Dini inaleta matabaka kwenye mahusiano

Dini inaleta matabaka kwenye mahusiano

Uislamu kaujenga Mohamed SAW!
Bado hujathibitisha labda maana ya tamko "Uthibitisho" hujui.

Ithibati unatakiwa uonyeshe ilikuwaje Muhammad akaujenga Uislamu ? Kwanini ?

Kwanini watu walimpinga na kwanini watu walimuamini ?

Je katika Historia yeye ndio wa kwanza ? Je waliopita kabla yake walisemaje ?

Na maswali mengi mfano wa haya,yaani maswali ya kielimu.

Pili,Uislamu umegawanyika sampuli mbili kulingana na maana yake. Nazo ni :

1. Uislamu wa ujumla
2. Uislamu hasa,ambao amekuka nao mtume Muhammad kupitia kwa malaika muheshimiwa Jibril amani ya Allah iwe juu yao.

Ama Uislamu wa kwanza ni kwa mitume wote na wa walipewa ujumbe mmoja kila mtume ya kuwa "Wamuabudu Mola pekee na wampige vita Taghuuti,na wawapige vita washirikina na hali zao zote"
 
Biblia ipi hiyo iliyokamilika vizuri kabisa pasipo Agano la kale au Jipya?

Unajifunza vipi kuhusu chanzo cha viumbe vyote kuumbwa(vinavyoonekana + visivyoonekana) na amri kumi za Mungu ziko katika Agano gani?
Hilo ni agano LA kale au jipya hayo maelezo yameandikwa??
 
Aliyeanzisha dini sijui aliwaza Nini?
Mungu hana dini. Ni mawazo ya wanadamu tu
IMG-20190819-WA0043.jpeg
 
Wa dini zinazofanana hufuata taratibu za dini zao... Wa dini zinazotofautiana hufuata utaratibu wa serikali...



Cc: mahondaw
 
Kuna mkristo asiyeijuia stori ya Samson?
Sasa kama ni hivyo kwanini wengi kati ya walalamikaji ni kutoka upande wenu? Ambao wanalalamikia kuhusu wadada wa kutoka upande wetu?! Hivi wanawapenda kweli au wanaendeshwa na tamaa tu kwa kuona dada zetu wametulia na wao akili zao za uovu Inawatuma kuwaharibia future zao???
 
Scientifically duniani asimilia 85% ni wapumbavu!

Then 10% wanajua ukweli ila hawesemi,wanautumia kunyonya wale 85%!

Then finally inakuja 5% ambao tunajua ukweli then tunajitahidi kuwaelimisha wale 85% ambao ninakina nyie kua ile 10% inawayeyusha ila kwavile nyie ni mapumbavu sana,hua hamsikii na mnaendelea kufuata upumbavu wenu!

Kusema dini ni mavi naona nimekufanyia heshima sana!

Cha maana nakutukania huyo Mungu wenu kabisa ambae ndie boss wenu,yeye ni mpumbavu na jinga kabisa,kamwambie anifate kama anaweza!
Sorry sikujua kama nawasiliana na mwendawazimu. Pole Mungu ni mwema atakusaidia upone haraka. Ningekuwa nakufahamu ningesaidia kukupeleka hospitali. Pole sana.
 
Unapenda kutimiza wajibu au unapenda upendo wa dhati
Kwani ndoa ni wajibu? Napenda upendo wa dhati, wengi huwa hawaangalii mbeleni itakuwaje na ndio maana wanajidai wana upendo wa dhati lakini baadae kidogo wakigombana na maelewano yakipotea basi watakashifiana vibaya sana, na mzozo kama huu ni mgumu sana kuusuluhisha kutokana na imani za wahusika, kwani kila mmoja wao anataka usuluhishwe kupitia imani yake! Tunayaona kila leo.
 
Inasemekana hicho ni kibali cha UZINIFU.
Uzinifu wakati ni ndoa halali kabisa. Mie sijawahi kuwaza kama dini itakuwa kikwazo kwangu kuoa.
Ukioa kanisani hupewi cheti cha serikali kwani?
 
Watu wengi hawapendi ndoa za kiserikali halafu mzazi hayupo tayar mfunge ndoa ya hivyo au ndo ile anakuambia ukifanya hivyo ujue mm sio mzazi wako kuanzia sasa, kwa kauli kama hiyo unafikiri ni sahihi??
Mzazi wako mwisho wake wa kukupangia ni 18+ years. Kuanzia hapo unaweza jitegemea kiakili.

Kama umefikia age ya kuoa na bado unangoja mzazi akupangie wa kuoa nadhani achana na hio biashara mzee baba. Utakuja kui cost familia unayotaka kuanzisha tu. Ukae ukijua maisha ni yako sio ya wazazi wako.
 
Changamoto inakuja wakati mwingine nani atakaye kubali kubadilisha dini?? Na unakuta ilivyozoeleka ni kwamba mwnamke atamfuata mwanaume na ukute upande wa mwanamke hawapo tayar kwa hilo swala
Ukipiga mimba watakuwa tayari tu 😆😆😆 . Anyways, mi ni fan wa ndoa ya mseto tu. Watu mnaoana na kila mmoja kuendelea na dini yake. Kama ikitokea wote ni wa dini moja basi inakuwa simple zaidi.
 
Ndoa za kiserikalini nasikia eti huwa zinavunjika anytime kisa haizina strong force of commitment
Hahah committment my ass, ndoa ni nyie wawili hata mkioana ya kanisani au msikitini mkikosa hekima tu mwaka unaweza usiishe. Cha msingi amani ipatikane baina yenu.
 
Hiki kikwazo ni Kikubwa mnooo na kimeshanikuta..... Watu mnapendana inatokea changamoto ya dini mnaachana
Huhuhu we utakuwa na wazazi wenye itikadi kali na hasa kama wote ni dini moja mambo huwa magumu zaidi.
 
Back
Top Bottom