Dini inaleta matabaka kwenye mahusiano

Dini inaleta matabaka kwenye mahusiano

Ukishaishi na mwanamke zaidi ya miezi 6 kisheria ni mke wako. Weka imani pembeni zaeni watoto wakiwa watu wazima watachagua imani yao.
Hahahah mzee baba bana😆😆😆 but you do have a point. Maana imeswihi kisheria. Hamna haja ya kupoteza muda.
 
Tanzania kuna Dini kuu mbili yaani kuna dini ya kikristo na uislamu...
Linapokuja kwenye maswala ya mahusiano huwa kuna matabaka au changamoto pale watu wawili wenye dini tofauti na wanapendana...
Watu wanaweza kuwa katika mahusiano ya kimapenzi lakini linapokuja kwenye swala la ndoa huwa ni changamoto kwani kuna upande unaweza ukapinga kabisa hilo swala.
Natamani Dini zote zingekuwa zinashirikiana katika kila jambo hasa kwenye mahusiano kusingekuwa na kipingamizi na ingewezekana iwekwe utaratibu ambao endapo watu wenye Dini tofauti wakiwa wanapendana na wanahitaji kuishi pamoja basi zifuatwe.
Leo hii unakuta mkristo anampenda mtu wakislamu au muislamu anampemda mkristu lakini unakuta MTU wakati mwingine anashindwa akiAnza kufikiria vikwazo vya hapo mbeleni!!

Natamani Kweli kusiwe na matabaka ambayo tunakutana nayo....I hope kuna watu walishakutana na hivi vikwazo na wanaendelea kuumia!!!
Mi ndo maana Dini nimewaachia wenye Dini zao mi nibaki na Mungu tu.
 
Mi ndo maana Dini nimewaachia wenye Dini zao mi nibaki na Mungu tu.
Unawezaje kuwa na Mungu bila ya Dini ?

Hapa naona umekuwa Muongo tena unajidanganya mwenyewe,labda nikupe udhuru ya kuwa hujui lolote ndio maana unasema haya.
 
Tanzania kuna Dini kuu mbili yaani kuna dini ya kikristo na uislamu...
Linapokuja kwenye maswala ya mahusiano huwa kuna matabaka au changamoto pale watu wawili wenye dini tofauti na wanapendana...
Watu wanaweza kuwa katika mahusiano ya kimapenzi lakini linapokuja kwenye swala la ndoa huwa ni changamoto kwani kuna upande unaweza ukapinga kabisa hilo swala.
Natamani Dini zote zingekuwa zinashirikiana katika kila jambo hasa kwenye mahusiano kusingekuwa na kipingamizi na ingewezekana iwekwe utaratibu ambao endapo watu wenye Dini tofauti wakiwa wanapendana na wanahitaji kuishi pamoja basi zifuatwe.
Leo hii unakuta mkristo anampenda mtu wakislamu au muislamu anampemda mkristu lakini unakuta MTU wakati mwingine anashindwa akiAnza kufikiria vikwazo vya hapo mbeleni!!

Natamani Kweli kusiwe na matabaka ambayo tunakutana nayo....I hope kuna watu walishakutana na hivi vikwazo na wanaendelea kuumia!!!
Mbona matabaka yapo tu hata kama wanandoa hawana dini? Mmoja akiwa anatumia kilevi na mwingine hapana, tayari ni tatizo. Au kama mmoja anataka aheshimiwe zaidi ya mwingine ni tatizo pia, achilia mbali nani anaweza kuchelewa kufika nyumbani na nani akichelewa anapata kichapo au nani ana kazi (kipato) na nani hana. Hivyo, hata kama kusingekuwa na hizo dini mbili, bado binadamu tulivyo tungekuwa na matabaka tu.
 
Hili Ni Janga La Dunia Na Lau Wa2 Wangejua Maana Ya Din Kiusahh Cdhan Kama Din Zingekua Chanzo Cha Uadui Na Chuki Coz Hz Din Ni Tamadun2 Kama Tamadun Zngne Ila Watu Wengi Hawajui, Jiulze Sisi Waumin Tunagombana Na Kutukanana Ovyo Ila Hao Mapadre Na Masheikh Wakikutana Lao1 Coz Wanajuana Sisi Tusiojua Ndo Tunapata Tabu, Ukitaka Kuujua Ulimwengu Na Mambo Yakipuuz Yaliyomo Kua M2 Wakufikiria Xana Na Uwe Mdadisi Hutowah Kumchukia M2 Wa Din Tofaut Coz Utakua Uxhajua Kila K2, Wanaobeba Chuki Za Kidin Ni Wajinga2 Wasojua Mambo
 
Sasa kama ni hivyo kwanini wengi kati ya walalamikaji ni kutoka upande wenu? Ambao wanalalamikia kuhusu wadada wa kutoka upande wetu?! Hivi wanawapenda kweli au wanaendeshwa na tamaa tu kwa kuona dada zetu wametulia na wao akili zao za uovu Inawatuma kuwahatibia future zao???
Sisi wa upande huu huwa hatupo committed kwenye imani yetu, huu ni ukweli mchungu
 
Huhuhu we utakuwa na wazazi wenye itikadi kali na hasa kama wote ni dini moja mambo huwa magumu zaidi.
Umeona eeeeh Balaa tupu..... Yaani kwetu daaah [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom