Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Sio hongo, mimi bado ni Rais, natangaza tenda ya barabara za mjini Itigi KM 10

sheria za uchaguzi zinasemaje.!?

ingekuwa ni boxing wangesema 'amepiga chini ya mkanda' ama kwenye soka ni faulo

lakini kama NEC ndiye refa atapeta
 
IMG_20200921_121131.jpg
 
Alikuwa wapi kutoa maagizo kabla ya kampeni???

Daaah CCM kwisha Habari yenu 😂😂😂
Kwa hiyo unataka kazi za uraisi zisimame hadi uchaguzi upite? Katiba inamruhusu kuendelea na majukumu yake ya kiraisi hadi mpya atakapoapishwa
 
Back
Top Bottom