Dkt. Mpango ni kweli ulishiriki kumtuma Sabaya kufanya mambo machafu?

Hakuna kikichopotoshwa hapa tunajadili kilichoripotiwa. Dr Mpango ni Makamu wa Rais wa Nchi. Hajadiliwi kama Mtu binafsi
Unaposema Dr mpango alikuwa anamtuma Sabaya unapotosha cos hakuna sehemu Sabaya kasema Dkt Mpango alimtuma sehemu zaidi kwakuwa shughuli aliyokuwa anaenda kuifanya ilikuwa inagusa wizara ya fedha ndiyo Dkt Mpango aliijua cos wote ao alikuwa ni mmoja.
 
Sasa hivi ndio anatoa utetezi wake akiongozwa na Wakili wake.
Halafu atakujahojiwa pia na Wakili upande wa mashitaka, ambako ataweza kujikuta anatakiwa kutoa huo ufafanuzi, ushahidi na vielelezo kuhusiana na hayo maelezo ya utetezi wake.
Atakuwa na wakati wa kutosha KUJIMALIZA mwenyewe.
 
Kwamba DC ana jukumu la kuwasaka na kuwakamata wahujumu uchumi, teh kisha??? Ndio vile anawakata masikio au akiwadaka anafanyaje....
Wwe ulikuwepo wakati anawakata hayo masikio!? Au ndiyo mambo ya hear say!?
 
Unaposema Dr mpango alikuwa anamtuma Sabaya unapotosha cos hakuna sehemu Sabaya kasema Dkt Mpango alimtuma sehemu zaidi kwakuwa shughuli aliyokuwa anaenda kuifanya ilikuwa inagusa wizara ya fedha ndiyo Dkt Mpango aliijua cos wote ao alikuwa ni mmoja.
Kama Dr Mpango alijua huku Sabaya akifanya uhalifu ambao ndio umemfikisha mahabusu maana yake ni nini?
 
Akili yako bado haijaelewa nilichokiandika. Rudia kusoma.

ma.vi yako. unapoandika jifunze ku-proof read kisha jiulize mantiki ya ulichoandika na ujihoji ikiwa it makes sense. Ulichoandika ni udhibitisho kuwa akili yako ni nzito mno hata ni ngumu kuelewa uko upande upi. umekubali, umepinga uko neutral au la...
 
Kama haujaielewa endelea na comments nyingine boss, mine isn't the only one.
 
Muongo sabaya

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
walikuwa wanajua operation ipi? hiyo ya uporaji? hata mjinga hawezi kukubali
 
Hapo hisia zangu zinanionyesha ameshapoteza kabisa kwa kuwataja hao aliowataja.yeye angetulia tuu,hao aliowataja wangekuja kusaidia akishafika jera kutumikia kifungo chake
Yeah tena ukishafika jera inakuwa rahisi watu ku-intervene ukatoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…