anamnanhii mke wako
Kwa Kiingereza je maana ni Lugha ya Taifa ya Pili
Muulize mkeo vzr,
Habari wadau ! Mimi kama mmoja wa MTU ambaye mke wangu amepata Huduma ya dokta mwaka kuanzia January mwaka huu hadi mwezi wa kumi katika matatizo ya uzazi ,sijaona tatizo zaidi ya kumshukuru kwani nimeangaika Mara mbili kwenye hospitali zenye madokta lakini watoto Wang wawili walitoka kabla na kufariki lakini January nilifumba macho na kuenda kwake nilipewa dawa na ushauri niliambiwa mke Wang ana infection ,nashukuru alitumia kwa usahihi wiki iliyopita mke Wang kajifungua salama na afya tele, mwanzo watu walinitisha kuhusu dawa zake ikiwemo shoga Yake mke Wang kwamba si dawa wala chochote.Sasa wana forum nauliza kwa dokta mwaka tatizo ni nini?
MAKOSA YAKE NI HAYA:_
(i) Registration yake ni ya tiba asili ambayo imekwisha muda wake
(ii) Kumkimbia Muheshimiwa naibu waziri
(iii) amekiuka miiko kwani alikuwa hajitangazi kama mtoa tiba wa asili, HIVYO WENGI WALIOKWENDA KWAKE WALIAMINI NI MGANGA WA HOSPITALI-MEDICAL DOCTOR
Habari wadau ! Mimi kama mmoja wa MTU ambaye mke wangu amepata Huduma ya dokta mwaka kuanzia January mwaka huu hadi mwezi wa kumi katika matatizo ya uzazi ,sijaona tatizo zaidi ya kumshukuru kwani nimeangaika Mara mbili kwenye hospitali zenye madokta lakini watoto Wang wawili walitoka kabla na kufariki lakini January nilifumba macho na kuenda kwake nilipewa dawa na ushauri niliambiwa mke Wang ana infection ,nashukuru alitumia kwa usahihi wiki iliyopita mke Wang kajifungua salama na afya tele, mwanzo watu walinitisha kuhusu dawa zake ikiwemo shoga Yake mke Wang kwamba si dawa wala chochote.Sasa wana forum nauliza kwa dokta mwaka tatizo ni nini?
Wewe tatizo hulioni, mkeo kapona kwa imani yake sio tiba,babu loliondo aliwafanyaje wa tz yeye babu aliwalisha watu imani watu wakajawa na matumaini wanapona kisukari,wajinga ndo waliwao
mkuu kabla ya kwenda kwa mwaka, mlisha fanyiwa vipimo gani, hospitali zipi.....naamini kwa mwaka ni bei gali sana kwahiyo sidhani kama mngeweza kushindwa kulipia vipimo sahihi vya uzazi, kwako wewe na mke....kama hukuwahi fanyiwa uchunguzi wewe na wife hii stori itakua ni siasa zaidi