Dini inaleta matabaka kwenye mahusiano

Dini inaleta matabaka kwenye mahusiano

Mungu anajipambanua kwa Neno lake.Kama unadhani Neno lake linahitaji nyongeza basi unajidanganya sana.In fact Kila Dini ina muasisi wake ambaye ameweka mbinu endelevu za kupata waumini wa kudumu.Na wengi wanajaa kingi wakijidanganya kwamba wanajikabidhi mikononi mwa Mungu kumbe wanajikabidhi mikononi mwa waasisi wa dini husika na kutimiza ndoto zao.Kuna tofauti kubwa sana hapo ndugu.Hayo matango pori, jilishe mwenyewe.
Unawezaje kuwa na Mungu bila ya Dini ?

Hapa naona umekuwa Muongo tena unajidanganya mwenyewe,labda nikupe udhuru ya kuwa hujui lolote ndio maana unasema haya.
 
Mungu anajipambanua kwa Neno lake.Kama unadhani Neno lake linahitaji nyongeza basi unajidanganya sana.
Swali ni je unajuaje neno lake bila dini ?
In fact Kila Dini ina muasisi wake ambaye ameweka mbinu endelevu za kupata waumini wa kudumu.
Huyo muasisi hizo mbinu huwa anazitoa wapi ? Ndio utueleze kwamba muasisi mbinu anazitoa wapi ?
Kuna tofauti kubwa sana hapo ndugu.Hayo matango pori, jilishe mwenyewe.
Sipo hapa kwa lengo hili,lengo nataka ujue wewe uliposimamia kumegubikwa na ujinga na upotoshaji wa hali ya juu.

Inakuwaje hicho unachokiamini unashindwa kukitetea ? Hii ina maanisha umekariri ujinga.
 
kama mz
Mungu anajipambanua kwa Neno lake.Kama unadhani Neno lake linahitaji nyongeza basi unajidanganya sana.In fact Kila Dini ina muasisi wake ambaye ameweka mbinu endelevu za kupata waumini wa kudumu.Na wengi wanajaa kingi wakijidanganya kwamba wanajikabidhi mikononi mwa Mungu kumbe wanajikabidhi mikononi mwa waasisi wa dini husika na kutimiza ndoto zao.Kuna tofauti kubwa sana hapo ndugu.Hayo matango pori, jilishe mwenyewe.
mzee wa upako ametengeneza jina kwa B3 eti heheheh yajayo yanafurahisha.
 
Tanzania kuna Dini kuu mbili yaani kuna dini ya kikristo na uislamu...
Linapokuja kwenye maswala ya mahusiano huwa kuna matabaka au changamoto pale watu wawili wenye dini tofauti na wanapendana...
Watu wanaweza kuwa katika mahusiano ya kimapenzi lakini linapokuja kwenye swala la ndoa huwa ni changamoto kwani kuna upande unaweza ukapinga kabisa hilo swala.
Natamani Dini zote zingekuwa zinashirikiana katika kila jambo hasa kwenye mahusiano kusingekuwa na kipingamizi na ingewezekana iwekwe utaratibu ambao endapo watu wenye Dini tofauti wakiwa wanapendana na wanahitaji kuishi pamoja basi zifuatwe.
Leo hii unakuta mkristo anampenda mtu wakislamu au muislamu anampemda mkristu lakini unakuta MTU wakati mwingine anashindwa akiAnza kufikiria vikwazo vya hapo mbeleni!!

Natamani Kweli kusiwe na matabaka ambayo tunakutana nayo....I hope kuna watu walishakutana na hivi vikwazo na wanaendelea kuumia!!!
kama upo Bongo unajipa msongo bure tu, DC wako yupo kwa ajili ya kuwasaidia makharusi watarajiwa kama nyie
 
Kwann iwe uasi mkuu wakati watu wanapendana?? Au kuna sheria kwamba watu wa Dini tofauti hawatakiwi kuwa na mahusiano??
AL:MAIDAH:5. Leo mmehalalishiwa kila vilivyo izuri na chakula cha wale waliopewa kitabu ni halali kweny na chakula chenu ni halali kwao na mmehalalishiwa kuwaoa wanawake wema wa kiislam na wanawake kwema katika wale waliopewa kitabu kabla yenu ni halali kwenu kuwaoa mtakapo wapa mahari yao mkafunga ndoa bila kufanya uzinzi........,
 
Back
Top Bottom