thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,456
- 1,436
- Thread starter
- #21
Bora umenisaidia kumwambia
Mapenzi ni upofu bwana kwani hujui?
Mapenzi ni upofu bwana kwani hujui?
Unaposema sheria unarefer sheria gani? Kama ni za dini zipoKwann iwe uasi mkuu wakati watu wanapendana?? Au kuna sheria kwamba watu wa Dini tofauti hawatakiwi kuwa na mahusiano??
[emoji3][emoji3] ndoa ina ladha gani? Mimi nadhani watu ndio wanaomatterNdoa za kiserikali haizina ladha kabisa!![emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dini ni mavi
So kuna sheria za dini zinakataza kufunga ndoa na MTU tofauti na dini yako??Unaposema sheria unarefer sheria gani? Kama ni za dini zipo
Ndoa za kiserikalini nasikia eti huwa zinavunjika anytime kisa haizina strong force of commitment[emoji3][emoji3] ndoa ina ladha gani? Mimi nadhani watu ndio wanaomatter
NdioSo kuna sheria za dini zinakataza kufunga ndoa na MTU tofauti na dini yako??
Iseee nilikuwa sijuiNdio
Kinachofanya ndoa za kidini ziwe na commitment ni nini?Ndoa za kiserikalini nasikia eti huwa zinavunjika anytime kisa haizina strong force of commitment
Watu wanakuwa wanakula kiapo kitakatifuKinachofanya ndoa za kidini ziwe na commitment ni nini?
Kitakatifu? Mbona kile kiapo ni cha kisheriaWatu wanakuwa wanakula kiapo kitakatifu
Najua ndio maana hata mimi nakupenda wewe![emoji39][emoji39][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Mapenzi ni upofu bwana kwani hujui?
Dah! Chief sijaelewa hata kidogo ulichojaribu kunielewesha!Unaona haya sasa?
Dini hizo hizo ndio zilizojengwa na mwanadamu huyohuyo halafu unasema dini hazina tatizo?
Dini inawekwa sehem ambapo haina kosa wakati mwanadamu mwenye mapungufu na makosa kibao ndio kaijenga yeye!
Hivi unatengaje kitu kilichojengwa na mjengaji?
Sasa si unaona? [emoji12]Najua ndio maana hata mimi nakupenda wewe![emoji39][emoji39][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Weka hicho kifungu cha sheria kilichoweka wazi hayo, kuwa ukikaaa na mwanamke zaidi ya miezi 6 ni mke wako! Mnajibebesha dhima tupu!Ukishaishi na mwanamke zaidi ya miezi 6 kisheria ni mke wako. Weka imani pembeni zaeni watoto wakiwa watu wazima watachagua imani yao.
Mimi nilikutana nayo, kwa kweli inaumiza yule msichana mwenye asili ya kiarabu amekataa kuolewa mpaka hii leo. Tujitafakari !!Tanzania kuna Dini kuu mbili yaani kuna dini ya kikristo na uislamu...
Linapokuja kwenye maswala ya mahusiano huwa kuna matabaka au changamoto pale watu wawili wenye dini tofauti na wanapendana...
Watu wanaweza kuwa katika mahusiano ya kimapenzi lakini linapokuja kwenye swala la ndoa huwa ni changamoto kwani kuna upande unaweza ukapinga kabisa hilo swala.
Natamani Dini zote zingekuwa zinashirikiana katika kila jambo hasa kwenye mahusiano kusingekuwa na kipingamizi na ingewezekana iwekwe utaratibu ambao endapo watu wenye Dini tofauti wakiwa wanapendana na wanahitaji kuishi pamoja basi zifuatwe.
Leo hii unakuta mkristo anampenda mtu wakislamu au muislamu anampemda mkristu lakini unakuta MTU wakati mwingine anashindwa akiAnza kufikiria vikwazo vya hapo mbeleni!!
Natamani Kweli kusiwe na matabaka ambayo tunakutana nayo....I hope kuna watu walishakutana na hivi vikwazo na wanaendelea kuumia!!!
Nakupenda hadi naumwa! Ila sio kwa kukuoa maana kwa utashi tulionao kila mmoja wetu atataka afuate upande wake kwa kuona ndio yuko sahihi zaidi, balaa litaanzia pale tutakapopata watoto, kila mmoja atapenda watoto wafuate upande wake, hii haiwi?! dhahiri bali kwa siri. Balaa zaidi ni pale tutakapoachana kila mmoja atang'ang'ania watoto ni wake na kutaka wafate upande wake kwa kuona ndio yuko sahihi, bado kwenye maswala ya mirathi na mambo mengine. Kwanini tu nisimpende mtu wa upande wangu, kiasi kwamba hata kama tukiachana watoto bado wako upande wetu, mirathi pia itafanyika kwa mujibu wa upande wetu pamoja na mambo mengine yote yatafanywa kwa mujibu wa imani yetu??Sasa si unaona? [emoji12]
Afadhali ya hivyo, kuliko matatizo yatakayokwenda kuwakuta mbele ya safari, tafuta wa upande wako.Hiki kikwazo ni Kikubwa mnooo na kimeshanikuta..... Watu mnapendana inatokea changamoto ya dini mnaachana