Dkt. Mwaka aonyesha vyeti na vibali vyake

Dkt. Mwaka aonyesha vyeti na vibali vyake

Shida ya mtu yeyote limbukeni ni ubongo wake. Sasa wewe ulitaka kwa mwaka abadilishe mada kwani alikwambia yeye ni msanii na sasa unaomba atoe album mpya? Acheni wivu wa kike, tatizo analolizungumzia ni sugu, mkienda hospitali mnaambiwa majibu mepesi kuwa huwezi kuzaa, leo kapatikana mtu anawatibu mnaanza porojo kisa kanunua gari.

Unajitia kuwajua sana madokta eti?

We na huyo mwenzio ni waganga wa jadi matapeli na zumbukuku. Mnatakiwa mjitambulishe hivo ndio elimu yenu na uelewa ulivo. We mganga wa kienyeji kwa nini utumie id ya ma Dr kutapeli wananchi? Kwa nini usiwaeleze ukweli kuwa wewe ni witchdoctor ili watu waamue kwa hiari yao? Na mtumbuliwe tu, tumechoka sisi. Simbilisi weye wafikiri kuitwa Dr bila kupitia prepo rah?si kama akili yako ilvo fupi? Mganga wa kienyeji wa kienyeji tu wewe.
 
Msishangae kusikia Kigwangallah kafanya ziara ya kushtukiza kwa babu wa loliondo
 
kuweni na akili timamu, hivi kwa kweli, mtu mwenye cheti kama hicho hapo anafaa kuitwa doctor somebody? mnajua maana ya doctor? hivi mtu kama huyu akienda kwenye nchi za watu wenye akili (ambao sio kama ninyi mnayemtetea) atajiita doctor? ....wanatakiwa wapigwe marufuku kujiita madoctor waitwe WAGANGA WA JADI. upuuzi mtupu huuu, na ni waongo kuliko hata shetani. wanachukua advantage matatizo ya watu.

Mbona maji marefu ni professa na hamuhoji
 
Kwa hiyo barua ya wizara ni wazi kuna tatizo kubwa zaidi ya wengi wetu tulivyofikiria awali. Kama sheria inakataza 'promotions' lakini wizara inaruhusu tena pasipo kutoa ukomo wa muda wa kibali ni wazi tatizo ni kubwa na linaanzia kwa hao wasimamizi wa sheria.
 
nawasiwasi na redio uliokuwa ukisikia akianza anajieleza naitwa dk....xxxxx natibu dawa zangu kwa mitishamba wengine husema mitiya asili..akimaliza hu do ze same....

huwa nasikia akijiita Tabibu JJ Mwaka. ina maana tabibu inamaanisha Dr?
 
Kwa hiyo barua ya wizara ni wazi kuna tatizo kubwa zaidi ya wengi wetu tulivyofikiria awali. Kama sheria inakataza 'promotions' lakini wizara inaruhusu tena pasipo kutoa ukomo wa muda wa kibali ni wazi tatizo ni kubwa na linaanzia kwa hao wasimamizi wa sheria.

Hawa maharamia wa tiba wanapaswa kutumbuliwa sanjari na hao wanaowadhamini kwa maslahi binafsi kwa kutumia za umma. Angalia tofauti za tarehe kat? ya mwombaji na mamlaka za serikali vina uashiria wa rushwa. Hapa pana rushwa na ufisadi unaoweka rehani uha? wa watanzania kwa tamaa ya pesa. Kamateni mwaka na hao walompatia hvo vibali, piga ndani mtagundua manyago mengi sana na hatari.
 
Ha ha ha!!!!
*Cc: Wizara ya Afya na wengineo...

attachment.php

attachment.php
 
Registration inaisha tarehe 30 october 2016, hakumkimbia kwani mheshimiwa hakumpa taarifa kuwa ataenda. Kuna mawili unaweza kumkuta mwenyeji wako au usimkute. Usipomkuta huwezi kusema kakukimbia maana hukumpa taarifa. tatu tiba zake sidhani kama alijitangaza kama yeye ni medical doctor. Mimi nilikuwa namwona anaelezea zaidi faida za vyakula vingi sikuwahi kuona akitangaza matumizi ya vidonge vya hospitali. Anyway mwaka is just a small fish. There are big culprits out there ndiyo washughulikiwe. Mwaka alijitangaza kuwa anatoa tiba mbadala.
MAKOSA YAKE NI HAYA:_
(i) Registration yake ni ya tiba asili ambayo imekwisha muda wake
(ii) Kumkimbia Muheshimiwa naibu waziri
(iii) amekiuka miiko kwani alikuwa hajitangazi kama mtoa tiba wa asili, HIVYO WENGI WALIOKWENDA KWAKE WALIAMINI NI MGANGA WA HOSPITALI-MEDICAL DOCTOR
 
*Cc: Wizara ya Afya na wengineo...

attachment.php

attachment.php


Hapa kuna harufu za rushwa km sio uzembe. Dawa ni kufuta kwanza hivi vibali vyote usajili uanze upya kwa sababu sio ajabu wengi wamepewa 'vibali' vya dizaini hii na wahusika wawe wanafatilia km masharti husika yanafuatwa.

Ni muhimu sana kuwafatilia kwa mfano huyu 'dr' kachukua kibali cha tiba asili yeye kaenda kuhubiri mambo ya tiba za kisasa!
 
Haswa!!!!
Alimkimbia vipi wakati alienda kwa makomeo style? Wewe unakwenda ofisini kwa mtu kwa kuvizia huo si uchimvi? Hata mimi ningeondoka zangu tena kwa kupishana nae mlangoni maana hakuna taarifa yoyote ya ujio wake! Wakashtukize muhimbili huko sio kwenye vitega uchumi vya watu.
 
lakini kwenye vipindi vyake kama ulikuwa unaviangalia alikuwa anatibu lwa miti shamba na vyakula zaidi. Alikuwa najieleza vizuri sana ukimsikiliza. wewe utakuwa ulikuwa hufuatilii vipindi vyake.
Mie siku zote najua ni Dr professional
 
Hivyo siyo vyeti ni vibali tena vya muda ina maana akishindwa au kwenda kinyume anashughulikiwa,ebo!
 
Umeongea haswa!!!!! Watu wivu tu unawasumbua. Jamaa hakuwahi hata siku moja kusema anatumia dawa za hospitali. Alijitangaza kuwa anatumia tiba mbadala!!! Proffessionals wengi wameacha profession zao wamekimbilia siasa. hili nalo neno!!!!
Mkuu Pdidy, kwani kuna sehemu Dk.Mwaka alieleza kuwa anaanzisha Charity Organization mpaka tuhoji bei ya matibabu kwake? Mimi naona hilo ni jukumu la mhitaji kujipima kama anaweza matibabu ya huyu jamaa au lah. Tusassume kuwa huwa anazunguka nyuma ya nyumba yake na kuchimba mizizi akamuamuru mke wake atwangwe tunywe, bila shaka ana gharama za kazi yake.

Watanzania tuwe fair for the love of God. Kuna yule specialist wa watoto pale Morocco, kumuona tu ni 20,000. Hospitali kama Aga Khan, Hindu Mandal na Burhani bei zake kweli ni sawa na Amana? Mbona huko hatuwasongi?

Imekuwa kama fashion sasa mtu akifanikiwa kwa kazi ya mikono yake basi lazimwa asakamwe. Mimi nashauri kama unaona Dk. Mwaka anapata sana, tuige uthubutu wake na sio kumuundia tume.

Kuna kitu Dk. Mwaka amemzidi Dk. Kigwangala.....'Millionare mindset'. Waziri naye si daktari yule jamani? Mbona kaaza zana chini kakimbilia kwenye siasa? Kuwa daktari jina si sawa na kuwa daktari mjasiriamali. Dk.Mwaka anao uthubutu na unamlipa kop kwem!
 
Back
Top Bottom