Swali rahisi sana nimekuuliza na huwa najua kabisa hamna majibu ya swali hili,zaidi ya kusema tu na mkiombwa ithibati ndio inakuwa kama ulivyo andika.
Hili jambo kwangu ni jipya na silijui na ndio maana nyote mnao sema hivi,pindi ninapo taka mnipe ushahidi huwa mnatokomea na ujinga wenu.
Hata nikupe miaka miaka na mikaka uthibitishe ya kuwa mimi mnafiki hutaweza kwani tamko "Mnafiki" lina vidhibiti vyake huko liliko toka.
Huujui unafiki ni nini wala mnafiki ni nani,unasema tu kama unavyosema "Dini imejengwa na binadamu" bila kuthibitisho,haya ni matumizi mabaya ya akili na unaihujumu elimu na watu wake.
Ndio ututhibitishie sasa,mbona rahisi sana kama wewe ni msema mkweli.
Nasubiri uthibitisho wa kuwa Mjenzi wa dini ni binadamu mwenyewe.
Nipo ......