Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,739
- 76,374
Nitafute jioni nitakuonyeshaView attachment 1185908
Vile nasubiri kumjua mchimba chumvi!
Hivi watu kama ninyi kwa nini huwa mnajitesa hata kwenda kanisani/msikitini? Si muwe mnalala tuKweli nimeamini kwenye maswala ya Dini watu wakianza kujadili hakuna atakayekubali mawazo ya mwingine na hii nikutokana na kuwa na mafundisho tofauti kutoka kwenye Dini moja kwenda nyingine kila mmoja atatetea upande wake kwakuwa ndo alivyofundishwa lakini siku zote naamini kuwa hizi Dini tumezikuta hapa Duniani na bado najiuliza hivi yule aliyeigiza mkanda wa YESU Kristo ni kweli YESU alikuwa na umbo kama Lile na Je kwann alikuwa mzungu badala ya mwaafrika na hata ukiangalia asilimia kubwa ya waliogiza ni wazungu!!
Bado kuna mambo yamejificha lakini kwasababu tuliaminishwa hivyo basi na vizazi vyetu tutaviaminisha hivyo hivyo kutoka uzao mmoja kwenda mwingine!!
Ok, nitakutafuta [emoji7] si utakuwepo pale pale?!Nitafute jioni nitakuonyesha
Palepale pa siku zote[emoji7] usichelewe kama janaOk, nitakutafuta [emoji7] si utakuwepo pale pale?!
Jipe muda uchunguze,utabaini tu mambo yapo wazi wazi.Majibu utayapata fieldSwali ni je unajuaje neno lake bila dini ?
Huyo muasisi hizo mbinu huwa anazitoa wapi ? Ndio utueleze kwamba muasisi mbinu anazitoa wapi ?
Sipo hapa kwa lengo hili,lengo nataka ujue wewe uliposimamia kumegubikwa na ujinga na upotoshaji wa hali ya juu.
Inakuwaje hicho unachokiamini unashindwa kukitetea ? Hii ina maanisha umekariri ujinga.
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji8][emoji8][emoji8]Palepale pa siku zote[emoji7] usichelewe kama jana
Hujakosea isee,, Nina mwaka wa 7 now sijui kanisa likoje maana wachungaji/waumini wote wamejaa na unafiki tu...Leo hii makanisani/ msikitini watu wanagombania vyeo tena wengine wanatoa hadi rushwa ili mwisho wa siku wasaidiane kutafuna sadaka za wananchi ni bora pesa yangu niwape maskini ambao napishana nao njiani wanaohitaji msaada wangu kuliko pesa yangu ikatafunwe na hao watu...Hivi watu kama ninyi kwa nini huwa mnajitesa hata kwenda kanisani/msikitini? Si muwe mnalala tu
Kama ukristo kwako hauna maana si uende ujoin huko aliko mpenzi wako then ili umuoe? Kwa nini ukose kitu upendacho kwa jambo ambalo si la msingi kwako?Hujakosea isee,, Nina mwaka wa 7 now sijui kanisa likoje maana wachungaji/waumini wote wamejaa na unafiki tu...Leo hii makanisani/ msikitini watu wanagombania vyeo tena wengine wanatoa hadi rushwa ili mwisho wa siku wasaidiane kutafuna sadaka za wananchi ni bora pesa yangu niwape maskini ambao napishana nao njiani wanaohitaji msaada wangu kuliko pesa yangu ikatafunwe na hao watu...
Halafu siku hizi watu wanaenda kwenye seehhemu za ibada kama fashion tu MTU anaenda ili aonekane na yy anaenda...
Wanawake wamejazana kila kona wanahitaji kuolewa,kwa nini uteseke na mtu ambaye hayuko tayari?Wazaz wengine hawana hekima kabisa mkuu, mm nilishashuhudia jamaa kakosa mke kisa Dini tofauti
Kama ukristo kwako hauna maana si uende ujoin huko aliko mpenzi wako then ili umuoe? Kwa nini ukose kitu upendacho kwa jambo ambalo si la msingi kwako?
Wanawake wamejazana kila kona wanahitaji kuolewa,kwa nini uteseke na mtu ambaye hayuko tayari?
Mnafunga ndoa ya serikali
ha ha ha mkuu oa mwenye tabia njema na ambaye anayekusikiliza;hawa wengine huwa ni kuwakutafuna tu na kuondokaMkuu sio kila mwanamke utakayemfuata basi ujue atakuwa yupo tayar kuolewa na ww! We mwenyewe unaelewa madada zetu wa siku hizi unaweza ukakuta anasura ya kawaida, Ila kwakuwa anatako basi hapo maringo yake kinyonga haingii ndani!!
UZINIFU unagharama,Acha roho mbaya, kama ninayempenda yuko upande wa pili je
Jipe muda uchunguze,utabaini tu mambo yapo wazi wazi.Majibu utayapata field
Ili wawe mume na mkeIli iweje?